Theresa May asema atatumia nyuklia hata kama nchi yake haitakua hatarini

Hakuna utawala wa familia ambao umewahi kudumu milele. Madhara ya kurithishana husababisha hata asiye na sifa za kuongiza kupewa madaraka. Hiyo husababisha anguko kubwa. Ndio kinachotokea N.K.
Kwani Malkia wa Uingereza anapatikanaje?
 
Kuna watu wanadhani N.Korea yupo mwenyewe.... Russian hatakubali kumsaliti N.K na China hatakubali kuumia kwasababu ya ujinga wa USA... Bado kuna Iran
Hapo Unawaza Wewe... Ila hujuw kuwa xi na Putin saiv wamejinyea... Subir
 
Watu wana shabikia kuhusu NK kupigwa na hayo mataifa...
Lakini hakuna hata mtu mmoja aliejiuliza kama hawa jamaa wanaonewa!
North Korea kama nchi wana haki ya kumiliki silaha yeyote Ile wanayoitaka, na siyo kupangiwa pangiwa na watu ambao nao wanahizo silaha.
Nchi kama marekani ni nchi ya kinafiki sana... Wanasingizia National Security lakini wanasahau wao ndio wamekua wakipeleka constant threats kwa NK... Kim siyo kichaa kwamba ata shambulia watu bila kuchokozwa.
Wao kama nchi wameamua kutengeneza silaha za mass destruction ili kujilinda na ubabe wa kibwege kwa mataifa kama hayo.
Na hakuna wa kuwapangia.
Kama waziri wa mambo ya nje wa NK alivyo sema "North Korea don't take orders from anyone" na wata retaliate pale watakapo kua provoked.
Fucking Americans trying to push around everyone and still some fools keep thinking they are doing the right thing.
Mental slavery.
Tatizo si umiliki wa siraha za nyuklia mbona china urusi uingereza ujerumani australia sweden canada wanazo lakin hakuna taifa linalowasumbua
Apa tatizo ni aina ya utawala wa north korea utawala wa kiimla utawala wa kimabavu na wa ki dekteka
Ukibisha kuhusu udikteta lazima ujiulize udikteta ni kitu gani
Kwa mujimu wa mwalimh nyerere 1976 alisema dikteta ni mtu au kikundi cha watu wakio juu ya sheria awa watu wanajifanya wazalendo lakin wana amri anaweza kusema watu wamuabudu yy
Sasa tatizo hapa ni kukosekana kwa strong institution ambayo itakua responsible kwa north korea securuty but also for world security hasa ukizingatia mazara ya siraha za nyuklia ni globally kwaio lazma dunia iseme
Kama kim angekua na utawala wa demokrasia sizan kama nchi za magharibi na ulaya zingemchukulia hatua tatizo kim yy akiamua ndo kaamua apo dunia inakua sio sehemu salama
Kauli ya uingereza ni kuonyesha kua wako tayari kilinda dunia dhidi ya tishio hatariii la north korea
Kwann marekan anataka kumpiga North Korea ni sababu hawataku kufata masharti ya umiliki wa siraha izo hatari wanatishia wenzao korea kaskazin wanaeneza chuki kua marekan ni adui yao namba moja sasa marekan anajua korea akiachiwa atafika kipindi cha untouchable yaan hatuta muweza tena anaweza akaamua kuichukua ardhi ya korea kusin na ama japan ama china kama urusi alivochukua crimea na tusiweze kumzuia
Kwaio kinachoangaliwa hapa ni namna gan korea atadimamisha uzalishaji wa nyuklia basii kama hataki kusimamisha manake atakua tishio siku za uson apo dunia itakua s salama tena anaweza kuitawala hata africa na asiwepo wa kumzuia kumbuka nyuklia n tishio la dunia
 
na encourage kila nchi iwe na nyuklia yake, ili tuheshimiane

Valid point Mr Iceman, kuheshimiana ni muhimu kwa kweli but..
Kuna watu wakina Kim ujue, na vitisho vya Nukes kila kukicha. Hakuna tena uhakika kwamba kesho kutakuwa na amani ama dunia itakuwa inawaka.

Kama vile mlevi mwenye gun bar, halafu akilewa anaanza kutisha watu, na wasipomdhibiti he can pull the trigger for real.
 
hahaha
he is crazy but he wont, because he knows when the nuclear war beggins no one will survive even his as*, ni sawa sawa na kudhani walevi walio lewa sanaa wata mwagiana pombe nooo!.
as long as there is nuclear i guarantee you there will be no nuclear war. na njia ya kuepusha mwenzio askiupige na nuclear, just have more nuclear.
 
Ila marekani anafanya vyema kweli kudhibiti siraha na matumizi ya hizi siraha.
Ulimwengu ungekuwa si salama kabisa.
 
hahaha
he is crazy but he wont, because he knows when the nuclear war beggins no one will survive even his as*, ni sawa sawa na kudhani walevi walio lewa sanaa wata mwagiana pombe nooo!.
as long as there is nuclear i guarantee you there will be no nuclear war. na njia ya kuepusha mwenzio askiupige n niclear, just have more nuclear.

Analysis with full of meat :)

"as long as there is nuclear i guarantee you there will be no nuclear war."

I will seal this.
 
hahaha
he is crazy but he wont, because he knows when the nuclear war beggins no one will survive even his as*, ni sawa sawa na kudhani walevi walio lewa sanaa wata mwagiana pombe nooo!.
as long as there is nuclear i guarantee you there will be no nuclear war. na njia ya kuepusha mwenzio askiupige n niclear, just have more nuclear.

So kuepusha kuchapana wao kwa wao is to have more nuclear?!!, lakini si ndio hatari zaidi?
Unless, what you mean is they will scare the hell out of each other...lol
 
So kuepusha kuchapana wao kwa wao is to have more nuclear?!!, lakini si ndio hatari zaidi?
Unless, what you mean is they will scare the hell out of each other...lol

ndio maana yangu, kila mtu akiwa na nuckear there is no super power, nuclear is the best deffender not the best attacker, hata hiyo korea na US hawawezi pigana, yaan hilo silioni.
the only way unaweza kumharibu mtu kama NK ni economic sanctions, ambazo sime prove failure tayar.
 
Mjadala wa humu hauna tofauti na mijadala ya dini kila mmoja kudai dini yake ndiyo sahihi.
 
0c9ba3f7a381d48957ab60bff75f21c8.jpg

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kwamba atakua tayari kutumia silaha za nyuklia pale inapobidi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza bwana Michael Fallon.
Bwana Fallon amesema kwamba May yupo tayari kutumia silaha za nyuklia pale hali inapokua mbaya zaid hata kama si Uingereza ambayo ipo kwenye tishio au shambulizi la nyuklia.
Hii inajiri baada ya muda mfupi kupita kwa North Korea kuitishia Australia kuishambulia kwa Nyuklia.

Hii inaashiria nini?!. Ndo nchi za NATO zipo tayari kutumia nyuklia dhidi ya Nkorea pindi mwanachama anaposhambuliwa au?!
Ndio
 
Back
Top Bottom