There is no fridom in Tanzania, no right to Speak, no right to question,

World should see this,
Position party in hard time than ever, CCM in free to do politics any where in Tanzania, media are in trable to.
Ngoja mimi nijaribu kutafasiri jamani
"DUNIA INAPASWA IONE HILI.
Upinzani kwenye wakati mgumu ambao haujawahi kutokea, CCM wakiwa huru kufanya siasa popote pale Tanzania, Vyombo vya habari kwenye matatizo.

Mkuu hivi ungeandika kwa kiswahili usijgeeleweka au ulitaka tujue nawewe humo, nawewe unakifahamu kimombo?
Mda mwingine andikeni Kingereza siyo maneno ya kingereza, mara "Fridom, Massage,Trable".
Ndo nini sasa?
Bora hata msingeahidiwa Noah za makinikia.
 
World should see this,
Position party in hard time than ever, CCM in free to do politics any where in Tanzania, media are in trable to.
Acha ujinga uhuru wakutukana kusema umbea nakuanika siri zataifa kwenye magazeti ndio uhuru? Huu niujinga bora natiendele hivi hivi tunataka waandishi wa habari za maendeleo na sio wachonganishi kati ya serikali na wananchi.
 
Back
Top Bottom