There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,362
3,345
The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants.

There are so many villages in Uganda which have either poor or no school infrastructure but Museveni has blind-eyed those places and decided to construct a modern primary school for tanzanian children.

We should not be silly, Museveni must be after something or benefiting from something made in (originated from) Tanzania.

Even the impulsive and aggressive reaction of mama against the patriotic stance of minister for agriculture who recently banned sugar importation from Uganda, signals on this.

Mama's vituperation against her minister confirms the sinister in this decoy donation of Museven.

It is surprising that Museven visits Tanzania many times compared to the number of trips he makes to his home village.

We love living on ours.
 
thanks to my old, worn out and torn oxford dictionary.

1.lure:to persuade or trick somebody to go somewhere or to do something by promising them a reward.

2.impulsive:(of people or their behavior) acting suddenly without thinking carefully about what might happen because of what you are doing synonym impetuous, rash.

3.vituperation:cruel and angry criticism.

4.sinister:seeming evil or dangerous; making you think something bad will happen.

5.decoy:a thing or a person that is used to trick somebody into doing what you want them to do, going where you want them to go, etc.

I GOT YOU THOUGH...
 
What will you offer your wealthy neighbour when she she visits your home? Perhaps a cup of tea and groundnuts for a snack. For sure you are aware you will be invited for dinner in her home in the near future.
 
Kwani wakati tunasaidia Uganda kumuondoa Amin sisi tulipata nini?
Wakati tunamsaidia Museven kuchukua madaraka sisi tulipata nini?

Akijenga kashule kamoja kusema shukrani tunashangaa??

Ujinga ni mwingi
Well said. Hawa vijana wa sasa hawajui kwamba Museveni ni kijana wetu, tumemsomesha wenyewe na kumsaidia kuingia madarakani baada ya Obotte kuzingua.
 
Museven must be buying something out of this generosity to tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (madam president) so that can get what he wants...
There is no free lunch clinché only is practical in Europe/US and the likes. In Africa, my friend you can have free breakfast with sima na Mbuzi, have lunch and be invited for dinner served with rice matoke with zwiyo or kuku.
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Kwani wakati tunasaidia Uganda kumuondoa Amin sisi tulipata nini?
Wakati tunamsaidia Museven kuchukua madaraka sisi tulipata nini?

Akijenga kashule kamoja kusema shukrani tunashangaa??

Ujinga ni mwingi

Strictly NONSENSE.!

Hakuna kitu kama kusaidia kumwondoa Nduli, kwenye vita mlikuwa na malengo yenu wala sio kusaidia Uganda.

Na hata ukiliweka hivyo, hasara tuliyoingia kama Taifa kutokana na vita ile huwezi kutaja hayo mabanda unayoita shule kuwa sehemu ya shukrani.
 
Kama maisha kapewa Tza why asilipe fadhila.

Madikteta yote east africa yamepikwa tza,wameishi,wamesoma,wamefunzwa vyuo vya TANZANIA.Kabila baba,kabila mtoto,m7,PAKA.
 
Museven must be buying something out of this generosity to tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (madam president) so that can get what he wants...
Preparation to seek asylum
 
Hili dikteta uchwara sijui linatafuta sehemu ya kukimbilia likitimuliwa!
Jitu la hovyo sasna hili, si lingetumia hizo hela kulipa madeni ya wachina?
 
Ndio maana mnadanganyika kununua sukari yake hata kama kwetu hakuna uhaba, nashangaa wengi wanachanganya kati ya uhaba wa sukari na bei ya sukari.

Tanzania hakuna uhaba wa sukari tatizo lililopo ni bei ya sukari kuwa juu, na hili linasababishwa na wafanyabiashara kupandisha bei kiholela ili kutimiza malengo yao, serikali kama regulator ilitakiwa itoe bei maalum ya kuuzwa sukari na hao jamaa waifuate.

Lakini kwasababu hao wafanyabiashara ndio wafadhili wa CCM uchaguzi ukifika, serikali inajikuta imefungwa mdomo matokeo yake tunazidi kuumizwa kwa bei ya juu, na ule uamuzi wa Samia kuagiza iingizwe sukari toka nje, ndio utaua viwanda vya ndani na watu wanaweza poteza ajira zao, japo kwa upande wa mtumiaji kwake itakuwa nafuu.

Kwanini serikali isiingilie kati upandaji holela wa bei ya sukari at the same time ivihamasishe viwanda vyetu viongeze uzalishaji kwa kuvipunguzia baadhi ya kodi kama itabidi?
 
Back
Top Bottom