The Worst Thing You've Ever Done For Love?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
mimi wakati niko chuo nilikuwa natumia pocket money yangu kumuhudumia yeye kama vile mi mzaz,tulikuwa tunatumia $ 2500 kwa mwezi wote sawa sawa,lakin tulivyomaliza chuo akaolewa
 
Wajinga ndio waliwao...

love-cheat8.jpg
 
LOL. unatoa $2,500/month kwa demu. why didn't u get married or atleast use legal binding?
 
Mimi bwana NIKUMDANGANYA MY MUM NAENDA KUSOMA KWA RAFIKI YANGU USIKU, ANANIKODIA TAX NISIPATE MATATIZO NJIANI YA KUNIPELEKA NA KUNIFUATA, ANANIPA NA HELA YA JUICE, KOO LISITUKAUKE, ANAKAA MACHO HADI SAA 9 USIKU NIKIRUDI, ANANICHEMSHIA GLASS YA MILO, NA KUNIPA POLE KIBAO NA PONGEZI AFU TUNAENDA ZETU KULALA!!!!! KUMBE NILIKUWA KWA MY LOVE TUNACHEKI MOVIE NA KUPIGA MIKISS USIKU KUCHA!!!!!!!!!!!!!

Iko siku nitamuomba msamaha!!!!!!!!!! SEMA MITUSI YAKE ATAYOITOA NDO NITAKOMA!!!!!!! (Au nitauchuna tu, what you dont know cant KILL you)
 
kumpa atm card yangu bf wakati tukiwa chuo ili angalau asitaabike kumbe anatumia pesa zangu na mwingine lol....
 
LOL. unatoa $2,500/month kwa demu. why didn't u get married or atleast use legal binding?

hiyo pesa nilikuwa napewa mimi na mama harafu natumia tena yeye alikuwa anatumia zaidi kwa kisingizio cha matumiz ya binti ni makubwa kuliko mvulana,kuoa isingewezekana kipind icho
 
mimi wakati niko chuo nilikuwa natumia pocket money yangu kumuhudumia yeye kama vile mi mzaz,tulikuwa tunatumia $ 2500 kwa mwezi wote sawa sawa,lakin tulivyomaliza chuo akaolewa

You big dummy!

Why in the name of hell did you do that? She must have got pussy whipped or something.
 
hiyo pesa nilikuwa napewa mimi na mama harafu natumia tena yeye alikuwa anatumia zaidi kwa kisingizio cha matumiz ya binti ni makubwa kuliko mvulana,kuoa isingewezekana kipind icho

kama ulikua nauwezo wa ku-spend 2500$ per month ina maana wewe si mtu wa shida, sasa nashindwa kuelewa kwa nini unasema ni worst moment, au ilikuwa hela ya shamba la urithi...???
 
mimi wakati niko chuo nilikuwa natumia pocket money yangu kumuhudumia yeye kama vile mi mzaz,tulikuwa tunatumia $ 2500 kwa mwezi wote sawa sawa,lakin tulivyomaliza chuo akaolewa

Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?
 
kama ulikua nauwezo wa ku-spend 2500$ per month ina maana wewe si mtu wa shida, sasa nashindwa kuelewa kwa nini unasema ni worst moment, au ilikuwa hela ya shamba la urithi...???

ni worst moment sababu tulivyomaliza tu chuo akaolewa,hivo nikajutia lakin kwa vile nilipenda basi tu
 
Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?

Si unaona analia na machungu anakumbuka nyuma...
So hiyo nafasi ipo wazi tu...
 
Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?

Tulizana na Mangi a.k.a mchaga wako wewe mwanamke ,kama ndiyo worst thing to him maana yake hawezi kurudia tena na utashangaa atakapokushindisha na chips yai tu.
 
Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?

iko wazi,sikuamin yaliyonikuta,mbaya zaidi ndoa yake ilidumu miezi 6 ikavunjika akataka aje tena kwangu nilikataaa sikupenda niwe last option
 
mapenzi sio faranga mkuu na hicho ndio kiliku-cost

mimi uwa siyo mchoyo,nilijua atakuwa wife tukimaliza chuo,mbaya zaidi ndoa yake ilidumu miez 6 tu akata kuja kwangu tena nikachomoa nilikataa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom