CEO 2b
Senior Member
- Jul 6, 2017
- 117
- 79
Sawa mkuu ntalifanyia kazi, shukrani sana kwa kunipa mwongozo.Jambo la kwanza uwa sibid kitu ambazo sina hakika kama ninaweza kufanya. Kabla ya kuanza kufanya kazi za shopify nilichukua muda nikasoma jinsi inavyofanya kazi, na nikafungua trial version ya shopify na kufanya majaribio. na practice ili nikiapply kitu niwe najua ninachofanya.