The worst post of the year!

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,017
7,220
Ukitakakuoga ukubarikurowana wana jf tutafuteukweri tusifuateupepo mkumbo chanzo chavurugunini? nachangawatukushabikia vitubirakuangaria mbere tukubarikwasasausiangarie makosa tuangarie chanzo chahayomakosa iri yasijekurudiwa kuendereyakuhubiriamani kuwarundika watu mahabusu havitatusaidiya kwasasa msadamukubwa nimchakato katiba mpya tume huru yauchaguzi kuwekawatumaabusu nikuendereza vurugu

Post iliyoandikwa vibaya zaidi ya hii hapa JF haijawahi kutokea.
Siyo mbaya hii post ikitangazwa rasmi kuwa ni the worst post of the year.
Origanally from https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/92361-mbunge-ccm-akataliwa.html
 
te te te te te hii itakuwa ID ya member aliyekuwa anajiita Nyivondumar sir alipigwa ban ya maisha
 
The worst post of the year!! Ubaya wake nini mkuu, ujumbe, lugha au uandishi? Mimi naona ujumbe unaeleweka sema tu jamaa ameathirika sana na lugha yake halafu sio mzoefu wa kuandika. Inavyoonekana ilimchukua muda mrefu sana kukamilisha hiyo kazi, mpe pole :)
 
tena huyo mkuu aliyepost atakuwa ametoka huko kyabakari!
 
te te te te te hii itakuwa ID ya member aliyekuwa anajiita Nyivondumar sir alipigwa ban ya maisha

ha ha ha....nimekutana nae anakusalimia sana.....kasema zile hela zake anakudai mbona humlipi?
 
Yaani post zote za Malaria Sugu na vichaa wenzake zimeipita hii?

Siamini.
 
Mkuu hii post ni second to none aisee

Umeielewa ulipoisoma? maana mie sijaelewa kitu

Aisee, nimeisoma kama mara tano hivi! Kila nikifika katikati inabidi nirudie tena mwanzo. nikaona nije kushare experience na wadau wengine.
 
The worst post of the year!! Ubaya wake nini mkuu, ujumbe, lugha au uandishi? Mimi naona ujumbe unaeleweka sema tu jamaa ameathirika sana na lugha yake halafu sio mzoefu wa kuandika. Inavyoonekana ilimchukua muda mrefu sana kukamilisha hiyo kazi, mpe pole :)

Ikimita,
Wewe inawezekana una kipaji maalum cha kusoma. Ujumbe kweli unaeleweka, ila unahitaji jitihada za makusudi kusoma mpaka mwisho. Hongera kwa kujitahidi.
 
ha ha ha....nimekutana nae anakusalimia sana.....kasema zile hela zake anakudai mbona humlipi?

Preta ha ha ha funny you! Mwambie nitalipa hivi karibuni after 2 yrs. Njikecha noeli lule luwawi mae....kuiwa mmndenyi? Irikira sawoo
 
Yaani post zote za Malaria Sugu na vichaa wenzake zimeipita hii?

Siamini.

kiranga umekosea kiswahili; ulitakiwa uandike:

Yaani post zote za Malaria Sugu na vichaa wenzake zimepitwa na hii?

Siamini.
 
Mbona huyu anaeleweka ingawaje alikuwa kiroro wakati anaandika.anamaanisha,

ukitaka kuoga ukubali kulowana.wana jf tafuteni ukweli tusifuate( upepo) mkumbo kujua chanzo cha vurugu ni nini?nashangaa watu kushabikia vitu bila kuangalia mbele .tukubali kuwa sasa tusiangalie makosa tuangalie chanzo cha makosa ili yasije kurudiwa.kuendelea kuhubiri amani kwa kuwarundika watu mahabusu havitatusaidia kwa sasa.msaada mkubwa ni mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.kuwaweka watu mahabusu ni kuendeleza vurugu.mwisho wa kunukuu.
 
Huyu naona panctuation na pronaunciation na typing nk kasahau. Sio kwamba hajui ila haihuuuuuuuu...
 
Back
Top Bottom