Wakuu kwema,
Mwenye kuwafahamu hawa jamaa atujuze pls, katika kuzurura mitandaoni nimekutana na hawa jamaa wakimwaga ajira lukuki almost kila fani huku wakijipambanua kutoa ajira kwa style ya mwendokasi.. nashindwa kuwaelewa ni recruitment agency au ni madalali wa ajira wa dizaini gani. Mwenye kuwafahamu au aliyewahi kupata ajira kupitia hawa wandugu atujuze tafadhali.