The World Need to Stop Over-Relying on China

Joh Doe

JF-Expert Member
Sep 23, 2019
1,118
4,496
After this is over, we need to have a very serious discussion about preventing the next pandemic. First thing first, The world health organization (WHO) should be disbanded. WHO is becoming brain-dead. Any time a new virus is discovered, the country where it was discovered needs to be put into a total lockdown until further investigations.

All countries globally should have banned flights from China as early as December last year. No single plane coming in or out of China. Even if the POTUS (Donald Trump) banned flights from China, other countries like Italy still allowed the flights from China, it defeats the purpose. Because it was a matter of time before somebody with Covid-19 landed in Europe from China and infected somebody else who would then fly to the US or Tanzania (Our first case patient flew from Belgium).

Why is it that during the 2014 ebola pandemic, West African countries were in completely shutdown. No flights coming in or going out. But since the Covid-19 was from China, the world was too soft on them. I firmly believe if ebola started from China, it could have spread to every country on earth. The world need to stop over-relying on China. We can't have almost every country in the world depending on China for manufacturing.

The leverage Chinese holds against the world;
  • Production costs in China is very cheap. Because they are devaluing their currency and all giant manufacturing companies go there.
  • China produces and controls over 75% of hard rare earth metals in the whole globe. You cannot manufacture a phone, car, computer without these metals
  • China hold the biggest US bonds (over $2 Trillions). Almost the same amount as Uncle Sam (the U.S Government) pumped into their economy as stimulus package.
I'm fully aware of the consequences that might happen if all countries remove their people and industries from China. Prices of items will go up globally but it's a bullet countries must take from Chinese shackles. Yes, they are holding significant hand in world trade but they shouldn't go unpunished for placing the entire world into chaos.

There are lots of other countries that can do manufacturing like China (Taiwan, Vietnam..). Japan is planning to move all it's manufacturing plants away from China due to this mess they've created in conjunction with the "brain-dead" WHO. The rest of the world should follow.
 
So true. Sio tu cheap labor unasahau kitu kimoja cha muhimu sana, wana smart people kibao, hata Tanzania kuna cheap labour ila huwezi leta smartphone manufacturing huku hakuna watu wanaweza assemble smartphones, hata ukisema ufundishe itachukua muda sana.

Ila naunga mkono, nchi inabidi zianze kujiangalia zisitegemee sana nchi moja kwenye kila kitu kama hapo China ilivyofunga biashara nchi zote ziliexperience effect yake, biashara nyingi nje ya China ziliyumba, hata apple tu wakalia manufacturing imestop. This is stupid kama dunia nzima tunarely on a single country
 
Hii ya kwamba ukitrain Watanzania kufunga smartphone itachukua muda ni nonsense. Tuna watu bright sana, hata vijana wetu huwa wakienda kusoma nje watu huwa wanawashangaa jinsi walivyo smart.

Tofauti ya China na Afrika ni:

1. Wachina ni extremely hardworking people
2. Wanatii order za mabosi wao, kiufupi wanamheshimu sana mkuu wa kazi
3. Wako wengi mno na kila mtu anataka kazi, kwa hiyo ukipata kazi na kuichezea inaweza kula kwako
4. Wana skilled labor nyingi (haimaanishi hiyo labor ni smarter), kule China vijana wasiokwenda chuo kikuu wanapelekwa vyuo vya ufundi kwa idadi ya mamilioni kwa mamilioni, kwa hiyo viwanda vikija vinakuta hii skilled labor ipo ya kutosha.

5. Labor ya China siyo cheap tena kama zamani, Sasa hivi vijana wengi wamesoma zaidi, Bei za nyumba ziko juu sana kwa hiyo vijana wanataka mishahara mizuri sana, kwa hiyo ile cheap labor advantage ambayo China ilivutia makampuni ya west haipo tena kwa kiwango cha zamani.

Kitu kingine
1. Usisahau Geopolitics, West iliamua kuinvest China makusudi ili kumnyong'onyesha Soviet Union

2. Kwa miaka yote 30 ambayo West iliinvest China makampuni yalienjoy cheap labor, sheria dhaifu za mazingira, na soko kubwa ndani ya China

3. China ilikuwa smart kuplay low profile ilikuwa haigusi hegemonic power ya west, siku hizi Wachina wamekuwa over ambitious, wamekuwa over confident, wameamua kuchallenge hegemony ya west katika masuala ya uchumi na mahusiano ya kimataifa, kitakachotokea ni Western block kuungana na kuimaginalize China, Ifahamike tu kuwa Western block kamwe haitokubali kugive up brettonwood system kirahisi maana inawapa utajiri kilaini. Serikali ya sasa ya Xi Jinping inakosea kwa kuacha kufuata principle za baba wa mageuzi wa China Deng Xiaoping aliyetaka China ifanye mambo kimyakimya bila kumstua Mmarekani, Sasa West ikiungana dhidi ya mchina, mchina atapata tabu sana

4. China walikuwa wanaplay smart sana kutengeneza economic alliances Africa na Latin America, ila kwa vitendo vya ubaguzi walivyovifanya kipindi hiki dhidi ya Waafrika, Waafrika wamestuka na kugundua kuwa hawa siyo peaceful partners bali wanaheshimu Rasilimali za Afrika bila kuheshimu Waafrika wenyewe. Hii itaathiri future dealings za Wachina katika bara hili, things will never be the same again

6.Kiufupi West bado wana mtaji mkubwa wa ushawishi duniani, na wanaweza kuhamishia vianda vyao India, Afrika na Brazil na wakaendelea kufanya biashara nzuri tu

7. West ina levarage juu ya siasa za ndani ya China, Chama cha Kikomunisti cha China kinajua kuwa kikishindwa kudeliver kwenye uchumi kutakuwa na social unrest ya kutisha ndani ya nchi hiyo, watu watariot na hata civil war inaweza kutokea. Kwa hiyo kama west itaamua kuondoa mtaji wake huko China itakuwa ni pigo kubwa mno kwa hicho chama kwa hiyo lazima serikali ya China itatoa concenssions kwa nchi za magharibi itake isitake.

8. Kutokana na jinsi serikali ya China ilivyomess up kwenye issue ya COVID-19 hasa ziku za mwanzoni za mlipuko kwa kuficha taarifa inazozijua kuhusu man to man transmission, kujaribu kutumia propaganda kuishutumu Marekani kuwa ndo chanzo cha virusi hivi vya Korona West imeiona China kama nchi ongo, isiyoaminika na ukichanganya na vifo na maumivu ambayo maradhi haya yameleta maumivu kwenye familia za watu huko West na duniani kiujumla, Wanasiasa katika nchi hizo watashindana kuonyesha namna gani ya kudeal na China kwa ukali zaidi, na hili litainfluence sera nyingi na mikataba mingi ya kibiashara baadae ambayo haitokuwa necessary mizuri sana kwa wachina kama zamani. Kwa mfano issue ya Huawei kujenga 5G katika nchi za west itapata pigo, Mradi wa Belt and Road utaangaliwa kwa suspicion sana, Long term settelment ya wachina kupitia miradi kama bandari itakuwa very unpopular duniani. Kwa hiyo Mchina ajiandae, Things will never be the same again

8. China ni nchi kubwa na yenye nguvu za kijeshi na kiuchumi lakini uchumi wao siyo sustainable bila axis ya west, GDP per Capita yao iko Chini kuliko nchi tajiri za west, internally, socially and politically kuna recentments za minorities jinsi inavyowatreat Wauighurs kule Xinjiang, inavyowaweka kwenye concentration camps, na kuwatreat vibaya mno watu hawa, Kuna issue ya Wahongkong ambao wanataka demokrasia na kutoingiliwa na serikali ya China kwenye demokrasia yao, kuna issue ya Tibet na baada ya hapo kuna mgogoro na Taiwan, Iwapo China itaamua kuichukua Taiwan kimabavu inaweza kushinda pambano lakini ikapoteza vita maana gharama za kiuchumi zitakazofuata hapo ni. kubwa mno, kunaweza kukatokea uharibifu wa miji ya ukanda wote wa mashariki mwa China ambako kuna maendeleo na kuirudisha China miaka mingi nyuma kimaendeleo
 
Haha hapo ndipo hua nashangaa watanzania, mnajihisi ka vile ni special sana kua dunia inawazunguka, kama unahisi kutrain manpower inachukua siku mbili endelea kujidanganya hujui hata unachoongelea wewe. Ushawahi kwenda kwenye manufacturing plant hata moja ukaona kazi inavyofanywa kweli au unatoa data hapa bila kua na backup?

Tanzania hiyo smart labour unayoiongelea sijui iko wapi vilaza wamejaa kila kona. Kwa Tanzania it would take at least 5years kua na manufacturing plant moja yenye vijana wachache kuweza kuproduce product chache sana. Hao unaosema wanatoka Tanzania wanaenda nje wanakua smart hadi watu wanawashangaa sijui umewasikia wapi hua mnajidanganya story za kahawa tu leta data wataje majina.
 
Umeadika kweli kweli.
ila ili hoja yake iwe balanced akina Malcom Lumumba na Chige watie neno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious?!!! Ku assemble smartphone hata hapo Rwanda wa na assamble sembuse TZ, tusijidharau kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo jamaa hajaenda kwa vijana wetu mafundi simu na kuona jinsi vijana wetu wanavyozichambua chambua hizo simu na kuziassemble upya bila wasiwasi wowote na kuzifix, sembuse wakipewa training maalum ya kufanya shughuli hizo viwandani.
 
Haha hapo ndipo hua nashangaa watanzania, mnajihisi ka vile ni special sana kua dunia inawazunguka, kama unahisi kutrain manpower inachukua siku mbili endelea kujidanganya hujui hata unachoongelea wewe. Ushawahi kwenda kwenye manufacturing plant hata moja ukaona kazi inavyofanywa kweli au unatoa data hapa bila kua na backup?

Tanzania hiyo smart labour unayoiongelea sijui iko wapi vilaza wamejaa kila kona. Kwa Tanzania it would take at least 5years kua na manufacturing plant moja yenye vijana wachache kuweza kuproduce product chache sana. Hao unaosema wanatoka Tanzania wanaenda nje wanakua smart hadi watu wanawashangaa sijui umewasikia wapi hua mnajidanganya story za kahawa tu leta data wataje majina.
Akikutajia majina utawajua?watz smart ni wengi kuliko vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usa inamuonea wivu china

Sent using Jamii Forums mobile app

USA ikiamua kumnyoosha Mchina huyo mchina atarudi kuwa third world country kwa kasi ya kutisha.

Ngoja nikwambie kitu, Asset kubwa ya wachina ni uingi wa watu wake na liability kubwa ya China ni hiyohiyo uwingi wa watu wake.

Marekani akitumia msuli wake na connections zake kuiminya China katika biashara Marekani atapata hasara lakini atakayepata hasara kubwa zaidi ni mchina, na ikitokea uchumi China umeshuka, ajira hakuna, watu hawawezi kuafford kununua nyumba(kule China kumiliki nyumba kwenye appartments ni ndoto ya kila kijana aishiye mjini, Kule China ni vigumu wazazi wa binti kukuozesha mtoto wao kama huna nyumba), Watu wakashindwa kupata luxuries walizozizoea kama vile kumiliki electronics za kisasa, kula chakula kizuri Lazima kutatokea social unrest ya kutisha na Chama cha Kikomunisti kinaweza kuondolewa madarakani. Wananchi wa China walikubali kugive up baadhi ya political rights in exchange na serikali yao kudeliver uchumi na kuboresha maisha yao, Pamoja na hilo kuna fukuto kali la chini kwa chini ambalo watu wanataka freedom of speech na uwezo wa kuwahold accountable viongozi wao. Kwa hiyo salama ya mfumo wa Kikomunisti wa China lazima uchumi uendelee kukua la sivyo mfumo unacollapse in no time.
Huo ndo udhaifu wa China, na Marekani ikiamua kuwazingua wachina kiuchumi serikali ya China itaumia zaidi.
Majuzi tu. kaenye trade war, Trump aliipiga vikwazo kampuni moja ya mawasiliano ya China iitwayo ZTE, ndani ya muda mfupi hiyo kampuni ikawa katika hali ngumu mno ikaanza kufa, baadae Trump akaiondolea vikwazo ndo ikawa salama yake, Sasa just imagine Marekani iende mbali kudeal na makampuni ya aina hiyo 100 ya wachina uone shughuli yake.
Huawei yenyewe ina hali mgumu baada ya Marekani kukataza makampuni yake kuiuzia chip. Fahamu kuwa China haina tekinolojia ya kutengeneza Chips, yaani zile components ndogo ndogo zinazotengeneza Integersted circuits za simu na computer, inachofanya inazinunua na kufanya assembling.
 
So true. Sio tu cheap labor unasahau kitu kimoja cha muhimu sana, wana smart people kibao, hata Tanzania kuna cheap labour ila huwezi leta smartphone manufacturing huku hakuna watu wanaweza assemble smartphones, hata ukisema ufundishe itachukua muda sana.

Ila naunga mkono, nchi inabidi zianze kujiangalia zisitegemee sana nchi moja kwenye kila kitu kama hapo China ilivyofunga biashara nchi zote ziliexperience effect yake, biashara nyingi nje ya China ziliyumba, hata apple tu wakalia manufacturing imestop. This is stupid kama dunia nzima tunarely on a single country
Kariakoo pale vijana hawajaenda shule ukiwapa kozi mwez tu washakubomolea simu kibao na kuunda upya
 
Mkuu kwa USA alivyo na roho ya kishetani kama hiyo options ingekuwa Rahisi wala USA asingewalazia damu wachina angeshawavuruga Siku nyingi

China alipofikia Hakuna wa kumshusha

Naomba nikuulize Kwani China alishawahi kuwa na mfumo wa vyama vingi ?

Kabla na baada ya kutawaliwa na Japan China hawajawahi kuwa na demokrasia
USA ikiamua kumnyoosha Mchina huyo mchina atarudi kuwa third world country kwa kasi ya kutisha.

Ngoja nikwambie kitu, Asset kubwa ya wachina ni uingi wa watu wake na liability kubwa ya China ni hiyohiyo uwingi wa watu wake.

Marekani akitumia msuli wake na connections zake kuiminya China katika biashara Marekani atapata hasara lakini atakayepata hasara kubwa zaidi ni mchina, na ikitokea uchumi China umeshuka, ajira hakuna, watu hawawezi kuafford kununua nyumba(kule China kumiliki nyumba kwenye appartments ni ndoto ya kila kijana aishiye mjini, Kule China ni vigumu wazazi wa binti kukuozesha mtoto wao kama huna nyumba), Watu wakashindwa kupata luxuries walizozizoea kama vile kumiliki electronics za kisasa, kula chakula kizuri Lazima kutatokea social unrest ya kutisha na Chama cha Kikomunisti kinaweza kuondolewa madarakani. Wananchi wa Chiba wakebali kugive up baadhi ya political rights in exchange na serikali yao kudeliver uchumi na kuboresha maisha yao, Pamoja na hilo kuna fukuto kali la chini kwa chini ambalo watu wanataka freedom of speech na uwezo wa kuwahold accountable viongozi wao. Kwa hiyo salama ya mfumo wa Kikomunisti wa China lazima uchumi uendelee kukua la sivyo mfumo unacollapse in no time.
Huo ndo udhaifu wa China, na Marekani ikiamua kuwazingua wachina kiuchumi serikali ya China itaumia zaidi.
Majuzi tu. kaenye trade war, Trump aliipiga vikwazo kampuni moja ya mawasiliano ya China iitwayo ZTE, ndani ya muda mfupi hiyo kampuni ikawa katika hali ngumu mno ikaanza kufa, baadae Trump akaiondolea vikwazo ndo ikawa salama yake, Sasa just imagine Marekani iende mbali kudeal na makampuni ya aina hiyo 100 ya wachina uone shughuli yake.
Huawei yenyewe ina hali mgumu baada ya Marekani kukataza makampuni yake kuiuzia chip. Fahamu kuwa China haina tekinolojia ya kutengeneza Chips, yaani zile components ndogo ndogo zinazotengeneza Integersted circuits za simu na computer, inachofanya inazinunua na kufanya assembling.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikutajia majina utawajua?watz smart ni wengi kuliko vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ataje hata Google ipo tutawatafuta kama ni smart kama anavyosema lazima watakua somewhere. Sio mnakaa kuleta story za vijiweni bila data hapa, watanzania wapo wengi walioenda kusoma nje hawaambulii chochote wanarudi bongo utadhani walikua wameenda kusoma usukumani. I need data not heresay. Niko open sana kubadilishwa mawazo mtu akija na data za ukweli akanionyesha nitamuunga mkono 100%
 
Mkuu kwa USA alivyo na roho ya kishetani kama hiyo options ingekuwa Rahisi wala USA asingewalazia damu wachina angeshawavuruga Siku nyingi

China alipofikia Hakuna wa kumshusha

Naomba nikuulize Kwani China alishawahi kuwa na mfumo wa vyama vingi ?

Kabla na baada ya kutawaliwa na Japan China hawajawahi kuwa na demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
bahati mbaya hata wanywa kahawa mtaani hizi ndio kauli zao.

huwa nasikitika sana,yaani mtu anaangali ile nembo made in china kwenye kila kitu,anakwambia mchina ameshikilia uchumi wa dunia.

US hata kumbonda kim anaangalia kwake kwanza,sio mbuzi kama mnavyomuona.uhusiano kati ya china na marekani ni muhimu kwa wote,ila muhimu zaidi kwa china.US kufika hapo alipo amekaza matako miaka zaidi ya 250,china kufika alipo amechukua miaka 70.

unaweza kuona yuko smart lakini kama kawaida wasemavyo wahenga,nyumba iliyosimamishwa kwenye mchanga haina msingi imara,tunashuhudia intel ya china imeshindwa kumove smart kwennye swala la corona na watu weusi,mpaka sasa wameingia kichwa kichwa,swala la kampuni ya mawasiliano(huawei)mpaka sasa hali si hali.

uwezo wa marekani kufanya no mkubwa sana,ila sababu ananufaika zaidi ndio maana unaona kimyaa.

Uko sahihi kiongozi, WEST hasa marekani ina mchango mkubwa sana kwenye kukua kwa uchumi wa China . Chukulia mfano, USA iliamua kuhamishimia Pharmaceutical industry yake China kiasi kwamba sasa hivi imekuwa tegemezi kwa China kwa asilimia zaidi ya 80 kwenye madawa. Siku USA ikiamua kurudisha hayo makampuni yake nyumbani huko China kutakuwa na mtafutano kwenye ajira nyingi za wachina nchini humo.
Sasa hivi baada ya Korona Wamarekani wametambua kuwa makampuni ya madawa kuwa katika nchi nyingine ni ishu ya national security, wanataka warudishe makampuni yao nyumbani.
China ina mihela mingi sana kwa sasa lakini uchumi wake ni very fragile ikikutana na very hostile business invironment kutoka kwa western countries haiwezi kujisustain
 
Leverage nyingine muhimu China iliyo nayo ni
Deni la $ 1.5 Trillion ambalo nchi 150 duniani zimekopa kutoka China. China kwa sasa ndio mkopeshaji mkubwa zaidi duniani akizipiku Benki ya Dunia,IMF na jumuiya ya nchi zilizoendelea kwa umoja wake!

Deni la Dunia kwa China sasa limefikia 5% ya GDP ya dunia!

Kwa nchi nyingine zinazoendelea na maskini deni la China ni kati ya 15% hadi 20% ya GDP zao.

Kifupi China ameiweka 90% ya dunia yote mfukoni kwake kwa sasa,ni vigumu sana kufurukuta asikuumize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote fahamu hili USA au West hawajawahi kukaa na kupanga kuhamishia Pharmaceutical Industry au viwanda vyao vingine China.
Kilichoyafanya makumpini ya magharibi(kila kampuni kibinafsi) kupeleka sehemu kubwa ya viwanda vyao China ni mazingira ya kibiashara yanayowafanya kuzalisha kwa gharama ndogo na kufikia kwa urahisi soko kubwa la watu zaidi ya bilioni1 wanye kipato kizuri.
Uko sahihi kiongozi, WEST hasa marekani ina mchango mkubwa sana kwenye kukua kwa uchumi wa China . Chukulia mfano, USA iliamua kuhamishimia Pharmaceutical industry yake China kiasi kwamba sasa hivi imekuwa tegemezi kwa China kwa asilimia zaidi ya 80 kwenye madawa. Siku USA ikiamua kurudisha hayo makampuni yake nyumbani huko China kutakuwa na mtafutano kwenye ajira nyingi za wachina nchini humo.
Sasa hivi baada ya Korona Wamarekani wametambua kuwa makampuni ya madawa kuwa katika nchi nyingine ni ishu ya national security, wanataka warudishe makampuni yao nyumbani.
China ina mihela mingi sana kwa sasa lakini uchumi wake ni very fragile ikikutana na very hostile business invironment kutoka kwa western countries haiwezi kujisustain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom