The World Need to Stop Over-Relying on China

After this is over, we need to have a very serious discussion about preventing the next pandemic. First thing first, The world health organization (WHO) should be disbanded. WHO is becoming brain-dead. Any time a new virus is discovered, the country where it was discovered needs to be put into a total lockdown until further investigations.

All countries globally should have banned flights from China as early as December last year. No single plane coming in or out of China. Even if the POTUS (Donald Trump) banned flights from China, other countries like Italy still allowed the flights from China, it defeats the purpose. Because it was a matter of time before somebody with Covid-19 landed in Europe from China and infected somebody else who would then fly to the US or Tanzania (Our first case patient flew from Belgium).

Why is it that during the 2014 ebola pandemic, West African countries were in completely shutdown. No flights coming in or going out. But since the Covid-19 was from China, the world was too soft on them. I firmly believe if ebola started from China, it could have spread to every country on earth. The world need to stop over-relying on China. We can't have almost every country in the world depending on China for manufacturing.

The leverage Chinese holds against the world;
  • Production costs in China is very cheap. Because they are devaluing their currency and all giant manufacturing companies go there.
  • China produces and controls over 75% of hard rare earth metals in the whole globe. You cannot manufacture a phone, car, computer without these metals
  • China hold the biggest US bonds (over $2 Trillions). Almost the same amount as Uncle Sam (the U.S Government) pumped into their economy as stimulus package.
I'm fully aware of the consequences that might happen if all countries remove their people and industries from China. Prices of items will go up globally but it's a bullet countries must take from Chinese shackles. Yes, they are holding significant hand in world trade but they shouldn't go unpunished for placing the entire world into chaos.

There are lots of other countries that can do manufacturing like China (Taiwan, Vietnam..). Japan is planning to move all it's manufacturing plants away from China due to this mess they've created in conjunction with the "brain-dead" WHO. The rest of the world should follow.
Kila kitu kinaenda kuanza upya.kuna mambo yamewaumiza watu wa ulaya na magharibi hasa
- vifo
- kutikiswa kwa mfumo wa afya
- uchumi kudorola
- community instability
- now protests
- mabadiliko ya global schedule
- udhalilishaji wa watawala
-udhalilishaji wa nchi

Hivyo imetengeneza chuki kwa China na WHO inachukiwa kwa kuwa china yupo nyuma.

Kufikia august ushahidi utakuwepo.

Nina mashaka kwako missile of nation kuwa, uhamishaji wa mitaji kutoka Soko la China na kuanzisha sehemu nyingine litachukua muda mrefu kufika hatua ya Leo na hapo wazungu watashindana sana.
Automatically wanaweza kuhamia India ambako tayari mifumo yao ipo na ukaribu wa Dubai utasaidia Soko na usafirishaji kuliko kuanza nchi mpya.

Hakuna namna, chama cha wakomunist lazima wakiangushw kwa Nguvu hasa endapo wakiondoa mitaji kutatokea social unrest na hatimaye kupindua serikali au kuanza mfumo mpya wa maisha ya siasa.
Hongkong wataona ndiyo muda wa kjjitegemea.

Mawazo ya Taiwan yatakufa na wakiamua kwenda kwa Nguvu dunia itaungana na Taiwan na China ataondoshwa licha ya uwepo WA Russia.

Yote ya yote, hiki ni kipindi muhimu kitakachoamua hasa ya mabadiliko chanya ya Africa tukiwa werevu
 
Sio Kweli, Wachina wengi wao hata wale wenye ajira vipato vyao ni viduchu. China income nzuri wanapata kwa ku-export na sio kwa kutegemea soko la ndani.

Mfano, angalia sasa hivi ambapo exports zinapungua na uchumi wao pia unaporomoka, na kadri exports zitakavyozidi kupungua ndivyo Wachina wengi watakavyozidi kukosa ajira.

Ujue viwanda vyote sio vyao uwekezaji mwingi ni wa wageni especially wamarekani waliowekeza kwa sababu ya Low Labour Costs ambazo hata hivyo zimekuwa zikipanda kila uchao.
Mkuu nitajie basi nchi yenye purchasing power parity (PPP) duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Kweli, Wachina wengi wao hata wale wenye ajira vipato vyao ni viduchu. China income nzuri wanapata kwa ku-export na sio kwa kutegemea soko la ndani.

Mfano, angalia sasa hivi ambapo exports zinapungua na uchumi wao pia unaporomoka, na kadri exports zitakavyozidi kupungua ndivyo Wachina wengi watakavyozidi kukosa ajira.

Ujue viwanda vyote sio vyao uwekezaji mwingi ni wa wageni especially wamarekani waliowekeza kwa sababu ya Low Labour Costs ambazo hata hivyo zimekuwa zikipanda kila uchao.
Ndio wanategemea export lakini hata hivyo unafikiri soko lao la watu 1.3 linakidhiwa na nani?

Watu wote wana mahitaji kama binadamu wengine ndio maana nimekuambia china ndio nchi yenye nguvu ya manunuzi kubwa zaidi duniani ikifuatiwa na umoja wa ulaya kisha marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ifike mahali humu JF tujikite zaidi kuchangia mbinu na njia za kuifanya Tanzania ibadilike.

Iwe nchi janjajanja katika teknolojia, uchumi na yenye watu smart.

Tulio wengi tunachanga kushabikia mafanikio ya wengine tu kama vile sisi tulishandikiwa kuwa hohehahe mwanzo mwisho.

Utasoma watu wanajitanabaisha kuwa washabiki wa au USA au Russia katika mambo ya kivita.

Wengine timu Israel au Iran, wengine Liverpool au Manchester. Inatisha sasa.

Tujikite kuumiza vichwa namna gani tunaweza kuwa Taifa kubwa lenye ustawi wa raia wake na nchi.

Michango yetu isilenge eti vyama vya siasa ndivyo vitakavyo tufikisha tunakotaka.

Hao wanasiasa walazimike kufuata tunacho kilenga ndani ya JF na hata nje.

Vuguvugu letu na nguvu zetu kama umma zilazimishe mtawala yeyote kufuata tunayohitaji.

Hata humu JF ni mahali pa kuanzia ikiwa tutajikita katika mambo ya msing.

Tukiendelea na ushabikishabiki tu wa timu A au timu B hata hao watawala wanatusoma na kuona udhaifu na unyonge wetu na kutufanyia watakavyo.

Tubadili fikra nasi siku moja tuwe wa kupigiwa mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wanategemea export lakini hata hivyo unafikiri soko lao la watu 1.3 linakidhiwa na nani?

Watu wote wana mahitaji kama binadamu wengine ndio maana nimekuambia china ndio nchi yenye nguvu ya manunuzi kubwa zaidi duniani ikifuatiwa na umoja wa ulaya kisha marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, Wachina wengi ini masikini tu kama sisi huku na ndio maana wengine wanakuja kuzamia huku kufanya umachinga.

Nyie mnapapatikia tu rangi, mkiona mtu mweupe mnafikiri kuwa wako vizuri. Wachina wengine ni masikini kuliko hata masikini wa huku.
 
After this is over, we need to have a very serious discussion about preventing the next pandemic. First thing first, The world health organization (WHO) should be disbanded. WHO is becoming brain-dead. Any time a new virus is discovered, the country where it was discovered needs to be put into a total lockdown until further investigations.

All countries globally should have banned flights from China as early as December last year. No single plane coming in or out of China. Even if the POTUS (Donald Trump) banned flights from China, other countries like Italy still allowed the flights from China, it defeats the purpose. Because it was a matter of time before somebody with Covid-19 landed in Europe from China and infected somebody else who would then fly to the US or Tanzania (Our first case patient flew from Belgium).

Why is it that during the 2014 ebola pandemic, West African countries were in completely shutdown. No flights coming in or going out. But since the Covid-19 was from China, the world was too soft on them. I firmly believe if ebola started from China, it could have spread to every country on earth. The world need to stop over-relying on China. We can't have almost every country in the world depending on China for manufacturing.

The leverage Chinese holds against the world;
  • Production costs in China is very cheap. Because they are devaluing their currency and all giant manufacturing companies go there.
  • China produces and controls over 75% of hard rare earth metals in the whole globe. You cannot manufacture a phone, car, computer without these metals
  • China hold the biggest US bonds (over $2 Trillions). Almost the same amount as Uncle Sam (the U.S Government) pumped into their economy as stimulus package.
I'm fully aware of the consequences that might happen if all countries remove their people and industries from China. Prices of items will go up globally but it's a bullet countries must take from Chinese shackles. Yes, they are holding significant hand in world trade but they shouldn't go unpunished for placing the entire world into chaos.

There are lots of other countries that can do manufacturing like China (Taiwan, Vietnam..). Japan is planning to move all it's manufacturing plants away from China due to this mess they've created in conjunction with the "brain-dead" WHO. The rest of the world should follow.
Kabla ya hapo dunia ilikuwa inategemea nchi gani zaidi?? Kwanini kwa Mchina ni kosa
 
Huyo jamaa hajaenda kwa vijana wetu mafundi simu na kuona jinsi vijana wetu wanavyozichambua chambua hizo simu na kuziassemble upya bila wasiwasi wowote na kuzifix, sembuse wakipewa training maalum ya kufanya shughuli hizo viwandani.

Kuna haja ya kuboresha na kuimarisha vyuo vya VETA.
 
Back
Top Bottom