Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Mkara-tu

JF-Expert Member
Mar 31, 2018
224
221
Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma kuhusu huyu mtu yamenishitua.

Kwa kifupi imeelezwa kwamba Bw Amsterdam ni wakili wa kimataifa anayejihusisha na kesi za kisiasa, mikataba ya madini, haki za binadamu, uwakilishi wa kisheria wa makubwa duniani, n.k.

Kati ya kesi maarufu alizowahi kuzisimamia wakili Amsterdam ni zile zilizo wahusisha tajiri Mikhail Khodorkovsky wa Urusi na bilionea Thaksin Shinawatra wa Thailand. Wote hawa walishitakiwa nchini mwao kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuonyesha nia ya kupindua serikali za nchi zao. Ni wazi kwamba Rais Putin wa Urusi hakuchelewa kumsweka ndani tajiri huyo wa mafuta.

Kwenye kichwa cha habari "A lesson in Intellectual dishonesty and International meddling" mwandishi wa habari Tony Cartalucci anaelezea Wakili Robert Amsterdam kama mtetezi wa majambazi (convicted criminals) hida ya serikali kwa kutumia agenda za Uhuru wa kisiasa.

Wakili Amsterdam pia ameshiriki kwenye kesi za mikataba ya madini katika nchi za kiafrika. Kama raia wa Canada sitashangaa nikisikia kwamba pia alihusika kusimamia makampuni kama Acacia kwenye kesi mbali mbali za kuishitaki Tanzania kwenye mahakama za kimaifa.

Huyu ndiye mtu ambaye Tundu Lissu amemkodisha kusimamia kwenye shughuli zake za kisiasa. Swali linakuja akilini ni kwamba Bwana Lissu amempa ahadi gani ikiwa atakupa Rais?

Huyu mtu anahesabu za political goes gani kwa Tanzania kama ilivyokuwa huko kwenye mataifa mengine? Hakuna chembe ya ukweli kwamba mkataba wa Bw Lissu na Amsterdam unahusu kutuma ya kisiasa.

Andiko la mwandishi Tony kuhusu Intellectual dishonesty and International meddling linatoa picha kamili ya huyu mtu. Hapo ndipo Mh. Lissu ametufikisha kama nchi.

Nadhani kuna ukweli kwamba anatumwa na wakubwa.
 
Huyu ndio alisema Tundu Lissu asikamatwe akitua, sijui kwanini tulitii wakati ilitakiwa ahojiwe juu ya shambulio lake.
 
Maandishi kama haya yanatoa uthibitisho usiokuwa na shaka kuwa bado hatujaufikia uchumi wa kati.

Mkilala Lissu, mkiamka Lissu! Utadhani yeye ndo aliyesaini mikataba ya madini tangu Uhuru wa nchi au alishawahi kuwemo kwenye baraza la Mawaziri.

Lissu ni mzalendo kwa nchi hii kuliko wewe na hata unayempigia chapuo.

Ni yeye 2020.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Pindi unaposikia usiyempenda kaja na hauna la kumfanya
JamiiForums-1658489397.jpg
 
Wakati Lissu anawapambania Watanzania wanaonyanyaswa na makampuni ya madini duniani kule Nyamongo na serikali ikipambana naye tokea wakati wa Mkapa ili kuyalinda makampuni hayo, huyo mnayempigia chapuo kuwa mzalendo alikuwepo baraza la mawaziri.

Ndio maana mauongo yenu dhidi ya Lissu ukiyazungumzia pale Tarime watu wanaweza kukutwanga marungu.

Nani nchi hii kawapigania RAIA dhidi ya makampuni ya madini yanayoiba na viongozi wa serikali zaidi ya Lissu nchi hii?

CCM labda muyadanganye mazwazwa kama yale mliyoyakusanya uwanjani Jana jukwaani maana hayafuatilii mambo ya nchi hii kwa kusoma historia
 
Wakati Lissu anawapambania Watanzania wanaonyanyaswa na makampuni ya madini duniani kule Nyamongo na serikali ikipambana naye tokea wakati wa Mkapa ili kuyalinda makampuni hayo, huyo mnayempigia chapuo kuwa mzalendo alikuwepo baraza LA mawaziri.
Ndio maana mauongo yenu dhidi ya Lissu ukiyazungumzia pale Tarime watu wanaweza kukutwanga marungu.
Nani nchi hii kawapigania RAIA dhidi ya makampuni ya madini yanayoiba na viongozi wa serikali zaidi ya Lissu nchi hii?
CCM labda muyadanganye mazwazwa kama yale mliyoyakusanya uwanjani Jana jukwaani maana hayafuatilii mambo ya nchi hii kwa kusoma historia
Naskia tumeshitakiwa MIGA
 
Mtu asiyejua chochote anaweza kuamini usemacho. Lisu ana haki ya kutafuta wakili popote pale duniani, maana mifumo ya kutoa haki hapa nchini mmeinajisi yote, kiasi kwamba inadhani ina wajibu wa kujipendekeza kwa watawala, na kunyanyasa wapinzani. Iwapo Lisu atakuwa madarakani sheria za raslimali za nchi yetu ziko wazi

Na hadi tunapozungumza kuna raslimali zetu nyingi zinavunwa na wageni. Je nyie mlioingia hiyo mikataba na hawa wageni mnawalipa nini? Mpaka tunavyoongea kuna miradi kibao ya wafadhili DFP, je hao mnawalipa nini? Ama mzungu akishirikiana na ccm sio mzungu, ila akishirikiana na Lisu ndio hafai? Hizo propaganda za kizee mtawapata wenye akili ndogo.
 
Maandishi kama haya yanatoa uthibitisho usiokuwa na shaka kuwa bado hatujaufikia uchumi wa kati.

Mkilala Lissu, mkiamuka Lissu! Utadhani yeye ndo aliyesaini mikataba ya madini tangu Uhuru wa nchi au alishawahi kuwemo kwenye baraza la Mawaziri.

Lissu ni mzalendo kwa nchi hii kuliko wewe na hata unayempigia chapuo.

Ni yeye 2020.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app

Hatuwezi kuweka mtu kuwa rais wa nchi kisha aanze kuwainamia mabeberu,
Tunataka anayeweza kusimama nayo wima na sio kuinama
Kwa hiyo Lisu bado sana.
 
Lisu na Chadema yake wameshafika bei hapo walipo wanatimiza makubaliano tu.

Kiufupi ni kuwa tumeshauzwa.
 
Umeileta habari kama mpiga kelele wa mtaani. Leta mada kama mtu mwenye akili na uelewa timamu ili na wengine waone hoja katika ulichokileta.

Umeandika andika, halafu unatarajia tuamini kwa vile tu umeandika?

Elimu ya nchi yetu ina shida mahali. Kwa nini watu wengi wanashindwa kuleta hoja za kimantiki?

Maelezo ya Robert Amsterdam kwa kadiri ya WikipediA:


Robert "Bob"[1][2][3][4] Amsterdam (born 1956) is a Canadian international lawyer of the law firm Amsterdam & Partners, with offices in Washington, D.C. and London.

Early life and educationEditLearn more

This section of a biography of a living person does not include any references or sources.

Amsterdam was born in 1956 in White Plains, New York, and moved to Ottawa, Ontario, Canada at a young age where he grew up as a Canadian citizen.
Amsterdam was awarded a B.A. from Carleton University (Ottawa, Canada) in 1975 and a LL.B. from Queen's University (Kingston, Canada) in 1978. Amsterdam is currently based in London, United Kingdom, while the firm continues to maintain an office in Washington DC.
Amsterdam was admitted to the Canadian Bar in 1980 and he is also admitted as a solicitor in London, United Kingdom.

Major casesEdit
Some of Amsterdam's most well known cases were related to early work in Africa and Latin America (well before his later Russia-related issues). Amsterdam won a major international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela, and he also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes.[5][6] Amsterdam would go on to represent famous political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and leading democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.[7][8]

Yukos caseEdit

In 2003, Amsterdam was retained by the Russian company Yukos-Group MENATEP to defend former CEO Mikhail Khodorkovsky.[citation needed]
In 2005, Khodorkovsky was sentenced to eight years in jail. On the night of the verdict, Amsterdam was accosted by plainclothes security agents in the middle of the night at his hotel room, who attempted to arrest him before he could call his colleagues in the media.[9] In the years since leaving Russia, Amsterdam engaged in a media campaign for the Yukos Group-MENATEP and Khodorkovsky cases.[10]
In March 2009, Khodorkovsky appeared in court for a second trial for fraud and tax evasion. Though Amsterdam cannot represent Khodorkovsky in Russia (no foreigner can argue before a Russian court, and the Federation refused to issue a visa), he still represents Khodorkovsky on the international stage.[citation needed]

Thaksin ShinawatraEdit

Further information: 2010 Thai political protests and 2010 Thai military crackdown

Robert Amsterdam was hired in May 2010 by former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra to serve as international lawyer and adviser to the defence counsel of the "Red Shirts," formal name the United Front for Democracy Against Dictatorship (UDD).[11]
In 2010, Robert Amsterdam "urged the international community not to tolerate the government's violent crackdown on self-proclaimed peaceful protesters,”[12] and published a list of alleged human rights and international law violations committed during what he called the "Bangkok massacres".[13]
During the 2013–14 Thai political crisis, Amsterdam delivered a speech to a massive Red Shirt rally in Bangkok. Former Democrat Party member and anti-government protest leader Suthep Thaugsuban criticized Amsterdam for it, to which Amsterdam responded naming Suthep as a Thai Taliban.[14]

Kim DotcomEdit

He is now part of the legal team representing Kim Dotcom, the Internet entrepreneur in the Megaupload legal case.[15]

Huyu mpuuzi anachagua kaeneo kadogo kwa nia ya kuhadaa watu. Siasa za hadaa hazipo.

Watu kama hawa ndiyo wanaompoteza Rais Magufuli hata kufikia kudanganya watu kuwa alipoingia kilo ya sukari ilikuwa sh. 5,000 wakati kila mmoja anajua ilikuwa bei gani.
 
Wakati Lissu anawapambania Watanzania wanaonyanyaswa na makampuni ya madini duniani kule Nyamongo na serikali ikipambana naye tokea wakati wa Mkapa ili kuyalinda makampuni hayo, huyo mnayempigia chapuo kuwa mzalendo alikuwepo baraza LA mawaziri.

Ndio maana mauongo yenu dhidi ya Lissu ukiyazungumzia pale Tarime watu wanaweza kukutwanga marungu.

Nani nchi hii kawapigania RAIA dhidi ya makampuni ya madini yanayoiba na viongozi wa serikali zaidi ya Lissu nchi hii?

CCM labda muyadanganye mazwazwa kama yale mliyoyakusanya uwanjani Jana jukwaani maana hayafuatilii mambo ya nchi hii kwa kusoma historia
Kwani Shetani hakuwa malaika?
 
Back
Top Bottom