The World is a flat plane and not a globe

Huu usafiri wa anga ni ghali sana. Hiyi mio 2 usD ni gharama ya roketi yake iliyolipuka
hiyo mill 2 usd ni ndogo kupita kiwango.
thanks to spaceX na mr musk.

NASA walikuwa wanaspend 1.75 billion per launch.
now inarange kwenye 90 mill to 60 per launch.
thanks again to space X.
 
Kama kwako ni sawa bila tofauti, basi nitakupa wali kwenye tufe.
Kama lengo lako unipe wali kwenye kitu cha duara basi hata kwenye tufe au sahani kote utakua sawa.. labda kama haujui hata sahani au disc nayo ni flat ila ni duara. Mpira huo tufe hauwezi kuuchora au kuupiga picha na ukakosa shape ya uduara.

So nipe kwenye duara flat na sio kwenye duara mviringo... rudi shule kelewe maana ya duara kwanza.
 
Hiyo lugha itafika wapi ilhali watumiaji wake wanaitendea kwa namna hiyo??
Kila duara ni mviringo.
Kimsingi ni bapa lakini inaweza kupindwa pia. Ikipindwa kabisa si duara tena bali tufe.
Hayo maneno yote yana ufafanuzi katika elimu ya hisabati.
Ila wewe endelea tu...
 
Watu walijua tangu zaidi ya miaka elfu mbili dunia ina umbo la tufe.
Soma yafuatayo:
Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia".
... (alizaliwa mnamo mwaka 276 KK mjini Kirene wa Libya.)
Wazo la kuwa dunia ina umbo la tufe lilijulikana kabla ya Eratosthenes. Yeye anajulikana kama mtu wa kwanza aliyeweza kukadiria mzingo wake kwa njia ya upimaji.

Alitumia pembe jinsi gani jua linavyoonekana kutoka mahali pawili duniani pamoja na hisabati ya duara.
  • kwanza alihisi ya kwamba umbo la mzingo wa dunia litakuwa kama duara.
  • Wakati wa safari moja alitazama jinsi gani jua liliakisiwa na maji ya kisima kirefu mjini Siene katika Misri ya kusini kwenye saa ya mchana tarehe 21 Juni. Alielewa maana yake ni kwamba mji huu ulikuwa kwenye tropiki ya kansa ya dunia na jua lilikaa kwenye kilele cha anga kabisa siku ile wakati wa mchana. Hii ilikuwa siku ya pekee katika mwaka ambako Jua lilifikia uso wa maji katika kisima hiki. Kwa hiyo alichukua pembe ya jua kuwa nyuzi 90. Alijua pia ya kwamba hali hii itarudia kila mwaka tarehe ileile.
  • aliweza kupima pembe jinsi jua lilivyoonekana kwake Aleksandria tarehe ileile saa ya mchana.
  • alijua umbali kati ya Aleksandria na Siene.
Nyingine ilikuwa hisabati ya duara ya kawaida. Kwa njia hiyo alikadiria mzingo wa dunia kuwa "stadia" 252,000. Hii ni tokeo nzuri sana. Hakuna uhakika alitumia stadia gani; kama alikadiria stadia ya Kigiriki yenye urefu wa mita 185 ingemaanisha mzingo wa kilomita 46,620 ambayo ni kubwa zaidi kwa asilimia 16. Kama alitumia stadia ya Misri za mita 157.5 ingemaanisha kilomita 39,690 ambayo ni karibu sawa na upimaji wa leo.
(Chanzo: Wikipedia, Erastothenes)
wikipedia sio reliable source mkuu
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Binadamu wakijua Dunia ni Tambarare kitatokea nini ?
 
wikipedia sio reliable source mkuu
Ukiona maelezo yoyote mtandaoni (kama ni wikipedia au tovuti nyingine), angalia kama inataja marejeo AU kama ni tovuti ya Chuo fulani. Makala hiyo ya wikipedia inaonyesha marejeo, unaweza kuangalia marejeo na kuamua kama zinatosha. (Ziko pia makala za wikipedia bila marejeo au marejeo mabovu). Mimi nimridhika marejeo ya chuo kikuu na cha profesa wa astronomia zinatosha.
Ukitaka kujisomea kwa undani, angalia hiyo: Eratosthenica (ila ni Kilatini), au kwa kifupi zaidi, fungua link ile ya profesa Sagan inayoonyeshwa katika makala ya wikipedia, ni hitimisho fupi kuhusu upimaji wa Erastothenes.

Au tafuta popote. ni ajabu kwamba wengi hawajui mtaalamu wa kwanza aliyegundua Dunia kuwa tufe na ukubwa wake alifanya ugundizi wake Afrika.
 
Wewe uliye chukua mstari wa Isaya kumbuka amesema sisi tuko ndani. Sio juu aliye juu ni YEYE Sasa kwa theory za darasan sisi ndio tuko juu tunazungunguka juu ya MDUARA sio ndani. Ndo maana nakwambia hapo Isaya alikuwa anazungumzia dome nusu DUARA ya chini flat ikizungukwa na nusu MDUARA kwa juu. Ambako YEYE AMEKETI sisi ndani ndo anatucheki tu tunavyozunguka kama panzi. Maana ceeling ni Crystal clear kwake YEYE aliye juu. But we can't get out
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ujinga huo umetoka wapi? Kila mtu anaweza kwenda Antaktiki akiwa na pesa ya kutosha. Kuna utalii, ni ghali kidogo.
angalia How to Visit Antarctica: 5 Ways of Getting to the Bottom of the World | The Manual
(Travel: How to Visit Antarctica: 5 Ways of Getting to the Bottom of the World By David Duran November 14, 2019)

au hapa: Antarctica travel
Experience Antarctica - Multi-day adventures
Antarctica Classic
Starting at4.899 £

Quest for the Antarctic Circle
Starting at7.499 £

Spirit of Shackleton
Starting at12.899 £

Antarctica Classic in Depth
Starting at5.199 £

Kwenye safari hiyo ya Shakleton (iliyo ghali! Tsh 40,562,009) kuna siku tatu ambako unatembea bara la Antaktiki kabisa, ona tangazo lao:
Day 7: South Shetland Islands/Antarctic Peninsula Experience some of the most unique wildlife and awe-inspiring scenery in the world while setting foot on the Antarctic continent. Weather and ice conditions permitting, our goal is to attempt memorable shore landings daily and encounter Gentoo, Chinstrap, and Adélie penguin rookeries; Weddell, crabeater, and leopard seals; and orca, humpback, and minke whales in the cold Antarctic waters. The peninsula also has a remarkable human history.
 
Wewe uliye chukua mstari wa Isaya kumbuka amesema sisi tuko ndani. Sio juu aliye juu ni YEYE Sasa kwa theory za darasan sisi ndio tuko juu tunazungunguka juu ya MDUARA sio ndani. Ndo maana nakwambia hapo Isaya alikuwa anazungumzia dome nusu DUARA ya chini flat ikizungukwa na nusu MDUARA kwa juu. Ambako YEYE AMEKETI sisi ndani ndo anatucheki tu tunavyozunguka kama panzi. Maana ceeling ni Crystal clear kwake YEYE aliye juu. But we can't get out
Mkuu,hebu ongezea ongezea nyama kidogo,maana hii kitu naifatilia sana
 
Nipe prove kama dunia ni duara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Dunia ni tufe, tafadhali tutumie lugha safi. (Duara ni bapa )
Pili Dunia inazungukwa kila siku na binadamu watatu waliopo katika Kituo cha Anga cha Kimataifa (ISS). Sasa hivi wako sita, nisipokosei.
Wanatazama tufe la Dunia. Unaweza kufuata kamera ya ISS. Ziko mbili zinarusha picha masaa 24.
Kamera 1: http://space-start.net/en/iss-1.html
Kamera 2: http://space-start.net/en/iss-2.html

Maelezo: During "loss of signal" periods, viewers will see a blue screen. Since the station orbits the Earth once every 90 minutes, it experiences a sunrise or a sunset about every 45 minutes. When the station is in darkness, external camera video may appear black, but can sometimes provide spectacular views of lightning or city lights below.

Tena unaweza kuona ISS mara nyingi jinsi inavyopita juu yetu. Angalia tovuti ya
halafu utaona ni saa ngapi /tarehe gani inapita juu ya Dar (unaweza kutafuta pia Z'bar na Mwanza)
The following ISS sightings are possible from Monday Jan 11, 2021 through Wednesday Jan 27, 2021
Date Visible Max Height* Appears Disappears Share Event
Mon Jan 11, 7:43 PM 3 min 20° 18° above WNW 11° above N Facebook Twitter
Thu Jan 14, 5:47 AM 2 min 11° 10° above NE 10° above ENE Facebook Twitter
Sat Jan 16, 5:46 AM 4 min 57° 10° above NNW 41° above ESE Facebook Twitter
Sun Jan 17, 4:59 AM 3 min 23° 15° above NNE 19° above E Facebook Twitter
Mon Jan 18, 4:15 AM < 1 min 10° 10° above ENE 10° above ENE Facebook Twitter
Mon Jan 18, 5:48 AM 5 min 23° 11° above WNW 11° above S Facebook Twitter
Tue Jan 19, 5:02 AM 3 min 55° 54° above WSW 10° above SSE Facebook Twitter
Wed Jan 20, 4:17 AM < 1 min 19° 19° above SE 15° above SE Facebook Twitter
Thu Jan 21, 5:05 AM < 1 min 10° 10° above SW 10° above SSW

Sasa hivi iko gizani juu ya Kanada. Hapa unaweza kuona nafasi yake kwenye ramani: Current position of the ISS
 
Hapo tovuti nyingine y a livestream za kamera za ISS; hapa wanatunza pia picha ya masaa 4, 6, 8 na kadhalika iliyopita:
"http:// www. ustream. tv/ channel /live-iss-stream"

(ondoa nafasi tupu, napaswa kukata anwani, menginevyo itaonekana kama picha, si anwani ya tovuti)

(ukichoka kuona giza ilhali umeingia kipindi ambako inapita kivuli cha Dunia)

Hizi kamera zinazunguka Dunia (ambayo ni tufe kama mpira) kila baada ya dakika 90.
 
kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?
 
Mkuu,hebu ongezea ongezea nyama kidogo,maana hii kitu naifatilia sana
Wakati ukisubiria nyama nyama kuongezwa hebu soma kwakutulia kitabu cha Mwanzo kuanzia Mwanzo mpaka habari za uumbaji zinapoishia, then utapata jibu umbo la dunia ni la namna gani.
 
kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?
Nikisikia wanachosema wale waliozunguka Dunia angani au pia kwa ndege: Ndio!
Nikisikia wanachosema hao waliopo juu pale sasa hivi: Ndio!
Nikiangalia picha za kamera za ISS (na satelaiti nyingine): zinalingana!
Nikichungulia habari zote ninazujua kuhusu jambo hili na kutumia akili ya wastani: Ndio.
 
kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?
Siyo inaonekana? Wote wanaona tufe. Wote wanazunguka tufe, sivyo?
Kama Dunia ni bapa, unaizunguka namna gani?
Vipi unaona umbo lake jinsi unavyopita juu yake, kuona mapya kila ukiendelea pale yaliyoonekana kama chini ya upeo (horizon)?
Hasa vipi unasurvive ukirushwa juu vile kama hakuna tufe ambalo mashine yako inapaswa kuzunguka, kwa kuzingatia nguvu ya graviti kulingana na kiasi cha mafuta unachobeba??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom