Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,399
Huu usafiri wa anga ni ghali sana. Hiyi mio 2 usD ni gharama ya roketi yake iliyolipukamkuu ni USD hizo ni 4 bilion tsh.
Huu usafiri wa anga ni ghali sana. Hiyi mio 2 usD ni gharama ya roketi yake iliyolipukamkuu ni USD hizo ni 4 bilion tsh.
hiyo mill 2 usd ni ndogo kupita kiwango.Huu usafiri wa anga ni ghali sana. Hiyi mio 2 usD ni gharama ya roketi yake iliyolipuka
yeah ni reusable rockets za musk.2Million Dollars mbona ndogo au ukitaka kumaanisha B
Kama lengo lako unipe wali kwenye kitu cha duara basi hata kwenye tufe au sahani kote utakua sawa.. labda kama haujui hata sahani au disc nayo ni flat ila ni duara. Mpira huo tufe hauwezi kuuchora au kuupiga picha na ukakosa shape ya uduara.Kama kwako ni sawa bila tofauti, basi nitakupa wali kwenye tufe.
Hiyo lugha itafika wapi ilhali watumiaji wake wanaitendea kwa namna hiyo??Kama lengo lako unipe wali kwenye kitu cha duara basi hata kwenye tufe au sahani kote utakua sawa.. labda kama haujui hata sahani au disc nayo ni flat ila ni duara. Mpira huo tufe hauwezi kuuchora au kuupiga picha na ukakosa shape ya uduara.
So nipe kwenye duara flat na sio kwenye duara mviringo... rudi shule kelewe maana ya duara kwanza.
wikipedia sio reliable source mkuuWatu walijua tangu zaidi ya miaka elfu mbili dunia ina umbo la tufe.
Soma yafuatayo:
Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia".
... (alizaliwa mnamo mwaka 276 KK mjini Kirene wa Libya.)
Wazo la kuwa dunia ina umbo la tufe lilijulikana kabla ya Eratosthenes. Yeye anajulikana kama mtu wa kwanza aliyeweza kukadiria mzingo wake kwa njia ya upimaji.
Alitumia pembe jinsi gani jua linavyoonekana kutoka mahali pawili duniani pamoja na hisabati ya duara.
Nyingine ilikuwa hisabati ya duara ya kawaida. Kwa njia hiyo alikadiria mzingo wa dunia kuwa "stadia" 252,000. Hii ni tokeo nzuri sana. Hakuna uhakika alitumia stadia gani; kama alikadiria stadia ya Kigiriki yenye urefu wa mita 185 ingemaanisha mzingo wa kilomita 46,620 ambayo ni kubwa zaidi kwa asilimia 16. Kama alitumia stadia ya Misri za mita 157.5 ingemaanisha kilomita 39,690 ambayo ni karibu sawa na upimaji wa leo.
- kwanza alihisi ya kwamba umbo la mzingo wa dunia litakuwa kama duara.
- Wakati wa safari moja alitazama jinsi gani jua liliakisiwa na maji ya kisima kirefu mjini Siene katika Misri ya kusini kwenye saa ya mchana tarehe 21 Juni. Alielewa maana yake ni kwamba mji huu ulikuwa kwenye tropiki ya kansa ya dunia na jua lilikaa kwenye kilele cha anga kabisa siku ile wakati wa mchana. Hii ilikuwa siku ya pekee katika mwaka ambako Jua lilifikia uso wa maji katika kisima hiki. Kwa hiyo alichukua pembe ya jua kuwa nyuzi 90. Alijua pia ya kwamba hali hii itarudia kila mwaka tarehe ileile.
- aliweza kupima pembe jinsi jua lilivyoonekana kwake Aleksandria tarehe ileile saa ya mchana.
- alijua umbali kati ya Aleksandria na Siene.
(Chanzo: Wikipedia, Erastothenes)
Kwani Binadamu wakijua Dunia ni Tambarare kitatokea nini ?Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona maelezo yoyote mtandaoni (kama ni wikipedia au tovuti nyingine), angalia kama inataja marejeo AU kama ni tovuti ya Chuo fulani. Makala hiyo ya wikipedia inaonyesha marejeo, unaweza kuangalia marejeo na kuamua kama zinatosha. (Ziko pia makala za wikipedia bila marejeo au marejeo mabovu). Mimi nimridhika marejeo ya chuo kikuu na cha profesa wa astronomia zinatosha.wikipedia sio reliable source mkuu
duara ya dunia ni dome ambapo sisi tupo ndani ya dome no body in no outBiblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Mkuu naomba unitumie kitabu
Jamani ujinga huo umetoka wapi? Kila mtu anaweza kwenda Antaktiki akiwa na pesa ya kutosha. Kuna utalii, ni ghali kidogo.Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,hebu ongezea ongezea nyama kidogo,maana hii kitu naifatilia sanaWewe uliye chukua mstari wa Isaya kumbuka amesema sisi tuko ndani. Sio juu aliye juu ni YEYE Sasa kwa theory za darasan sisi ndio tuko juu tunazungunguka juu ya MDUARA sio ndani. Ndo maana nakwambia hapo Isaya alikuwa anazungumzia dome nusu DUARA ya chini flat ikizungukwa na nusu MDUARA kwa juu. Ambako YEYE AMEKETI sisi ndani ndo anatucheki tu tunavyozunguka kama panzi. Maana ceeling ni Crystal clear kwake YEYE aliye juu. But we can't get out
Kwanza Dunia ni tufe, tafadhali tutumie lugha safi. (Duara ni bapa )
kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?Hapo tovuti nyingine y a livestream za kamera za ISS; hapa wanatunza pia picha ya masaa 4, 6, 8 na kadhalika iliyopita:
"http:// www. ustream. tv/ channel /live-iss-stream"
(ondoa nafasi tupu, napaswa kukata anwani, menginevyo itaonekana kama picha, si anwani ya tovuti)
(ukichoka kuona giza ilhali umeingia kipindi ambako inapita kivuli cha Dunia)
Hizi kamera zinazunguka Dunia (ambayo ni tufe kama mpira) kila baada ya dakika 90.
Wakati ukisubiria nyama nyama kuongezwa hebu soma kwakutulia kitabu cha Mwanzo kuanzia Mwanzo mpaka habari za uumbaji zinapoishia, then utapata jibu umbo la dunia ni la namna gani.Mkuu,hebu ongezea ongezea nyama kidogo,maana hii kitu naifatilia sana
Nikisikia wanachosema wale waliozunguka Dunia angani au pia kwa ndege: Ndio!kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?
Siyo inaonekana? Wote wanaona tufe. Wote wanazunguka tufe, sivyo?kwa hiyo kwa maeleza haya tunaprove vp dunia ni tufe?