The World is a flat plane and not a globe

IMG_6156.jpg

Absolutely
 
yaani unaamini kwenye matibabu na mengine halafu huamini katika Universe. Yaani waamue huku kudanganya na huku waseme ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi ya matibabu ipo very clear and factual,kama dawa ipo unaambiwa ipo,kama ni operation inafanyika na mtu anapona.Sio haya mambo ya universe sijui mara big ban theory vitu ambavyo havina uhalisia ni kama story za abun wasi....
 
Sorry mkuu,mwezi ni solid object ina surface kama ya dunia right?.How possible the solid surface ikawa transparent kwa kiasi cha mwanga wa jua kupenya na kumulika dunia??..
Tuanze polepole. Uso wa Mwezi haupitishi mwanga wa Jua lakini unaakisi mwanga wake (is not transparent but reflects light). Je unaelewa tofauti?
 
Sayansi ya matibabu ipo very clear and factual,kama dawa ipo unaambiwa ipo,kama ni operation inafanyika na mtu anapona.Sio haya mambo ya universe sijui mara big ban theory vitu ambavyo havina uhalisia ni kama story za abun wasi....
Tuendeleaa polepole.
Kuna tofauti ya kimsingi baina hadithi za Abunuwasi na maelezo ya fizikia na astronomia kuhusu ulimwengu.
Hadithi za Abunuwasi husimuliwa kuhusu mambo yanayotokea kati ya binadamu zikionyesha ujanja na matokeo yake - au matatizo yake.

Katika sayansi ya kisasa tunatofautisha kati ya "kanuni" (natural laws), "nadharia" (theories) na "nadharia tete" (hypothesis).
Mlipuko Mkuu ni nadharia tete kuhusu asili ya ulimwengu; thamani yake ni kwamba inaweza kueleza mambo mengi ambayo yamepimwa na kutazamwa. Udhaifu wake ni kuna mambo kadhaa ambayo hayaelezwi nayo hadi sasa.

Lakini katika kichwa cha thread hiyo hatuko tena katika ngazi ya nadharia tete. Dunia si bapa, maana inazungukwa kila siku na maelfu ya satelaiti, tena tangu miaka sitini hivi. Vilevile ndege maelfu hufuata njia za kuzunguka Dunia yetu kila siku.

Habari za kimsingi kuhusu Mfumo wa Jua leti zimethibitishwa pia kwa matendo, yaani kwa vipimaanga vilivyosafiri hadi sayari mbalimbali na kutuma picha na vipimo kutoka huko.
Kuna nadharia na nadharia tete mbalimbali zinazolenga kueleza historia ya sayari na ya Jua lakini hakuna wasiwasi tena kwamba hali halisi tuko kwenye sayari ya Dunia inayozunguka Jua pamoja na sayari nyingine.
 
Usikariri kuwa kila kitu kinapingwa, kama wameenda mwezini na wakaweza kujibu maswali na kutoa uthibitisho unadhani nani atapinga, uliza tuu Mmarekani aliyesema ameenda yeye kwanini anapingwa?
China wameenda mwezini hivi karibuni sasa sijui mtapinga nini sasa hivi.
 
Usikariri kuwa kila kitu kinapingwa, kama wameenda mwezini na wakaweza kujibu maswali na kutoa uthibitisho unadhani nani atapinga, uliza tuu Mmarekani aliyesema ameenda yeye kwanini anapingwa?
Haina haja ya china wala marekani kimthibitishia yoyote kama wamekwenda mwezini au lah.

Sababu hakuna faida ya kuongopa wala kupinga.
 
Tuendeleaa polepole.
Kuna tofauti ya kimsingi baina hadithi za Abunuwasi na maelezo ya fizikia na astronomia kuhusu ulimwengu.
Hadithi za Abunuwasi husimuliwa kuhusu mambo yanayotokea kati ya binadamu zikionyesha ujanja na matokeo yake - au matatizo yake.

Katika sayansi ya kisasa tunatofautisha kati ya "kanuni" (natural laws), "nadharia" (theories) na "nadharia tete" (hypothesis).
Mlipuko Mkuu ni nadharia tete kuhusu asili ya ulimwengu; thamani yake ni kwamba inaweza kueleza mambo mengi ambayo yamepimwa na kutazamwa. Udhaifu wake ni kuna mambo kadhaa ambayo hayaelezwi nayo hadi sasa.

Lakini katika kichwa cha thread hiyo hatuko tena katika ngazi ya nadharia tete. Dunia si bapa, maana inazungukwa kila siku na maelfu ya satelaiti, tena tangu miaka sitini hivi. Vilevile ndege maelfu hufuata njia za kuzunguka Dunia yetu kila siku.

Habari za kimsingi kuhusu Mfumo wa Jua leti zimethibitishwa pia kwa matendo, yaani kwa vipimaanga vilivyosafiri hadi sayari mbalimbali na kutuma picha na vipimo kutoka huko.
Kuna nadharia na nadharia tete mbalimbali zinazolenga kueleza historia ya sayari na ya Jua lakini hakuna wasiwasi tena kwamba hali halisi tuko kwenye sayari ya Dunia inayozunguka Jua pamoja na sayari nyingine.
Bado sayansi ya afya itabaki kuwa sayansi makini na halisi kuliko universal theories and laws ambazo nyingi zime base kwenye assumptions zaidi....
 
Tuanze polepole. Uso wa Mwezi haupitishi mwanga wa Jua lakini unaakisi mwanga wake (is not transparent but reflects light). Je unaelewa tofauti?

Tuanze polepole. Uso wa Mwezi haupitishi mwanga wa Jua lakini unaakisi mwanga wake (is not transparent but reflects light). Je unaelewa tofauti?
Lengo langu ni kuuliza ili kufahamu.Sasa na wewe unaniuliza tena?..okey..
kama ni reflection, inakuaje sisi wa upande wa pili duniani tukaupata mwanga na kuuona mwezi pia??
 
Bado sayansi ya afya itabaki kuwa sayansi makini na halisi kuliko universal theories and laws ambazo nyingi zime base kwenye assumptions
Bado sayansi ya afya itabaki kuwa sayansi makini na halisi kuliko universal theories and laws ambazo nyingi zime base kwenye assumptions zaidi....
Umependelea kukaa kimya kuhusu mfano wa satelaiti maelfu zinazozunguka Dunia kila siku. Satelaiti zinazorushwa angani kwa roketi, sawa na nateknolojia zinazopeleka vyombo hadi Mwezi au mirihi na sayari nyingine. Satelaiti zinazorushwa tangu miaka 40. Mengine hukaa karibu juu ya uso wa Dunia, mengine kama ISS (Kituo cha Kimataifa cha anga) kwa umbali wa kilomita 800, mengine kwa umbali wa kilomita 12,000. kutoka hapa ni hatua tu hadi zile kilomita 300,000 hadi mwezini. hayo yote si habari za kuhisi, wala mazingaombwe, ni kazi ya kila kila siku na maarifa iko tele.

Hadi makampuni ya binafsi yameanza kuingia katika kazi hiyo wanaotangaza bei zao za kusafirisha mizigo angani ...

Upeo wote wa Mfumo wa Jua umshapitiwa na vipimaanga vilivyorushwa kutoka Duniani vikirusha taarifa na vipimo kutoka kule. vipimaanga vimeshafika usoni mwa Mirihi na Zuhura, pia kwenye nyotamkia na asteroidi kadhaa.
Na intaneti unayotumia kutuandiki hekima yako, inatumia pia teknolojia ya anga-nje.
 
Lengo langu ni kuuliza ili kufahamu.Sasa na wewe unaniuliza tena?..okey..
kama ni reflection, inakuaje sisi wa upande wa pili duniani tukaupata mwanga na kuuona mwezi pia??
je una maanisha hali hiyo?
1607442389443.png

ni kawaida. kama Mwezi uko juuya upeo wa macho, tunaweza kuuona. Kiasi cha nuru yake hutegemea na pembe lake kwa Dunia. Kwa hiyo huwezi kuona mwezi mpevu kabisa wakati wa mchana.
 
Hii umeitoa wapi?
unauliza kuhusu:
Aleyn said: "Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h"

Usiulize "wazungu", ulizia sayansi ya fizikia, pamoja na hisabati

A) Kwenye uso wa Dunia tunazunguka kwa kasi ya takriban kilomita 1666 kwa saa ukikaa kwenye ikweta (=Nanyuki, Kenya). hapa TZ kidogi chini yake. Mzingo wa Dunia ni takriban km 40,000; hii inazunguka katika masaa 24, piga hesabu mwenyewe!

B) kuna mwendo mwingine. Pamoja na Dunia tunazunguka Jua mara moja kwa mwaka. Tunapita njia ya kilomita milioni 940 kila mwaka katika siku 365 na robo. hii inaleta kasi ya kilomita 107,000 kwa saa hivi.

C) tungeweza kuendelea lakini tubaki hapa. Maana kuna pia mwendo wa Jua pamoja na sayari zake katika galaksi, tukizunguka kitovu cha galaksi. Hapa kuna pia makadirio, ni nasikia ni kasi kama km 720,000 kwa saa. Na kuna pia mzunguko wa galaksi yetu katika anga - hapa sijatafuta namba.
 
So wewe unakataa kwamba hatuzunguki kwa hiyo speed?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom