Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 246
Mkuu kumbuka hata hawa Jamaa wa flat Earth hawataki kutoa ushirikiano wa kutosha ktk maswali wanayo ulizwa! Mfano Swali limeulizwa kuhusu picha ya hizo dome3 za vioo zinazo ifunika Dunia.Aliye piga picha ya hizo Dome zote 3 aliwezaje,iwapo roket inashindwa kupenya na kutoka nje ya dome ya kwanza tu?! Hata katika vitabu vya Dini hiyo habari ya Dome ya kioo kuifunika Dunia haija andikwa! Tungesema wanao pinga flat Earth iliyo funikwa na dome za kioo wanapingana na Mungu! Sasa Jamaa huyo mwingine utetezi wake ni kutuwekea Vijumba na Majengo yenye Dome kwa juu!This is not for my brain to decode as long as someone claims to have actually been there. It should be the matter of facts!!
Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshangaa kuwa evidences zote zinazohusiana na hii program ya mwezini NASA wanadai zimepotea. Hapa kuna tatizo.
Lakini pia nikiweka maoni yangu kuhusu globe earth na flat earth, wengi katika wateezi wa globe earth nimegundua wanakimbilia kwenye kile walicholishwa vyuoni kuliko kujadili uhalisia wa mambo. Ndipo utaona wajivuni wa complex mathematical formulas, wanaoringia maelezo ya wanasayansi wa ulaya n.k. Sifurahishwi sana na jinsi wanasayansi wetu wenyewe wanavyoshindwa kujenga hoja nyepesi tu za kueleweka kwa wana jf wa kawaida kama mtoa mada alivyokusudia.
Kwa mwenye ufahamu kidogo tu, why on earth pale panapohitajika elimu kwa umma wote watu wakimbilie kwenye maformula ya chuo kikuuu ambayo hawajawahi hata kuyafanyia kazi zaidi ya kukariri ili kupata GPA nzuri? Can't we think and make sense on our own? Kwa nini tufanywe watumwa wa mitazamo ya wengine?
I mean, sipo kupinga globe earth ila sipendezwi na majivuno ya kina Einstein n.k. Be simple, elezea kile ulichokielewa sasa in a layman's language. Kutuletea maelezo complecated ni dalili ya kutoelewa hata kile unachokizungumza, just break it down in a simple to understand language.
Thanks in advance.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk