The World is a flat plane and not a globe

Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wafiche dunia sio tambarare ni tufe?Nini faida ya kuficha?Hasara ni zipi endapo binadamu watajua kwamba dunia ni tambarare?Mbona ni jambo zuri tu kuvumbua mambo kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kwamba ukifa game over nawewe umelipata wapi?Ushahidi wa hilo ni upi?Yupo aliyekufa akafufuka akaja kuhadithia aliyokutana nayo huko kuzimu?
Hapa mimi najifunza kitu, huenda watu wanataka kulazimisha kilichoandikwa katika vitabu vya imani kionekane ni kweli, kwa sayansi ya mpaka sasa dunia ni ya duara.

Na ingekuwa kuna hayo sijui ma germinia, na ni dili kuna mataifa yaliyopinda hayaskii la mkuu yangesanua projects huko, kama vile Russia,North Korea,Iran e.t.c....Hizo zitabaki kuwa nadharia tu until tutakapo prove.Kabisa yani unaweka mchoro wa kisayansi halafu juu kabisa unawe "God" sijui Heaven Of Heaven.

Jamani watu weusi hizi habari za ukifa sijui ukaishi tena ni za kusadikika tu zifwate kwa maslahi ya jamii na siasa, na labda kukidho haja ya hofu ya kifo.Ukifa hauwi mtu tena GAME OVER(Ukweli mchungu sana).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya kuta za antarctic or southpole kuna extre land na dome iliyoseal dunia yetu na inashikika kama kioo ,tupo ndani yake hakuna space wala galaxy ,tupo inside a dome,so watu wakishtukia hilo watatahamaki maana wameishi na kufia kwa uwongo mbele ya nafsi na macho yao wakiamini na kupotoshwa uhalisi wao kwa miaka mingi.

Sample demonstration ya dome ,angalia boat imegoma jamaa anajiona na anashika ,but hii ni real na serious i mean real serious.
Kwanini wafiche dunia sio tambarare ni tufe?Nini faida ya kuficha?Hasara ni zipi endapo binadamu watajua kwamba dunia ni tambarare?Mbona ni jambo zuri tu kuvumbua mambo kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200129_010344_423.JPG
IMG_20200129_010408_666.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANTARCTIC TREATY
YOU ARE NOT ALLOWED TO CROSS THESE LEVELS WITHOUT PERMIT
Black circle in a flat azimuthal map shows what they mean by 60th degree
IMG_20200129_011201_207.JPG
IMG_20200129_010711_252.JPG
IMG_20200129_010633_669.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom