The World is a flat plane and not a globe

Basi kama unakataa sawa ila mimi ndo nilimaanisha hivyo.

Kama ambavyo umepewa mguu na wengine wanazaliwa hawana mguu basi kumbe unapewa huo mguu ns mwingine anakosa kupewa.
.na akili ndio hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaozaliwa na mguu maana yake wamezaliwa na mguu sio wamepewa, hii ita make sense kama uko madhabahuni tu ila sio hapa

Samahani kwa hilo
 
Ksms nimekuelewa basi nitakubsli kuwa marejreo yake ni sahihi endapo yatakuwa yana eleweka vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa fanyeni agreements nyinyi kwa nyinyi mpate jibu ambalo mtakubaliana wote kwa pamijs sio huyu anasema hakuna huku mwingine anasema kuna

Manake mnatuchanganya kama sigara kali
 
Wanaozaliwa na mguu maana yake wamezaliwa na mguu sio wamepewa, hii ita make sense kama uko madhabahuni tu ila sio hapa

Samahani kwa hilo
Kupewa ni kupewa tu.

Kama ambavyo mtoto anakuja nyumbani na pipi tutasema kaja na pipi lakini amepewa.

Ila okey maadamu wewe hutaki kukubali kuwa umepewa kwa sababu huyo mtoaji humusmini basi nadhani tusipoteze energy kwa hili.

Mimi nibaki kuamini kuwa umepewa akili na itumie

Usilazimishe kizibo cha soda ufunikie jaba

Mtoto kuja na pipi hakuna relation yeyote na mtoto kuzaliwa akiwa na miguu

Hakuna ulazima wa pipi aliyokuja nayo huyo mtoto kua amepewa anaweza kuja na pipi pengine ameokota. mpaka mifano yako yenyewe inakugomea hivi haustuki?
 
Sasa hata mifano hatuelewani bwa mkubwa.

Basi sawa boss mi napumzika sasa hivi.
Usilazimishe kizibo cha soda ufunikie jaba

Mtoto kuja na pipi hakuna relation yeyote na mtoto kuzaliwa akiwa na miguu

Hakuna ulazima wa pipi aliyokuja nayo huyo mtoto kua amepewa anaweza kuja na pipi pengine ameokota. mpaka mifano yako yenyewe inakugomea hivi haustuki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao dai kuwa dunia ipo flat wanaelezeaje kuhusu picha za dunia zilizopigwa kutoka angani zikionyesha dunia ni kama sphere??
 
Wanao dai kuwa dunia ipo flat wanaelezeaje kuhusu picha za dunia zilizopigwa kutoka angani zikionyesha dunia ni kama sphere??
Wanasema ni uongo

Kumbuka wanasema hivyo bila evidence
FB_IMG_15801559966950614.jpg
 
Moderators kuweka hii thread kwenye recommendation list imenishangaza sana.
Article ndefu imejaa upuuzi tu alafu inakua #1 kwenye recommendations, ndiyo sababu watu hawaendelei. Sishangai mleta mada kua masikini maana conspiracy theorists wengi hua ni masikini.

Hili swala tulishalijibu miaka zaidi ya elfu iliyopita, hakuna haja ya kuendelea kulidiscuss leo. What a disappointment to the human race hadi leo hii na advancement yote ya technology mtu anasema hollywood wanawachezea, stupid.
 
Iwe flat au globe, au flattened sphere, au triangle, vyovyote, tunamshukuru Mungu kwa maisha na uzima. Tunawaombea ndugu wote wanaopitia mahangaiko mbali mbali hapa duniani kama maradhi, umasikini, vita, ukame, mabadiliko ya hali ya hewa n.k. awatizame na kuwatangulia kwenye njia yao. Na iwe na iwe.
 
Nilijua tu
Flat earther lazima awe alien believer Freemason beleiver na other conspiracies
Yani Ukipenda boga Basi penda na ua lake

Ukionesha kwanini kivuli cha dunia kwenye mwezi kina shape ya duara hivyo mwezi unakuwa kama sickle wakati muda huo dunia ni flat nitaamini kuanzia leo...anyway according to your model kwenye mchoro wa kwanza kama mwezi na jua vyote vipo kwa juu ya dunia iliyo flat then kivuli cha dunia hakiwezi kuuzinga mwezi hivyo siku zote duniani ingekuwa ni full moon

ARUSHA KWETU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom