The world cheapest car....

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,416
2,263
nano8_264545a.jpg

Peter Foster: A natty little beauty of a car

Tata's new 'People's Car' might be the future

Leader: Indian people's car

Billed as the 'people's car', the four-door Tata 'Nano' promises to do for India's aspiring middle classes motoring what the VW

Beetle and the Mini did to democratise motoring in Europe after the Second War.

The world's cheapest car - a runabout costing just £1,300 - was unveiled in New Delhi to protests from environmentalists but delirious excitement from millions of ordinary Indians.

The car, which is the dream of Ratan Tata, chairman of the Indian car giant Tata Motors which is favourite to buy the Jaguar and Landrover brands from Ford next month, will bring four-wheeled motoring into the reach of millions more of India's middle classes.

As a hologram of a typical Indian family of four wobbling along on a motorbike faded to black, Mr Tata, 70, spoke of the motivation behind the Nano which is half the price of India's current cheapest car.

"I observed families riding on two-wheelers - the father driving the scooter, his young kid standing in front of him, his wife seated behind him holding a little baby," he said.

It led me to wonder whether one could conceive of a safe, affordable, all-weather form of transport for such a family.

Tata Motors' engineers and designers gave their all for about four years to realise this goal.

"Today, we indeed have a People's Car, which is affordable and yet built to meet safety requirements and emission norms, to be fuel efficient and low on emissions."

Many were surprised by the Nano's natty styling, confounding pre-launch predictions that a car at that price would be little more than "a super-charged autorickshaw" or "two motorcycles joined at the hip".

The four-door vehicle, which has only one wing-mirror, is powered by a rear-mounted 624CC engine which generates just 33 horsepower to carry it over India's famously pot-holed roads.

Inside the dashboard is, to say the least, sparse with a speedometer, a fuel gauge and an oil-warning light, causing one motoring correspondent to observe that "the average wristwatch has more instrumentation".

The basic model has no power steering, wind-down windows and no air-conditioning - a genuine hardship in a country where summer temperatures regularly exceed 45C/113F - although two 'deluxe' models with air-con are planned.

However the car, which costs about double the price of a standard Indian motorbike, will be highly economical to run with its tiny two-cylinder engine delivering 50 miles to the gallon.

Analysts say the Nano has the potential to transform the face of global motoring, although Mr Tata said the company had no plans to sell it abroad "for at least two to three years".

Initially the company plans to produce 250,000 vehicles by the end of 2008 before considering whether to export to other emerging markets in Africa and Latin America where safety standards are less stringent than in Europe.
With car sales predicted to quadruple in India in the decade - 1,000 new cars enter the streets of the capital New Delhi every day - the Nano concept has come under fierce attack from environmentalists.

Outside the auditorium, activists from the environmental protest group Greenpeace held up banners calling for the world to tackle climate change and "CUT CO2" rather than build millions of ever-cheaper cars.

Sunita Narain, the head of Delhi's Centre for Science and Environment has called on the government to tax cars 'like crazy' to pay for a desperately needed upgrade to India's ailing public transport systems.

For the majority, however, the real concern is not pollution but congestion as the streets of India's cities - originally designed to accommodate rickshaws and the odd lumbering Ambassador - are overwhelmed by super-affordable modern cars.

But Mr Tata tackled his critics announcing that the Nano conforms to "Euro IV" emissions standards and dismissing claims that the world's roads would be over-run by millions of his cheap cars.

"The idea that we're going to flood the global market with millions and millions of these cars is not true. Tata Motors doesn't have the resources to do that.

"Even if all targets are hit, sales of the Nano will not account for more than 2.5 per cent of total annual car sales in India," he said.

Instead he focussed on the ideal of bring fresh opportunities to millions of people in rural India, where 65 per cent of the population still live, most without access to decent public transport.

"People talk about India's cities but we live in a country of one billion people, most of whom are denied connectivity, and that is something which we hope will now change with this car."
 
I love the design. Am saving up to go to India and buy it, since they are not exporting to Africa at the moment.
 
Serikali yetu inabidi iziangalie hizi gari kwa ajili ya matumizi ya wabunge wetu!! :)
 
Msiwe na wasi wasi

"DUGU YETU WATANZANIA ENYE ASHIRI YA KIHINDI,TANUNUA ALAFU...BAADAYA YA AKA NNE,TANO HAPA NCHINI TATUUZIA SISI TUMIE....!
 
Serikali yetu inabidi iziangalie hizi gari kwa ajili ya matumizi ya wabunge wetu!! :)

Hahahahaha!

Unajua sikuiona hii post...! Umenivunja mbavu SteveD. Wakikusikia....! Nimekumbana na haka ka-gari mtaani leo nikiwa kwenye mihangaiko yangu. Mdada mmoja alokuwa anakaendesha nadhani kashangaa kuona namkodolea kila dakika kwenye foleni. Niliikumbuka hii thread ghafla.

Vidogo sana lakini vigari hivi
 
tukibanana laki 3 zetu za madafu kila mwisho wa mwezi by december na mimi ntapata haka!!! dont we all wish we had that BOT Money!! i joke i joke
 
Hahahahaha!

Unajua sikuiona hii post...! Umenivunja mbavu SteveD. Wakikusikia....! Nimekumbana na haka ka-gari mtaani leo nikiwa kwenye mihangaiko yangu. Mdada mmoja alokuwa anakaendesha nadhani kashangaa kuona namkodolea kila dakika kwenye foleni. Niliikumbuka hii thread ghafla.

Vidogo sana lakini vigari hivi

ehh robot kwani hizo gari si nasikia so far zipo india tuu??ina maana nawe uko huko ama?

anyways kwa aliyetoa wazo hizo ndio ziwe gari za wabunge kweli ni wazo zuri sana hasa ukizingatia 2010 yakaribia...ni bora zitumike ku replace mashangingi ambayo kama muonavyo sasa wameanza kutuingiza mjini hata yakiwa na plate namba za kiwaziri bila hata aibuuu
 
HAbari kubwa hii! Nadhani ni wakti mwafaka wa kuachana na used cars tena ambazo ni gharama kubwa. Ni wakti mwafaka wa kumiliki brand new car. Wajameni TATA msisahau kutuletea huku Bongo!
 
HAbari kubwa hii! Nadhani ni wakti mwafaka wa kuachana na used cars tena ambazo ni gharama kubwa. Ni wakti mwafaka wa kumiliki brand new car. Wajameni TATA msisahau kutuletea huku Bongo!

Pia katika matumizi ya wese inaelekea kinakula kidogo kama vibajaji.
 
nano8_264545a.jpg

Initially the company plans to produce 250,000 vehicles by the end of 2008 before considering whether to export to other emerging markets in Africa and Latin America where safety standards are less stringent than in Europe.

HAbari kubwa hii! Nadhani ni wakti mwafaka wa kuachana na used cars tena ambazo ni gharama kubwa. Ni wakti mwafaka wa kumiliki brand new car. Wajameni TATA msisahau kutuletea huku Bongo!

Soma nukuu ya hapo juu..
 
Soma nukuu ya hapo juu..

Kibunango. Ndio tatizo la waafrika wengi wetu. Watu wote wamechangia naona wame-ignore hiyo underline. LOL!! Watu wanaangalia bei tu, ajali na maafa baadae. Ndio mambo ya TSB hayo.
Wachina wamekuwa wakijaribu kuingiza magari yao ulaya, kila wakifanya crush-test ujerumani, magari yao yanafeli, ila kwao China wanauza kama kuku. Na wakija kuweza kutengeneza magari imara, waChina watafunika hadi waJapani in due time.
 
Zaidi ya safety standards sasa kuna viwango CO2 yaani soko la Ulaya linazidi kuwa gumu. Viwanda vikubwa ulaya sasa vinaangalia vitaweza kupinga vipi kiwango kipya cha kutoa kaboni ambacho ni 120g/km, kuanzia 2012.

Bongo swala la viwango na hasa usalama, bado tunajikongoja. Sidhani kama tuna sheria ambazo zinajali viwango vya magari. Mara nyingi katika ukaguzi wa magari,kinachotizamwa ni breki,breki ya mkono, taa,na vitu vingine vidogo dogo. Nakumbuka wakati sheria za kufunga mkanda zilipoanza kutumika magari mengi yalikuwa hayana mikanda, hivyo wengi walifunga mikanda ya ajabu ajabu ili mradi tu kumridhisha askali polisi, lakini sio kwa usalama wake.

Sheria ya kuvaa helmet ilipoingia nayo ilikuja na vichekesho vyake, kwani wengine walidiriki kuvaa sifulia.

Ndio maana kwa nchi kama China na India amabao viwango vyao si vya kuridhisha huleta magari yao TZ kwani hakuna viwango. Kiwango kikubwa ni kama gari hilo linaweza vipi kupita katika barabara yenye tope, na inauwezo gani wa kuzidisha idadi ya lumbesa toka mikoani.
 
Hahahahaha!

Unajua sikuiona hii post...! Umenivunja mbavu SteveD. Wakikusikia....! Nimekumbana na haka ka-gari mtaani leo nikiwa kwenye mihangaiko yangu. Mdada mmoja alokuwa anakaendesha nadhani kashangaa kuona namkodolea kila dakika kwenye foleni. Niliikumbuka hii thread ghafla.

Vidogo sana lakini vigari hivi

BubuMsemaOvyo kaniacha hoi aliposema vinakule wese kidogo kama bajaji tuu... duuh, hii kali kwa kweli, 0.5L nini?! lol

Nawe unavyoanza kuvikodolea macho si ndiyo noma hiyoo.... wanasema bado havija pass safety standards za Europe, kwa maana hiyo kikiburuzwa na Prado hakichelewi kuteketea na kutoweka kama kipande cha barafu!!

Halafu nawe tena unaongeza kwa kusema ni vidogo sana... hili si tusi kwa wabunge wetu?.. inamaana wengi wao ni vibonge sana, yaani wamegeuka tufe na hawawezi kufit kwenye gari ndogo au ?!

...........lol :p
 
Ukweli ni kwamba mashangingi ni mzigo lakini angali hilo shangingi linatumika wapi hebu fikiri mbunge wa Makete kwa mfano tu rahisi haukuna njia atakayopitakuwafikia wananchi wake bila gari kama shangingi lakini kwa dar ni mzigo kwa hiyo kimsingi suala si gari suala hapa nimatumizi ya hilo gari.
 
not exactly... it promised to be the world's cheapest car but other car manufacturers are on there way to unleash there products too... and they will definitely be more cheaper that the Nano..
 
Jamani hizi mpaka zifike hapa Dar ni miaka ....tunaendelea kuvisubili lakini mpaka vifike hata bei yawezekana ikapanda...bomba sana usafiri huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom