The woman of my life (Mwanamke wa maisha yangu)

Hii imenifanya nilie kwa hakika, Mungu amekupa kilicho chema na unapaswa ukithamini hasa, nimejitazama tu na nikiri kwa hakika sijui kama naweza fika japo nusu ya uvumilivu wa mkeo, she real is the best..!!
Ahsante sana Dada,stay blessed
 
Nimejisikia kutokwa na machozi hasa hapo mlipokula maembe mabichi mkalala na hapo alipokua mgonjwa na mtoto pembeni imeniuma sanaaa. Mungu awape furaha maana karaha mmeshazipitia.
Ahsante sana,,ndio maisha mpendwa,kuna mengi sana ktk maisha,zaidi ya haya,,ila subra na kutokata tamaa ni kitu kikubwa sana
 
Wanawake wachache mno wa ivyo. Shukuru Mungu upate mwanaume mwema, mpole, mwenye hofu na Mungu hata kama uwezo wake ni mdogo. Wangapi wenye hela zao wanawanyanyasa wake zao na kuwafukuza!!! Lakini dunia ya sasa kumpata mwanaume alietulia ni nadra mno, kwa wanawake pia hivyo hivyo, wewe na bahati yako kamanda.
Kabisa ndugu yangu,thanks
 
Hii story nimemsikia Diva the Bawse wa Lavidavi Wasafi FM kapita nayo,,,Kaisimulia vizuri sana
Hii ni story Halisi ya maisha yangu,,for more information 0652803515,,unaweza ukawasiliana nami kuniuliza zaidi,au kuuliza zaidi kwwnye page hii
 
Vipi mzee wewe ndio ulimbikiri??. Nataka nijue kuwa lbda true love inahusiana na haya mambo pia.
 
Hivi kwa mfano mtoto wako wa darasa la 1, akikuletea ripoti ya matokeo yake ya mtihani ameshika nafasi ya 1; utamwambia "huo sio mtihani wa kupongezwa, subiri mtihani wa darasa 7 uone kama utafaulu"? Ujue comments nyingine zinakufanya uhisi malezi mtu aliyolelewa, au malezi anayolea watoto wake. Mtu akifanya jambo jema, mpe sifa yake; usidharau au kutake for granted, kisa kesho na kesho kutwa anaweza kuja kukosea; ya kesho mtayajuaga hukohuko
Usinilazimishe WANAWAKE wa siku hizi Ni ma Umbwa yasiyojielewa
 
Back
Top Bottom