Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Nahisi kuwa ndani ya JF ni mimi peke yangu nnayetazama this TV show
Yaani hawa watu mlioko states inaonekana kuwa mliopo JF eidha hamna Cable ya kukamata HBO au bado mnaendelea kuagiza cvd za ZE KEMODI toka bongo
haya nani kati yenu anatazama the wire?
http://www.youtube.com/watch?v=Y0PMyOBF4Ps&feature=related
by the way trailer ya season five imetoka jana hii hapa:
http://www.youtube.com/watch?v=gPflEzVBSq0
Now lets talk about THE WIRE