The white president - 'Rais mweupe'

Muzode

New Member
Nov 19, 2010
2
0
UTANGULIZI na (Muzo,Shalom,Deusdedit)

Katika kutafakari maisha ya watanzania tokea uhuru mpaka hapa tulipofikia 2010 nawaza naona pich ambayo watanzania wanatakiwa kuwa nayo nitofauti na iliyopo, badala ya kufarijika nazidi kuwa na msongo wa mawazo kila siku,nawaza sana natamani nchi yangu Tanzania iwe bora na mahali pema na pazuri pa kuishi kwa vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo.

Nawaza nchi kama yetu tunahitaji raisi "mweupe" nadhani rais huyu awatie damu yake nyeupe wote walioko chini yake wageuzwe nia zao kuwa nyeupe kadhalika na matendo yao kuanzia ngazi ya juu mpaka ya chini nawaza ninani anayewaloga wenye mamlaka nashindwa kushawishika na kuamini kama nchi yetu ni maskini nataka kufanya kitu na nataka kuwa "mweupe"

kuwa mweupe kule kusikokuwa na doa, kule kubadilishao, kuanzaia ngazi ya nyumba mpaka ikulu nchi yetu isafishwe iwe nyeupe watoto wa watu wa chini wanauwezo hawaendi shule watoto wa wakubwa wanaenda tena hawafikii viwango halisi

rais mweupe awe anaona hali halisi ya watanzania na awe tayari kuwahurumia, awe tayari kuondoa matabaka awaone maskini awe nao karibu ajue kero zao awe na............................................................................

kadili tunavyosonga mbele tutaona namna gani white president awe kwani mimi ni mdau wa namna ninavyotaka Tanzania iwe.
kwa sasa tuishie hapo

 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
220,745
728,548
rais mweupe awe anaona hali halisi ya watanzania na awe tayari kuwahurumia, awe tayari kuondoa matabaka awaone maskini awe nao karibu ajue kero zao awe na................................................ ............................

Huyu utakutana naye mbinguni......................
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom