The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

mimi ni CCM.lakini hata MAGUFULI sikumwelewa.unasema eti mabeberu wanataka nchi yetu kwa sababu Ya rasilimali zilizopo.ndiyo .wanazitaka kwa sababu huna uwezo wakuzitumia .hatuna political will yakuzitumia ipasavyo.hatuna technologia.kinachotakiwa ni kwamba kaa mezani na hao mabeberu wambie njoni mwekeze then nipeni asilimia kadhaa.ni kweli ukishupaza shingo wanaweza kukuumiza.lakini kwani amerika au mabeberu ndiyo wanasabisha ufukuzane na mbweha wanaokutukana ?hata YESU alimtukana HERODE .SOMA HII:
31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.

32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
Opportunity ya Jpm was a missed target, kupoteza muda mwingi kupambana na makabwela wanalala njaa mitandaoni wakati mabwanyeye a awaona ilikuwa I kosa kubwa
 
Push agenda ....twende Tiktok, Ag na X tukapush kuhakikisha Burn inatembea kwa hawq makahaba wa ccm. Ccm milio imeshaanza kutoka huko Bungeni, msagaji Bulaya analialia eti Usa hawajasililiza upande wa Tz... 🤣🤣😃 Leo ccm wqnataka wasilizwe na mabeberu....
Hatujasikilizwa vipi hawamuamini Kombo na Kikwete.
 
Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.
Hichi ndo wanachofanya sasa hivi...

Misaada si walishaikata tokea 2025 huko?

Kama ni rasilimali Tanzania hatuna maajabu kwenye hilo...

Na kwanini wanatunga kisa cha uongo kwamba wakristo wanakandamizwa hapa nchini? Kitu ambacho sio kweli mpaka wamarekani waliowahi kuishi huku wenyewe wanabisha.

Itakuwa wanatanua kifua tu, waonekane wanajali kuhusu demokrasia.
 
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

Mnahangaika sana masikini. Mnataftiza kila baya litakalosemwa dhidi ya Bongo basi nyie mnashabikia tu. Ugonjwa mbaya huu. Poleni sana
 
Tuliza kinanii..... Hao sio kamati za makende chande....wana taarifa za kutosha.
 
Tuliza kinanii..... Hao kamati za makende chande....wana taarifa za kutosha.
Ted Cruz ni myahudi huwezi kusikia anakemea mauaji ya wakristo Gaza na Jerusalem. Leo anatunga script kwamba Tanzania kuna ukandamizaji wa wakristo. Wanaongea wanachotaka tu.
 
Ted Cruz ni myahudi huwezi kusikia anakemea mauaji ya waislamu Gaza na Lebanon. Leo anatunga script kwamba Tanzania kuna ukandamizaji wa wakristo. Wanaongea wanachotaka tu.
Kanisa la ufunuo na uzima halikufungwa?waumini wake hawakupigwa na polisi na je Mali za kanisa hazikukupotea wakati kanisa likiwa chini ya ulinzi wa polisi wakiwa na silaha za moto?
 
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

confused US government with their leader are in suffocating mode politically speaking 🐒
 
Kanisa la ufunuo na uzima halikufungwa?waumini wake hawakupigwa na polisi na je Mali za kanisa hazikukupotea wakati kanisa likiwa chini ya ulinzi wa polisi wakiwa na silaha za moto?
Gwajima ni muislam?, unajua alichofanyiwa na waumini wake.... Au dam za watu zinawpanda kicwa na hilo Bi chande makende lenu

Kwa mujibu wa umoja wa mataifa, ukandamizwaji wa kidini ni endapo;

1. Watu wanakatazwa kushikilia imani flani kabisa, imani inafanywa kosa.

2. Watu wanazuiwa kushiriki ibada, kwa kujumuika au kwa kibinafsi.

3. Watu wanalazimishwa kuacha/kufuata imani flani.

Na haya inabidi yatendeke kimfumo, kwa muda mrefu na kwa kujirudiarudia.

Kesi za ufunuo na TEC hazitoshi, japo kweli ni mbaya.

Screenshot_20260526_222811.jpg
 
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
=================
BACKGROUND

On December 4, 2025, the State Department announced a review of the U.S.-Tanzania relationship over concerns related to election fraud, human rights abuses, and violations of religious freedom that threaten U.S. interests.

The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship Act

Requires the State Department, in coordination with other federal agencies, to conduct a comprehensive reassessment of the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including Tanzania’s democratic trajectory, political repression and the impacts of recent unrest on U.S. businesses and regional stability.

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.

Calls for a detailed strategy outlining necessary democratic reforms in Tanzania, including protections for freedom of expression, religious liberty and the rule of law.

Requires a report identifying Tanzanian government, ruling party and security officials responsible for political violence, enforced disappearances, censorship, religious persecution and other gross human rights violations.

Authorizes sanctions, including visa bans and asset blocking authorities, against individuals responsible for serious human rights abuses and political repression.

Suspends certain U.S. security assistance, economic and development assistance and trade support for Tanzania until the Secretary of State certifies that Tanzania has implemented meaningful democratic reforms and ended politically motivated prosecutions and censorship.

Prohibits Millennium Challenge Corporation support for Tanzania until the Tanzanian government demonstrates a renewed commitment to democratic governance.

Expresses solidarity with the people of Tanzania and supports calls for an independent international investigation into violence surrounding Tanzania’s October 2025 elections.

SWAHILI Google Translate.

USULI

Tarehe 4 Desemba 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ilitangaza mapitio ya uhusiano wa Marekani na Tanzania kuhusu masuala yanayohusiana na udanganyifu katika uchaguzi, ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa uhuru wa kidini unaotishia maslahi ya Marekani.

Kutathmini upya Sheria ya Uhusiano baina ya Marekani na Tanzania:

Inahitaji Wizara ya Mambo ya Nje, kwa uratibu na mashirika mengine ya shirikisho, kufanya tathmini ya kina ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania, ikijumuisha mwelekeo wa kidemokrasia wa Tanzania, ukandamizaji wa kisiasa na athari za machafuko ya hivi karibuni kwa biashara za Marekani na uthabiti wa kikanda.

Inaagiza Utawala kutathmini kiwango cha ushirikiano wa Jamhuri ya Watu wa China katika kijeshi, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ushirikiano ambao unaweza kudhoofisha taasisi za kidemokrasia na maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Wito wa mkakati wa kina unaoeleza mageuzi muhimu ya kidemokrasia nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidini na utawala wa sheria.

Inahitaji ripoti inayobainisha maofisa wa serikali ya Tanzania, chama tawala na usalama waliohusika na vurugu za kisiasa, upotevu wa nguvu, udhibiti, mateso ya kidini na ukiukwaji mwingine mbaya wa haki za binadamu.

Inaidhinisha vikwazo, ikiwa ni pamoja na marufuku ya viza na mamlaka ya kuzuia mali, dhidi ya watu wanaohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa.

Inasimamisha baadhi ya usaidizi wa usalama wa Marekani, misaada ya kiuchumi na maendeleo na usaidizi wa kibiashara kwa Tanzania hadi Waziri wa Mambo ya Nje atakapothibitisha kuwa Tanzania imetekeleza mageuzi ya maana ya kidemokrasia na kukomesha mashtaka na udhibiti uliochochewa kisiasa.

Inakataza msaada wa Shirika la Changamoto za Milenia kwa Tanzania hadi pale serikali ya Tanzania itakapoonyesha dhamira mpya ya utawala wa kidemokrasia.

Inaonyesha mshikamano na watu wa Tanzania na inaunga mkono wito wa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia zinazohusu uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.

Sasa naanza kuelewa kwa nini ni serengeti airport na sio Mwanza , mwekezaji WA Serengeti ni kule Nyalandu alimdangànya mama anaweza kunyosha mambo, kumbe wàlikuwa Wana mpiga hela
 
Mnahangaika sana masikini. Mnataftiza kila baya litakalosemwa dhidi ya Bongo basi nyie mnashabikia tu. Ugonjwa mbaya huu. Poleni sana
Nani anahangaika hukuwaona leo wabunge walivyokuwa wanalia.
 
Back
Top Bottom