TESRA
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 304
- 261
Hakuna anayejua ndio maana mwanadamu anaishi maisha ya kufikirika.Anaona kiza mbele hajui anakokwenda ni Mungu tu anayejua.Achana na hiyo comment ya kwanza ni mawazo yake na kile anachowaza kuhusu Mungu lakini Mungu atabaki kuwa Mungu.Sijui kitu.
ni kweli mungu hakuumba ila MUNGU ameumba na wewe ni kazi ya mikono yakehili langu sio povu..
Mpaka hapa tulipoleo hakuna chenye uthibitisho dhahiri kuwa chenyewe ndo chanzo cha kila kitu!.. unavyosema kuwa tutafakari namna vitu vilivyo kisha tuhitimishe kuwa mungu ndo kaumba huo ni ukilaza!.
na ndio maana huyo mnaemuita mungu mnashindwa kumdhihirisha kwamaana ni mungu wa kufikirika(mnamfikiri kuwa yeye ndo kaumba)
lkn udhihirisho ndo neno kuntu na ndio maana huwa mnawaambia watu waamini tu!.
ulimwengu ni kama kitabu kikubwa sana ambacho lugha zake zote bado hatujazijua,taratibu tunaendelea kuzisoma huku tukipukutisha ulimbukeni na kung'amua mambo tofauti tofauti.. let the nature talk
umeona hiyo ndo hoja ya msingi ati mungu na MUNGU ni tofauti,nikikwambia uitamke kwa herufi ndogo na kubwa utaweza..? au ndo ujanja ujanja uso na hatua yoyote mnajitahidi kuonyesha utofauti lkn mnatambua dhana inayoongelewa hapo ni moja tu! shangaza sana nyie..ni kweli mungu hakuumba ila MUNGU ameumba na wewe ni kazi ya mikono yake
Jina la kitabu ni NEW BOOK?Tafuta new book by Dan Brown Origin itakufumbua
kitabu kipya cha Dan brown kinaitwa originJina la kitabu ni NEW BOOK?
Ahsante mkuu, nitakitafuta, Nina library kubwa ya vitabu hili nacho kitaongezekakitabu kipya cha Dan brown kinaitwa origin
Evolution isnt a fact brother, it's a theoryEvolution is fact. Kama mbaka muda huu unakataa itakuwa una matatizo ya akili