The United Republic of Tanganyika and Zanzibar

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
5,921
Likes
96
Points
145

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
5,921 96 145
Kama nimemuelewa vizuri anahitaji ile serikali iliyomezwa(TANGANYIKA) itambulike pia.kumbukumbu zinaonyesha ili jina la United Republic of Tanganyika and Zanzibar lilianza kutumika kabla ya hili la sasa.hizi ni changamoto za muungano ambazo wazee wetu wameshindwa kuwa wazi,wako kimya wanasubiri kufa ili watuachie msala!
 

Forum statistics

Threads 1,203,135
Members 456,618
Posts 28,100,933