The True cost of losing one customer. Mteja mmoja akijitoa, kampuni inapoteza mapato ya wateja 100.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
The True cost of losing a customer.

One negative customer experience may seem like a drop in the ocean of all your customer interactions, but it’s never that simple. Losing a customer isn’t as simple as losing a single sale. Consider these statistics from a recent survey from NewVoiceMedia:

After experiencing poor customer service:

• 37% of customers would change their supplier
• 28% would post a negative online review
• 26% would complain via social media
• 13% would tell friends/colleagues
10% would inform the media

Huu ni mfano tu. Mimi ni mfanyabiashara, phone book yangu ina contacts 150, kati yao 110 tunawasiliana kupitia voda-voda.

Kwa siku huwa napokea simu kati ya 30-40 kwenye namba yangu ya voda na hutumia wastani wa dakika 1-2 kuongea = dk 80 kwa siku.

Huwa natumia laini ya voda kupiga voda -voda na mitandao mingine kwa wastani wa calls 15-20 kwa siku @ dk 2 = dk 40 kwa siku.

Matumizi ya laini yangu moja ya Voda iwapo nitaifunga au kutoitumia.

1. Watu zaidi ya 110 walio kwenye contacts yangu ambao wangetumia vocha za Vodacom watakosa mawasilino yangu.
2. Zaidi ya dk.120 (80+40) kwa siku sawa na masaa 60 kwa mwezi yapotea.
3. Bando la Data, kwa wastani natumia 150MB kwa siku = 4.5GB kwa mwezi hazitatumika.
4. M Pesa transactions kati yangu na wateja wangu haitafanyika, faida ya mikopo ya M PAWA na SONGESHA nk. haitapatikana

Hasara hii inasababishwa na mteja mmoja, VODACOM ina wateja takribani milioni 14, let say 10% ya wateja wa Voda wanajitoa, 10% yake ni 1.4M.

VODACOM kwa mwezi watapoteza,

1. Airtime: Dk. 3,600 x 1.4m = dk. 5,040m, ukizidisha gharama ya sh.5@sek= sh.300@dk, kampuni itapoteza mapato ya Tsh.1.5t kwa mwezi.

2. DATA (MB): 4.5 X 1.4m = 6.3mGB zitapotea kwa mwezi. Gharama ya kuperuzi ni sh.0.26@bt, kampuni itapoteza tsh.1.6t kwa mwezi.
3. Hasara ya transactions za M Pesa, M PAWA, Nipige Tafu na Songesha kwa wateja 1.4m itakuwa kubwa zaidi.
4. Missed calls: 40 + 20 = 60 kwa siku (kupiga na kupigiwa), kwa mwezi sawa na 1,800 x 1.4m = 2,520m (2.52b) missed calls, watu watakuwa disappointed na kusababisha wengine kubadili mtandao.

Hii ndiyo nguvu ya kumpoteza mteja mmoja kwenye biashara, wataalamu wanasema gharama ya kumrudisha ni mara sita zaidi ya kumbakisha.
 
Back
Top Bottom