The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Ahsante mkuu! Nipo Miami Florida mwaka wa tano huu namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri japo kuna watu walinikatisha tamaa kipindi hiko nafikiria kutoka kwenda kutafuta maisha nje ya Tz
I know it wasn't that easy, ingekuwa vizuri ungeshare hata kwa uchache how the struggle was., umeniimpress mkuu.
 
Tanzania bado ni nchi mtu ukiamua kweli kweli kukaza kama mnavyokaza matako huko nje unatoboa vizuri sana, kuna fursa nyingi mnoo, hamna mtu atanishawishi nihame nchi yangu kwenda kupigika ugenini ili kuleta heshima home wakati mazingira yanaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna fursa Tanzania.

Utabaki masikini milele.

Jina litabadilika na kuwa less poor than others.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom