Zanzibar 2020 The Telegraph: Tanks sent to tourist island of Zanzibar as Tanzania's strongman leader eyes indefinite rule

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,619
2,000
Tanks hata zingekuwa 500 barabarani hakuna shida wewe nenda kapige kura Wala tanks haikuzuia kupiga kura....kila mtu afanye kazi yake tusiingiliane.Tupo kuangalia usalama wa nchi mzima na tanks zingine tumepeleka kusini mwa nchi mbona husemi tena mchana kweupeee usitupangie Cha kufanya....kila mmoja afanye wajibu wake...nenda kapige kura na Kama Kuna tanks zitakuzuia tujulishe haraka
We wadanganye mazwazwa wenzako wa Lumumba. Dunia nzima inajua nini kinaendelea uko Visiwani! Jiulize: Bara Kuna Wapiga Kura 29 million Hakuna Tanks na Hakuna Uchaguzi wa Awali!
Zanzibar kuna Wapiga Kura 400,000+ lakini JWTZ na Tanks wamejazana huko na Uchaguzi ni 2 days( 27/10~28/10)!!
What's so special there?
 
tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
We wadanganye mazwazwa wenzako wa Lumumba. Dunia nzima inajua nini kinaendelea uko Visiwani! Jiulize: Bara Kuna Wapiga Kura 29 million Hakuna Tanks na Hakuna Uchaguzi wa Awali!
Zanzibar kuna Wapiga Kura 400,000+ lakini JWTZ na Tanks wamejazana huko na Uchaguzi ni 2 days( 27/10~28/10)!!
What's so special there?
Zanzibar hizo tanks ni kawaida Sana toka1995 wewe hukuwepo hazina shida ndo taratibu zetu huko Wala hazikudhuru wewe mmbara uliyoko znz usiogope waznz wenyewe. Wamezoeya kuziona. Wakati wa uchaguzi

Amka. Nenda. Kapige kuru usiogope
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom