The Tanzanian Olympic Team | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Tanzanian Olympic Team

Discussion in 'Sports' started by Kang, Aug 12, 2008.

?

Je watarudi na medali?

 1. Yes

  2 vote(s)
  40.0%
 2. No

  3 vote(s)
  60.0%
 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nimeona niweka hapa tuongelea the games themselves and how they are going, kwenye thread nyingine kumekua na mambo mengi.

  Page ya Tanzania on Olympic website iko empty kidogo, hata timu haipo sasa sijui tatizo ni nini? Labda hatukujaza forms mapema:eek:

  Country website:
  http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/NOC/TAN.shtml

  According to http://allafrica.com/stories/200808110280.html tuna 10 athletes ambao ni:

  1. Samson Ramadhani
  2. Msenduki Mohamed
  3. Getul Bayo
  4. Samuel Kwaang
  5. Magdalena Mushi
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/5/237675.shtml
  6. Samuel Mwera
   (Sina uhakika ni Samweli yupi huyu maana Samweli wako wawili, na majina ya mwisho hayamatch yote!)
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/3/237673.shtml
  7. Rushaka Khalid
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/4/237674.shtml
  8. Fabian Joseph
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/2/237662.shtml
  9. Dickson Marwa
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/6/237666.shtml
  10. Zakia Mrisho
   http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/Athlete/9/237669.shtml
  Schedule
  Pia mkiangalia maeneo ya Schedule ya athletes wetu utaona mengi yapo empty, so far naelewa kuwa.

  Magdalena atashindana
  Aug 15 2008 18:37 Swimming Women's 50m Freestyle - Heat 3
  Rushaka atashindana
  Aug 14 2008 18:37 Swimming Men's 50m Freestyle - Heat 3

  Mengineyo
  So far nimeweza kulocate page 5 za wanamichezo wetu zengine sioni labda hatukujaza fomu tena au majina ni tofauti, sina uhakika.

  Kama kuna mtu ameziona page/schedule za washiriki wengine basi ongezea humo.:confused:

  Results
  Men's 50m Freestyle - Heat 3
  National Aquatics Center / Thu Aug 14 2008 / Start Time: 18:33
  3rd Place: RUSHAKA Khalid Yahya 28.50 sec
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...angalau kuna mwanga wa kujua 'matokeo' hapa. shukran.
   
 3. A

  Alpha JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 4. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nadhani nimemuona mwogeleaji wa Tanzania (wa kiume), amekuwa wa tatu, halafu tv ikakosa network ghafla, nini kinaendelea huko jamani?

  asante sana kwa kutuhabarisha, mimi sikuwa najua chochote zaidi ya kuwa kuna mtanzania anaogelea leo, matokeo yake tangu asubuhi natumbulia macho swimming tuu..yaani hata michezo mingine imenipita
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Zakia anaweza kurudi na shaba ama fedha...
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Good news and bad news!!
  Good News ni kwamba Mtanzania amekua wa tatu kwenye heats zake leo!! In a time of 28.50 sec. (World Record ni 21.28 sec)

  Bad news ni kwamba muda wake hauleti matumaini kuwa anaweza kuchukua medali, ukizingatia WR holder naye yumo.

  Nadhani inaamaanisha atakuwemo siku ya 50m Freestyle Finals ila sina uhakika na hilo, hii site ya Olympic iko "Made in China" kweli kweli.

  Dada Moshi anashindana kesho.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tunasindikiza tu wenzetu serikali yenyewe haijatilia mkazo sana kwenye hii team.
   
 8. A

  Alpha JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  You are a dreamer aren't you. See my link above he came 84th out 97 in terms of qualifying time. Stick a fork in hime he's done.

  Our girls best time is around 32 sec and the Olympic Record is around 23 sec. It's not going to happen for her either.

  Ony good news is she is young. Only 18... Maybe she can be competitive in London 2012 if she is given the right support, coahing, nutrition, etc. But this is TZ so what are the chances of that happening.....Zero!!!!!

  Just watch how the TZ Olympic commitee tries to spin this into "He came 3rd in his race" and try not to mention he actually came 84th out of 97. Anyway he is 28 so thats the last we will see of him. Why they sent someone that old with no chance of even making it to the finals is beyond me. They could have at least sent someone younger to gain some experience for the next games.

  But hey it's TZ, Short sightedness, incompetence and poor leadership are the name of the game. Now if there was an olympic event for any of those three disciplines, along with Seminars, Corruption, Setting up commitees, Apathy, lying, begging... etc we would definetely come away with several medals
   
 9. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wamemuonyesha swimmer wa Guinea eti wanasema anatetemeka hata kabla ya kugusa maji. Bongo na swiming ni kupoteza muda, Umeona miili ya watu hukoo? Mwili tuu unatisha. Anyways ilibidi tutafute mahali ambapo tutakuwa na chance na sio kulazimisha tuu watu waende. Mfano kukimbia, boxing or something.
   
Loading...