big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 422
- 554
Leo kwenye kuzurula kwangu mitandaoni nikaikuta hii kitu inaitwa Tanzania Effects, Baada ya wizara ya Utalii kukomalia suala la kuitangaza nchi yetu huko Marekani especially kwenye viwanja vya michezo, wenyeji wa huko hasa wachezaji na mashabiki angalau sasa wanaifahamu Tanzania
Hii kitu ni kwamba baadhi ya timu zinazoshiriki kwenye ligi kuu ya mchezo wa American football, zimeanza kujenga imani kuwa kwenye upande ambapo lipo au yapo matangazo ya vivutio vya utalii Tanzania basi wachezaji wa upande huo hupata mori zaidi ya mchezo na kushinda.. Im sure hii itatuletea watalii zaidi kutoka maandishi matatu..Bravo zenyu mingi wizara ya Utalii
Source: The Tanzania Effect