The Tale of two pictures: Whats wrong?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,988
kikwetepics.jpg

somewhere in Tanzania; president of the republic

nyerere_phixr.jpg

somewhere in Tanzania; President of the Republic..

what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to have been a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.
 
mkuu mimi nilinote siku nyingi sana hizi differences, asante kwa leo kutuwekea formally. huyu wa sasa amekuwa president wa nchi masikini kama tanzania kwa bahati mbya tu, alistahili zaidi kuwa mfalme huko uarabuni ndiko angefiti zaidi.............
 
what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to be a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.
mimi naamini ni advancement ya sciences na technologies ndiyo inayowatofautisha
 
mimi naamini ni advancement ya sciences na technologies ndiyo inayowatofautisha

Unamaanisha huyu mmoja alikosa chepe, mkeka n.k? Hapana machepe na mikeka ipo tangu enzi
 
Mwanakijiji, mkuu.
asante leo umefanya siku yangu, ni picha tofauti toka kwa watu tofauti, wenye malengo tofauti, fikra tofauti, mtizamo wenye sura tofauti.
Nyerere alikua ni mkulima kweli, mpambanaji hasa, alikua anaishi kwa kadri ya falsafa yake ya kujitegemea alivyo itetea miongoni mwa jamii
Kikwete ni msanii tu, hana falsafa anayohubiri, hana dira,
anatenda hayo kisanii, kizushi ,kutafuta sifa na ujiko mbele ya watu na wanaCCM wenzake.
Mwanakiji picha hizo zinzleta fikra nzito na kali.....acha niendelee kufikiri na kuziangalia tena.
 
.................acha niendelee kuziangalia na mimi
 
Hivi katika hali ya kawaida unapandaje mti umepiga magoti! Very artificial! hivi ina maana akipanda huo mti bila mkeka hawezi au ndio usalama wa taifa hawamruhusu kufanya hivyo! hata pale Ikulu akipanda miti anatandikiwa mkeka, si yeye tu hata viongozi wengine wakifanya matukio kama haya...! Mtu anapewa tenda ya kunua mikeka kwa ajili ya upandaji miti! Ukiona budget ya shughuli za upandaji miti kuna mikeka!
 
Yeah,

Kikwete ni kipenzi cha watu, ana mvuto (ndiyo maana ya kuwekewa mkeka), na mwisho ni chaguo la MUNGU

Nyerere hakuwa kipenzi cha watu - hadi MAUTI yalipomkuta ndio watu wakaanza kumpenda -, alifanya mambo kwa kadri alivyoona inafaa yeye mwenye (dictator), na soon will be among the SAINTS!
 
Asante MMKJJ kwa kutupatia kiji compare and contrast hizo picha.

Nyerere was genuine, JK ni msaani.
Nyerere was down to earth, JK ni Bishoo.
Nyerere alifanya mambo akiamini toka moyoni mwake, JK anafanya mambo ili watu waone.

Picha zinasaidia kuwasoma watu kuanzia machoni, kichwani mpaka kilichopo humo ndani ya vichwa vyao, ukiona profile picha ya Mwalimu, you can see the substance in it, na ukiona smiles za Mkulu, you can see the emptyness.

Japo picha ni deceiving sometimes, kama icon ya Mzee Mwanakijiji, inaendena kabisa na maandishi yako, inawezekana ukijakuona the true picture, you might be surprised to get a diferent impression. Kwenye picha hapo tukio hilo lilipangwa kabla na mkulu akatayarishiwa kila kitu, wakati wa Mwalimu, jamaa alikuwa huwa anaamua tuu.

Ukisikiliza hotuba za Mwalimu, you can tell maneno yanayotoka moyoni kupitia mdomoni, lakini JK ni maneno yatokayo mdomoni, anayasema aliyoandikiwa ili watu wasikie tuu, japo kwa hili nakiri, kuna mara chache sana, anaongoe kutoka moyoni, and he mean what he says.
Nyarere hakuwa na marafiki, alikuwa na washirika katika ujenzi wa taifa, ukiboronga, unapigwa chini, JK ana wapambe, kwa vile na yeye aliingia Ikulu kwa stahili hiyo, them hana guts na kuwarudi hao wapambe wake, hata wakiboronga vipi.
 
Yeah,

Kikwete ni kipenzi cha watu, ana mvuto (ndiyo maana ya kuwekewa mkeka), na mwisho ni chaguo la MUNGU

Nyerere hakuwa kipenzi cha watu - hadi MAUTI yalipomkuta ndio watu wakaanza kumpenda -, alifanya mambo kwa kadri alivyoona inafaa yeye mwenye (dictator), na soon will be among the SAINTS!

You are wrong about Nyerere. Nyerere was so charismatic and loved by the people that he managed to sell a corrupt guy as Mr Clean and people agreed with him and elected him president kwa Ushindi wa Kishindo. You know why because they loved and believed in Nyerere so much.
 
kikwetepics.jpg

somewhere in Tanzania; president of the republic

nyerere_phixr.jpg

somewhere in Tanzania; President of the Republic..

what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to have been a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.

Viatu vyake kanunua from a designer shop in Italy sasa vikichafuka si unajua tena, alafu swala zima la manicure na pedicure linacost na mama watoto ashalalamika . Baba yeye ilikua made in TZ.
 
Back
Top Bottom