The Story Book ya Wasafi FM

Wanaajiri watu wanaoweza kusimulia vizuri ila elimu duni na anapotosha mambo mengi tu
Pia kuna mambo ambayo ni conspiracy theories ila wao wanayaeleza kama ni fact vile, mfano wazungu walitengeneza Ukimwi, Tupac yupo hai, Osama yupo hai, na nyingine nyingi za kuokoteza tu mtandaoni halafu wanazieleza kama ni kweli vile.
 
Ungetuletea hapa jukwaan simulizi ya bruce lee ndio tuone sasa kweli anazidisha chumvi au vip
 
Kongole kwake Abdallah Mtiga,uncle anajua na kipaji kile namuona level za mbali, Sauti,mpangilio wa maneno huwa ananifanya safari yangu nisione uchovu, big up kwake pamoja na Pepsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni EquatorStory
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom