The storm kipindi kipya cha fashion kilicholeta mapinduzi, nirvana chali

Anko Elly

Member
Feb 22, 2017
69
70
Bikuhabari wapenzi wenzangu wa fashion, bila shaka natumaini kuwa hamjambo, binafsi ni mdau mkubwa sana wa vipindi vya fashion hapa nchini.

Sema kwa leo nitazungumzia vipindi viwili vya fashion vinavyorushwa na vituo viwili tofauti vya luninga vya EATV na CLOUDS.

THE STORM na NIRVANA, nimekuja kugundua ule ubunifu na manjonjo ya kipindi cha NIRVANA Hakuna tena, hapa nazungumzia NIRVANA ya Abby na kina Deo Kithami.

Sasa baada ya ujio wa huyu Miss Tz 'Lilian Kamanzima' sio siri amekuja kukiua hiki kipindi, tofauti na THE STORM ambacho ukikitazama hakiboi.

Mara Lilian Masuke kachangia hili, mara Ayoub Mremi kamponda flani, yaani ilihali ni katika ni kukifanya kipindi kuwa cha kipekee.

Big up Guys... Vyuma vimekaza...
 
This guy Ayoub is so annoying sometime.
i didn't know Lily was a miss Tz.
 
Baada ya kipindi kukichukua miss tz kimeharibika sana,storm ya ctv ni noma sana.
 
Mnaosifia mtakua ni watangazaji wa clouds tv au clouds fm si bure..
 
Back
Top Bottom