The Shortest War in History-The Anglo-Zanzibar War.

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
The Anglo-Zanzibar War was fought between the United Kingdom and Zanzibar on 27 August 1896. With a duration of around 40 minutes, it holds the record of being the shortest war in recorded history.

The war broke out after Sultan Hamad bin Thuwaini, who had willingly co-operated with the British colonial administration, died on 25 August 1896, and his nephew, Khalid bin Bargash, seized power in what amounted to a coup d'état. The British favoured another candidate, Hamud bin Muhammed, whom they believed would be easier to work with, and delivered an ultimatum ordering Khalid to abdicate. Khalid refused, and instead assembled an army that consisted of about 2,800 men and the former Sultan's armed yacht H.H.S. Glasgow anchored in the harbour. While Khalid's troops set to fortifying the palace, the Royal Navy assembled five warships in the harbour in front of the palace (three modern protected cruisers, the Edgar class HMS St George, the Pearl class HMS Philomel and the Archer class HMS Racoon; plus the two gunboats HMS Thrush and HMS Sparrow). The British also landed parties of Royal Marines to support the "loyalist" regular army of Zanzibar, numbering 900 men in two battalions led by General Lloyd Mathews, formerly a Royal Navy lieutenant.

Despite the Sultan's last-minute efforts to negotiate for peace via the U.S. representative on the island, the Royal Navy ships opened fire on the palace at 9 am on 27 August 1896 as soon as the ultimatum ran out. The Glasgow was soon sunk, and, with the palace falling down around him and escalating casualties, Khalid beat a hasty retreat to the German consulate where he was granted asylum. The shelling stopped after 40 minutes.

The British demanded that the Germans surrender the erstwhile Sultan to them, but he escaped to sea on 2 October 1896. He lived in exile in Dar es Salaam until captured by the British in 1916. He was later allowed to live in Mombasa where he died in 1927.

As a final act, Britain demanded payment from the Zanzibar government to pay for the shells fired on the country.
 
Hawa jamaa walikuwa wananyanyasa kumshinda hata George Bush jr. Ndio maana bado wanamng'ang'ania mzee wa watu Bob.
 
Enzi hizo tulikuwa na ujasiri wa kupambana lakini leo hii tumekuwa vibaraka wa kutupwa na wala hatujui wajibu wetu wa kulinda the so called 'African Dignity' we were so much proud of.
 
Kevo i admire your lesson.It seems that there are things students don't know about about our history.Very few know obout Anglo-Zanzibar war.Reason for that may be either they are not taught, they do not want to seek more knowledge or both.

As days counts so is our history forgotten.Very few of us remember what they did this morning.That is also history and it is not as old as Anglo-Zanzibar war of 1896!
 
Kevo i admire your lesson.It seems that there are things students don't know about about our history.Very few know obout Anglo-Zanzibar war.Reason for that may be either they are not taught, they do not want to seek more knowledge or both.

As days counts so is our history forgotten.Very few of us remember what they did this morning.That is also history and it is not as old as Anglo-Zanzibar war of 1896!

Thanks doug.Wizara ya Elimu ina emphasise na hata syllabus zetu zinatuonyesha tusome historia ya our former colonial masters ila wenye uchungu na elimu kama mimi,wewe na yule we search in deep waters.
 
Enzi hizo tulikuwa na ujasiri wa kupambana lakini leo hii tumekuwa vibaraka wa kutupwa na wala hatujui wajibu wetu wa kulinda the so called 'African Dignity' we were so much proud of.

I remember reading about this in the Guiness Book of Records, some accounts place the time at 38 minutes while other say it was as much as 48 minutes, in any case it was under 50 minutes.

"Tulikuwa" na ujasiri as if Muingereza alikuwa anapambana na Wazanzibari.Muingereza alikuwa anapambana na Sultani wa kiarabu, wote walikuwa wanagombea kutawala Wazanzibari na kupata karafuu.

Kuna mifano ya ku cite wakati ukisema "Enzi hizo tulikuwa na ujasiri", the Maji Maji and Mkwawa against Germans are two examples that come to mind, not this one.
 
I remember reading about this in the Guiness Book of Records, some accounts place the time at 38 minutes while other say it was as much as 48 minutes, in any case it was under 50 minutes.

"Tulikuwa" na ujasiri as if Muingereza alikuwa anapambana na Wazanzibari.Muingereza alikuwa anapambana na Sultani wa kiarabu, wote walikuwa wanagombea kutawala Wazanzibari na kupata karafuu.

Kuna mifano ya ku cite wakati ukisema "Enzi hizo tulikuwa na ujasiri", the Maji Maji and Mkwawa against Germans are two examples that come to mind, not this one.

You have been noted.
Shukrani.
 
In 1904 the Zanzibar Government signed a contract with the American firm, Arnold Cheney and Co. to build the famous Bububu Railway. Less well know is the fact that the Americans also undertook the task of installing electrical power lines along the track right of way. This was the beginning of the general electrification of the islands.Wherever the rails went metal poles were installed and power lines strung overhead. By 1906, long before even London obtained them, Stone Town had electric street lights.
 
i Remember Reading About This In The Guiness Book Of Records, Some Accounts Place The Time At 38 Minutes While Other Say It Was As Much As 48 Minutes, In Any Case It Was Under 50 Minutes.

"tulikuwa" Na Ujasiri As If Muingereza Alikuwa Anapambana Na Wazanzibari.muingereza Alikuwa Anapambana Na Sultani Wa Kiarabu, Wote Walikuwa Wanagombea Kutawala Wazanzibari Na Kupata Karafuu.

Kuna Mifano Ya Ku Cite Wakati Ukisema "enzi Hizo Tulikuwa Na Ujasiri", The Maji Maji And Mkwawa Against Germans Are Two Examples That Come To Mind, Not This One.

Kevo Ujamsoma Pundit,mashujaa Wetu Ni Mkwawa Na Mashujaa Wa Majimaji, Wala Si Hao Makoloni Wa Kiarabu.
 
..............."'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf"

'Mien Kampf' was written long before Hitler came to power and started the extermination of Jews, Poles, Russians, Homosexuals, and the Disabled, plus many many more, so I doubt the quote above is accurate.
 
Tarehe 27 Agosti mwaka 1806, yaani miaka 208 iliyopita, kulitokea vita vya muda mfupi zaidi duniani visiwani Zanzibar.

Jengo la Kihistoria mjini Unguja linalojulikana kwa jina la Beit al-Ajaib lililojengwa na Sultan Barghash bin Said huko Forodhani kisiwani Unguja, lilishambuliwa kwa mizinga ya manowari za Uingereza.

Hatua hiyo ilikuja kufuatia ugomvi uliozuka baina ya wana wawili wa Sultani wa Zanzibar. Watoto hao walijulikana kwa majina ya Said Barghash Khalid na Said Hamud bin Muhammad na ugomvi wao ulihusiana na utawala na nani anapaswa kurithi kiti cha ufalme.

Vita hivyo vilidumu kwa dakika 45 tu na kuwa vita vifupi zaidi duniani.

Dunia imesomeshwa zaidi juu ya vita kuu ya dunia iliyopiganwa mwaka 1914 hadi 1918, lakini mzizi wa vita hiyo unaanzia mbali na huitwa vita ya siku saba.
Vita ya Miaka Saba ilitokea kati ya 1756 hadi 1763. Ilianza kutokana na mashindano ya nchi za Ulaya ikasambaa pande nyingi za dunia. Hivyo imeitwa "Vita kuu ya dunia" ya kwanza hata kama jina hili kwa kawaida latumiwa kwa ajili ya vita kati ya 1914 hadi 1918.

Washiriki katika vita hii walikuwa nchi za Ulaya na koloni zao pia watu wa sehemu mablimbali za dunia walioshikamana nao

Wapiganaji wa vita hiyo walikuwa ni nchi za Kijerumani Purussia na Hannover pamoja na Uingereza na koloni zake katika Amerika na Asia upande mmoja

Upande wa pili ulikuwa na nchi za Kijeruman za Austra na Saksonia pamoja na Urusi, Uswidi halafu Ufaransa pamoja na koloni zake katika amerika na UhindiNchi za Ureno na Hispania zilivutwa ndani ya vita baadaye, pia Waholanzi ambao hawakushiriki katika vita vilishambuliwa katika Uhindi.

 
asante sana mkuu , umetukumbusha mambo mazuri sana , kumbe huu ujasiri wa wazanzibar kupiga kura ya hapana BMK haukuja hivihivi tu !
 
Asante mkuu lakini angalia kuhusu vita ya dunia tusijewapotosha watoto wanaingia NECTA kesho kutwa wakakariri vita ya dunia ilikuwa mwaka 1756-1763
 
Asante mkuu lakini angalia kuhusu vita ya dunia tusijewapotosha watoto wanaingia NECTA kesho kutwa wakakariri vita ya dunia ilikuwa mwaka 1756-1763
Kile kinachotajwa kuwa ni vita kuu ya 1914 - 1918 mzizi wake ni vita ya siku saba ya 1756-1763
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom