The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Wanabodi,
Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda
Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.
Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.
Paskali,
Huyu Mzee anaona mbali sana,
Maamuzi yake meengi yanalenga matokeo makubwa sana uko mbele kimsingi yupo kwa maslahi ya Tanzania kuliko maslahi binafsi, Zamani viongozi walienda nje sana wakitumia pesa za nchi, sasa hivi Kiongozi wetu anatembea nchi nzima na kutoa support hapo hapo, yale maugomvi ya mifuko ya dollar kwa waandamizi hamna tena, ni mwendo wa mwananchi.
 
Mkuu, nipe issues. Kwa nini Mwl. Nyerere alipenda reli ya kati iliyojengwa 1905 iendelee kuishia Isaka? Lakini lilipokuja suala la TAZARA, ikaishia Zambia ( Kapirimposhi)?
Hivi ni mizigo gani hiyo itabebwa na SGR kwenda au kutoka Rwanda ili tupime kama ni bao lenye mchongo.
Pili, SGR ifike mpakani kabla ya kufika Mwanza? Mbona Isaka-Mwanza-Entebbe/Portbell/Jinja ni karibu zaidi kuliko Isaka-Kigali-Kampala?
 
Based on my intellectual capacity and my vast knowledge ,tactically and tentatively ,right from the beginning of times especially in the light of Ecclesiastes evolution I have come to a concrete,definite and profound conclusion that I actually have nothing to say ,thankyou.
😯🤫
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR, War, kati ya majeshi yayoutwa MAGUFUGAME yaliyoubuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua Mikono Juu Kuomba Po!, na Kukubali Matokeo!, Rais Magufuli ni Rais Shujaa Muona Mbali, , Baada ya zile Tanchi za Ndege, Apiga Tena Bao la Kisigino kwa Kupiga Tanchi ya SGR!. MUSEVENYATTA, Hoi, MAGUFUGAME Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili na kujua nazungumzia nini, anzia kwanza kwenye bandiko hili ili kuijua kwanza hiyo vita ya MAGUFUGAME vs MUSEVENYATTA ni vita gani na wanapigania nini?

Kwenye MAGUFUGAME VS MUSEVENYATTA, Hoja zilikuwa ni hizi...
1. Ili SGR ilete faida, reli hiyo has to pass through nchi moja kwenda nchi nyingine.
2. SGR ya Kenya Imeanzia bandari ya Mombasa ilikuwa ipite Uganda.
3. Na SGR ya Uganda ilikuwa itoke Kenya ipite Uganda hadi Rwanda na ilikuwa igharimiwe na Wachina.
4.Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda

5. Uamuzi huu wa MAGUFUGAME, ulipelekea kizungumkuti kambi ya MUSEVENYATTA, hatua ya kwanza ni China kujitoa ku fund SGR ya Kenya, hivyo sasa SGR ya Kenya itaishia, Naivasha, that is the end of the road kwa SGR ya Kenya, hivyo sasa kuwa the biggest white elephant project in Kenya, kujilipa ni miujiza. Leo ndio Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amenyanyua mikono yake juu, na kukubali kupigwa bao na Tanzania, kwa kukubali kuwa sasa SGR ya Kenya itaishia Naivasha hivyo haiwezi kutengeneza faida, wala kujilipa.
6. Hivyo sasa sijui kama Museveni atajenga tena hiyo SGR yake, ikijengwa, itajengwa ili kupeleka wapi mzigo?.

Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.

Nani alijua kwanini Magufuli amekwenda Rwanda, akahamisha SGR ya Rwanda kupitia Tanzania. Alipokwenda Uganda, huko nako akapiga tanchi, Bomba la Mafuta la Uganda ambalo lilikuwa lipite Kenya kutumia Bandari ya Mombasa, sasa litapita Chongoleani, Tanga, Tanzania na kutumia Bandari ya Tanga.

Hii SGR ya Tanzania to Rwanda ikikamilika, Bandari ya DSM ndio itakuwa Bandari Kiongozi kwa nchi za Afrika Mashariki, kama SGR ikifika Rwanda, then Mzigo wa Uganda utafika mapema zaidi Uganda ukipitia Bandari ya DSM kuliko ukipitia Bandari ya Mombasa, kwasababu SGR ya Kenya inaishia Naivasha, SGR ya Tanzania inaishia Kigali, ni rahisi zaidi kutoa mzigo Kigali kupeleka Kampala kuliko kutoa Naivasha to Kampala, hivyo uamuzi wa Rais Magufuli kujenga SGR ya Tanzania hadi Kigali, umeipiga bao SGR ya Kenya na SGR ya Uganda. Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.

Paskali.
Rejea
Paskali katika ubora wake wa kusifia
 
acha uongo wewe.. fuatilia vizuri ujue kwanin SGR kwa sasa inaishia Naivasha. Kuna kesi Court na jamii ya wamasai, ikiisha, mradi unaendela kama kawaida.
 
Mkuu punguza ushabiki.
Hakuna vita ya kiuchumi baina ya Kenya/Uganda na Tanzania/Rwanda

Miradi yote ni ya maendeleo kuinua wananchi wa nchi husika.
Siamini kwamba ni revenue ya Rwanda tu ndiyo inayogombewa ,bali wananchi wote reli inakopita.

Tusije kuwa carried away, mbona reli ya TAZARA ina nyanyapaliwa na kuna uchumi mkubwa zaidi wa Zambia ,Congo na Malawi ,na the Big Four Southern regions, bread basket ya Tanzania.

Tusijiumbue na ushabiki usio na tija.
 
Swali zuri sana
Wanabodi,

Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR, War, kati ya majeshi yayoutwa MAGUFUGAME yaliyoubuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua Mikono Juu Kuomba Po!, na Kukubali Matokeo!, Rais Magufuli ni Rais Shujaa Muona Mbali, , Baada ya zile Tanchi za Ndege, Apiga Tena Bao la Kisigino kwa Kupiga Tanchi ya SGR!. MUSEVENYATTA, Hoi, MAGUFUGAME Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili na kujua nazungumzia nini, anzia kwanza kwenye bandiko hili ili kuijua kwanza hiyo vita ya MAGUFUGAME vs MUSEVENYATTA ni vita gani na wanapigania nini?

Kwenye MAGUFUGAME VS MUSEVENYATTA, Hoja zilikuwa ni hizi...
1. Ili SGR ilete faida, reli hiyo has to pass through nchi moja kwenda nchi nyingine.
2. SGR ya Kenya Imeanzia bandari ya Mombasa ilikuwa ipite Uganda.
3. Na SGR ya Uganda ilikuwa itoke Kenya ipite Uganda hadi Rwanda na ilikuwa igharimiwe na Wachina.
4.Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda

5. Uamuzi huu wa MAGUFUGAME, ulipelekea kizungumkuti kambi ya MUSEVENYATTA, hatua ya kwanza ni China kujitoa ku fund SGR ya Kenya, hivyo sasa SGR ya Kenya itaishia, Naivasha, that is the end of the road kwa SGR ya Kenya, hivyo sasa kuwa the biggest white elephant project in Kenya, kujilipa ni miujiza. Leo ndio Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amenyanyua mikono yake juu, na kukubali kupigwa bao na Tanzania, kwa kukubali kuwa sasa SGR ya Kenya itaishia Naivasha hivyo haiwezi kutengeneza faida, wala kujilipa.
6. Hivyo sasa sijui kama Museveni atajenga tena hiyo SGR yake, ikijengwa, itajengwa ili kupeleka wapi mzigo?.

Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.

Nani alijua kwanini Magufuli amekwenda Rwanda, akahamisha SGR ya Rwanda kupitia Tanzania. Alipokwenda Uganda, huko nako akapiga tanchi, Bomba la Mafuta la Uganda ambalo lilikuwa lipite Kenya kutumia Bandari ya Mombasa, sasa litapita Chongoleani, Tanga, Tanzania na kutumia Bandari ya Tanga.

Hii SGR ya Tanzania to Rwanda ikikamilika, Bandari ya DSM ndio itakuwa Bandari Kiongozi kwa nchi za Afrika Mashariki, kama SGR ikifika Rwanda, then Mzigo wa Uganda utafika mapema zaidi Uganda ukipitia Bandari ya DSM kuliko ukipitia Bandari ya Mombasa, kwasababu SGR ya Kenya inaishia Naivasha, SGR ya Tanzania inaishia Kigali, ni rahisi zaidi kutoa mzigo Kigali kupeleka Kampala kuliko kutoa Naivasha to Kampala, hivyo uamuzi wa Rais Magufuli kujenga SGR ya Tanzania hadi Kigali, umeipiga bao SGR ya Kenya na SGR ya Uganda. Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.

Paskali.
Rejea
Mkuu, nipe issues. Kwa nini Mwl. Nyerere alipenda reli ya kati iliyojengwa 1905 iendelee kuishia Isaka? Lakini lilipokuja suala la TAZARA, ikaishia Zambia ( Kapirimposhi)?
Hivi ni mizigo gani hiyo itabebwa na SGR kwenda au kutoka Rwanda ili tupime kama ni bao lenye mchongo.
 
Daah ni wewe Pasco au uko baa mida hii mkuu? Umeandika kishabiki na kivigeregere zaidi bila kueleza ama kuchambua kwa fact, mengi uliyoandika ni dhahania tu kwamba "mradi huu ama ule ukikamilika tutakuwa tumepiga bao", Hii kwa mchambuzi mzoefu kama Pasco hukutakiwa kufanya huvyo mkuu.

Hivi tunavyozungumza SGR hata Morogoro haijafika, kisha unajadili na kutoa hitimisho SGR kufika Kigali???

Kenya wamezindua mradi wa pili wa SGR wako vitani na wanapigana kwa umakini bila miruzi mingi na makelele kama nyie huu Bongo
Mbeba mikoba wa Mbowe, mwaka huu mtapata shida balaa...kuna mwanaume amekamata nchi lazima mkose hoja
 
Unaongelea Kongo upande gani? Kongo kuna eneo mizigo yao inapita Angola na kuna mwingine unapita Gabon ba kuna inayo pita Cameruni. Hivyo kongo haitegemei Bandar ya Dar kwa asilimia 100
Hivi hujui rwanda ,Congo na Uganda ndio wanapitisha mizigo hapa au unajitoa ufahamu

Rais wa Congo alipokuja hapa aliomba zoezi hilo liharakishwe ili Congo inufaike kwa mizigo yako kupokelewa kigari ambapo ni karibu baada ya kutoka hapa alikuwa kigari juu ya kuharakishwa kwa ujenzi huo

Kwa hili jpm amepiga bao la kisigino Dk 90 hakuna wa kupindua meza
 
Kongo mtahudumia part ya Kongo not Congo yote mkuu.
Rwanda ni ya 3 kwa kupitisha idadi ya Mizigo hapo bandari ya Dar ikitanguliwa na Congo na Zambia.

SGR ikifika Rwanda kutakua na dry port ambayo itakua inashusha mizigo hapo Kigali inapakuliwa na kupelekwa Eastern Congo(huko kuna population kubwa) na itapelekwa na Burundi pia.

So technically tutakua tunahudumia nchi 3 kwa mpigo(Rwanda,Burundi na Congo).
 
Back
Top Bottom