The secret of Rwanda: Kagame’s leadership | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The secret of Rwanda: Kagame’s leadership

Discussion in 'International Forum' started by Yericko Nyerere, Jul 21, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  In Rwanda, even ballpoint pens hold emotional lessons. John Fox remembers the moment a travelling companion handed one to a child on a trek back from a gorilla refuge in Virunga National Park.

  The child ran off into the bush, squealing with delight. Then came the scolding. “The guide stopped the entire group,” recalls Fox, one of 27 Wharton students who visited Rwanda in January 2012 as part of a special course on conflict, leadership and change, “and he said, ‘You cannot do that. All you’re doing is teaching these kids to be beggars. That is not acceptable to us.’”

  It was a moment when Fox realised how nearly every person he met in Rwanda seemed onboard with a common vision to rebuild the country.

  From the minister of defence to the bus driver, Rwandans seemed propelled by both history and hope, the ferocity of every personal nightmare apparently overcome by an even fiercer collective determination to move beyond it.

  It’s a message that comes from the top. President Paul Kagame has vowed to transform Rwanda from a country of subsistence farmers reliant on aid to an independent, innovative economy filled with knowledge entrepreneurs by 2020.

  Less than a generation after a brutal genocide in 1994 that killed more than 800,000 people in 100 days, the World Bank calls Rwanda a country “at peace and among the most stable on the continent.”

  More than half (56 per cent) of the country’s parliamentarians are women — a larger percentage than in any country in the world.

  In the past five years alone, according to Rwanda’s Ministry of Finance and Economic Planning, more than one million Rwandans have pulled themselves out of poverty, and the country continues to grow.

  “I think of Rwanda as a very rich case study,” notes Wharton’s Prof Katherine Klein, who designed the course with Eric Kacou, co-founder of Entrepreneurial Solutions Partners.

  Students spent four intensive days in Rwanda learning about the country’s history and meeting local business leaders, genocide survivors and a wide range of government officials.

  “The country has made remarkable progress in the nearly 18 years since the genocide,” Prof Klein says. “For observers, and certainly for future leaders, the country’s transformation provokes questions and deep thought. I see in Rwanda a leadership and management case writ large.”

  A visionary leader

  Kagame is hailed as the visionary leader responsible for Rwanda’s dramatic change. His critics attribute his success to intolerant dictatorship that suppresses dissent.

  Yet Rwanda’s transformation did not come from one man alone, Kagame’s supporters say: Rwanda changed by establishing a common history, facing up to past conflicts, constructing a clear path forward and bringing everyone on board to get the job done.

  “In a world in which conflict is emerging as a near constant, Kagame’s example prompts important questions,”
   
 2. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bongo is still a sleeping giant
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  "There are some who are scared by unity and by building a country on the basis of ideas." Paul Kagame
   
 4. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kuna mtu alisema cccm ikiendelea kutawala itafika siku vinchi kama Rwanda na Burundi , vitatudharau!
   
 5. d

  dkilasara Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Yericko Nyerere you said it well. Before I stayed in Rwanda, I thought in East African region Tanzania was the best in everything including stability and peace. But my little exposure to Rwanda, change it all. Rwanda as a country has vision to achive, and her people know it well and all are working vigorously to achieve that. All banks except main branches and central bank opens from 8 am to 8 pm, this include other private monetary organs like bareau de change. All government offices opens at 7am to 5 pm. Registering business in Rwanda is online and takes less than three hours if you have all the documents required. All people pay taxes, in whatever business even those who are selling vouchers on the road they are registered. If you evade taxes, when you are caught you receive punishment that may include to unregister your business and do fresh registration. Everything is done as planned. No one is above the law, all sorts of people have been sent to jail at one time in their life including ministers, army generals, politicians etc something that is dream in my country, its unfortunate. At night you can walk safely visually in all country including the streets of Kigali without fear of vibaka. By 2020, the country has vision to become a middle income country, with the pace Rwanda is going, I bet we if not 100% may be 90% of this vision will be achieved
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli!
   
 7. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Siyo kutudharau,Rwanda watakuja kuendesha serikali yetu na kukontro kila kitu..
   
 8. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tatizo tunaipiga vita ccm kwa maneno na co kivitendo! Saiz ndo naanza kuamin kua ccm itaanguka adi wavurugane wenyewe
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kagame anaitawala rwanda kwa mkono chuma,no democracy,zinadumishwa fikra zake tu,tz hatutaki kurudi huko,ndiko tulikoanzia,wengi humu mlikua bado wadogo au hamjazaliwa
   
 10. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kagame ni muuaji mkubwa ni bora amejulikana maana viongozi wengine wa Afrika wakimuiga watawamaliza raia wao.
   
 11. M

  Morrison Senior Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Udikteta na uovu anaosifika nao Kagame ni sura ya upande mmoja wa sarafu, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba chini ya uongozi wake, Rwanda inafanya vizuri katika misingi ya utawala wa sheria na uwajibikaji. Hakuna kulindana kama ifanyikavyo hapa kwetu ambapo mtu anweza kuiba na akaambiwa arudishe alichokiiba tu nakuachwa bila ya kufikishwa mahakamani, rejea sakat a la wezi wa EPA.
   
 12. Rugambwa31

  Rugambwa31 JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naungana mkono kabisa na Yerico Nyerere. Bila kuwa na viongozi kama huyu hapa Tz tusahau kupata maendeleo. Kazi ya viongozi wetu ni kuvaa suti na tai tu yani hapo uwaambii kitu. Mimi nashindwa kuelewa inatushinda nini miaka 50 sasa tuna wasome wengi kushindwa kukaa pamoja na kusema mambo ya siasa atutaki na tunataka Tz mpya yenye kuleta tija?
  Wasomi wetu wakatae kuteuliwa halafu wanakuwa hawana maamuzi kazi yao nikufata haliewateua anataka nini. Tuna wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, makatibu tarafa/kata, yani kweli kama kila mtu atafanya kazi kwauakika bila kusubili maamuzi ya hajabu kutoka juu tungekuwa mbali.

  Wasomi waTz embu badilikeni kwani maendeleo ya Tz bila ninyi kupambana tutasikia kwa wenzetu. Tuache UBINAFSI, kwani hili ndolinatusumbua sana waTz.

  Nashangaa leo hii vijana wanaomaliza kidato cha sita masomo ya sayansi kama PCM, PCB, PGM wanaingia vyuoni kusoma biashara yani hakuna sera kabambe yakuwavutia wasome masomo ya uandisi, udaktali kabisa. Miaka hijayo tutakuwa watawaliwa ktk kila idara bila kujijua.

  Hakuna sera ya kulinda raia waTz, yani mtu mweupe (mzungu) tunamwona kama mungu sijui kwann TUMELOGWA? Lugha yetu tumehiweka kapuni angalia BUNGENI, wanaleta sheria kwa kingereza hivi huu siutumwa kweli? Tuache hizo jamani tuakikishe KISWAHILI kinatumika hipasavyo hila Lugha ya kingereza hifundishwe kwa nguvu hili kuakikisha atuachwi nyuma dunia.

  Mimi ninamengi sana yakuandika hila nikipata muda nitakuja na mpango mkakati kwa vijana waTz tuweze kuona tunavuka vipi hili dimbwi la umaskini. NAIMANI TUKISHIKAMANA WOTE NASI TZ TUTAISHI MAISHA KAMA YA BINADAMU WENGINE DUNIANI.
  Nawakilisha.
   
 13. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pumba**f hakuna uzalendo kwa ban**ntus angalia ndg zao burunndi wananahangaiki oneday watatawala sio kucheka 2
   
 14. chash

  chash JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wananchi wanampigia kura mbunge anaeda kulala huko miaka mitano. Kura zina pigwa tena na yule mbunge anarudishwa tena bunge. Tutalaumu nani kukosa maendeleo?
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  nifafanulie kwa sheria ya nchi yako mbnge analetaje maendeleo, kwa kutolala bungeni na kuunga mkono kila hoja?!, kwa kutoa fedha ya kutekeleza miradi ya maendeleo?!, kwa kuibana serikali?!, naomba maelezo.
   
 16. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  We Liz, kwa nini "IMANA" unaye mzungumzia humu kama una amini yupo kweli mbona Kagame amuogopi anakwenda kuvamia majirani zake na kuwafanya RAIA wawe wakimbizi miaka yote - majeshi yake yanafanya ukatili wa kutisha alafu anakuwa na ubavu wa kuhadaa DUNIA.

  Kila siku mnaomba IMANA huyo huyo nchi yenu iwe na AMAHOLO lakini kwa majirani zenu mnaona they Don't deserve IT, mwabie ndugu yenu huyo Kagame akipuuza maoni ya International Community akaendeleza egos zake za kutaka ku-annex kipande cha CONGO ataishia kwenye SLAMMER kama Charles TAYLOR.
   
 17. chash

  chash JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Simple. Baada ya term yake kuisha, watu wanapaswa kuangalia development record ya mda alliokuwa bungeni. Kama hakuna chochote cha maana alicho kifanya, basi mwingine anapewa wadhfa huo. Akienda bungeni mbinu atakazotumia kuleta maendeleo atajua mwenyewe.
   
Loading...