Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,761
- 2,311
Pale nyuzi inapogoma kuendelea huwa napita hivii.....
Unawezaje kuzisoma codes zilizoko ndani yako?
Je hii ndiyo northern star...the travelers guide kwa kuwa ipo clear na hifichiki?Powerful star wengine wanaiita star of david
Know your inner selfKama kuna documents za life code plz tuweke hapa
What is lifecode?!You will never find it. Gilgamesh alijaribu hakuweza. Inshort life code is within you. Huwezi ukazipata nje ya kwako wewe mwenyewe.
Mtag na jiwe apitie apaTunaweza kuelimika kupitia jamii forum badala ya kuvutana na serikali. Viongozi wengi serikali wanapita humu...
Jf ni shule kuu chuo kikuu, hakuna kupoteza muda hapa