ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Duuuuh tunasubiri.Ngoja tutaendelea jamani.
Hebu tufikirie hii pertain ya namba.
1,1,2,3,5,8...
Mkuu anzsha Uzi kwa hii elimu,,,,elimu haina mwsho tujfunze
Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Ndio mkuu, tunasubiri elimu hiiha ha ha mkuu...
Fibonacci sequence....!!!!!???!!!!!???;!Ngoja tutaendelea jamani.
Hebu tufikirie hii pertain ya namba.
1,1,2,3,5,8...
Mkuu star of david si inakuwa two triangle ambapo moja inapoint juu nyingine ina point chiniPowerful star wengine wanaiita star of david
The best life time answer.You will never find it. Gilgamesh alijaribu hakuweza. Inshort life code is within you. Huwezi ukazipata nje ya kwako wewe mwenyewe.
Mkuu star of david si inakuwa two triangle ambapo moja inapoint juu nyingine ina point chini
Hahahaha. Huwa kule unanikera. Lakini huku kwingine tunakwenda sawa ISIS.Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Hats mie naona nyota nyota tuuuHii ni kwa watasha tu hahaha mkuu kwa hii lugha unayoitumia naona unaanza kutufukuza vichwa panzi mdogo mdogo yani
TUMIA KISWAHILI MKUU
Lete full document, na si vipande vya kuunga unga.Ngoja tutaendelea jamani.
Hebu tufikirie hii pertain ya namba.
1,1,2,3,5,8...
afu unazingua sasa mbona hakuna update yoyote yaani kila saa naangalia huu uziDuh!!
naomba utuanzishie thread mpya juu ya haya mambo angalau utufungue macho zaikdi mkuu maana naona yameanza kuniingia kisawa sawa afu ndo ukaishiamkuu...the language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers..
yale mapembe,sanamu,misalaba zinaitwa Obelisk na zinaufanya au kuifanya subconcious awareness yake kusynchronize with the universal energy grid( high energy flow system) ambayo ndo kila kitu..
The gate ways to high centers zilifichwa katika fibonacci sequence ,Golden ratio,phi( pai),newtonian Calculus pamoja na sacred geometry..
Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi.
yakitolea ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo..
Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu..ni noma..narudia tena ni noma acha kabsaa...
Nikola tesla walimua kwa sababu alitaka auambie ulimwengu kuwa theee is a core where all knowledge and power rests and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth..
Hatare sana..wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha tu kama magari mabovu..
unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa( fariki)..??
unahisi ni representation ya yesu kristo..??
sio kweli...
When human being dies, his soul is used to open the high way gate way to higher world where knowlege rests..
unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama..!! Do you know its indications??
unajua kwanini ..??
naomba nisiharibu udhi ngoja mwenye udhi aendelee kutuelemisha..
Unawezaje kuzisoma codes zilizoko ndani yako?You will never find it. Gilgamesh alijaribu hakuweza. Inshort life code is within you. Huwezi ukazipata nje ya kwako wewe mwenyewe.