The Secret of Number 8 - Siri ya namba 8


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,101
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,101 280
1536763064697-png.864186


Nawasalimia ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku.

Utangulizi
Leo nitaanza kuelezea jambo la namba. Namba ambayo nitaielezea leo ni namba 8. Nitaeleza jumbe mbalimbali na siri iliyopo kwenye namba 8.


Katika thread hii nitaelezea namba hii katika nyanja mbalimbali.
1. Kiimani, 2. Kitamaduni, 3. Kimazingira, 4.Kiroho, 5.Kisayansi,na 6. Kihesabu.
Kwenye imani nitaongelea dini na madhehebu mbalimbali kuhus hii namba.


Kwanza kabisa tukianza kuongelea namba 8 tunaongelea namba inayofuata baada ya namba 7 tukitumia (decimal numbers) namba zinazoanzia 0 - 9.

Kwa kifupi tu; kuna aina nyingi za mfumo wa namba:-
1. Binary Number (0 -1)
2. Octa decimal (0 - 7) base 8
3. Decimal Number (0 -9) base 10
4. Hexadecimal Number (0 - F) base 16
Sasa base tukitaka kuandika namba 8 kwa mfumo wa binary itakuwa ni: 8 base 10 = 00001000 base 2
Ngoja nisiwachanganye sana. Katika maelezo yangu nitajikita sana kuongelea namba za base 10.
Sasa basi katika thread hii nitakuwa naelezea hatua kwa hatua huku wachangiaji wengine wakichangia.
Hata hivyo tunatakiwa kujua maisha yetu yamefungiwa kwenye siri ya namba na siri hiyo ipo katika mahesabu. Sasa basi utakapo kosea mahesabu tayari jibu utakalolipata siyo sahihi.


Sasa basi nitaanza kuongelea namba 8 hatua kwa hatua huenda baada ya somo hili baadhi yetu tutaanza kuelewa kusoma nyakati na kujua wakati ni wa kufanya nini.
Katika huu mfumo wa namba hususani namba 8 tutatumia Gematria method na Numerology katika mambo yetu. Ikumbukwe kwamba katika baadhi ya tamaduni majina, slogan na companies zinakuwa encoded kwenye namba na hivyo kuleta impact kubwa katika physical world.


Sitaki niwachoshe huu ni utangulizi tu ngoja kila mmoja aanze kutafakari kabla sijaendelea zaidi.
 
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
408
Likes
163
Points
60
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
408 163 60
Mmmh namba nane!!
Mwenye kusema alisema kuwa brain is reality shaper ..chochote kinaweza kuwa ni kweli hatakama ni uongo ilimradi kimetafutiwa sababu kwa maarifa na akili.
 
Humorous Junior

Humorous Junior

Senior Member
Joined
Jul 19, 2018
Messages
151
Likes
200
Points
60
Humorous Junior

Humorous Junior

Senior Member
Joined Jul 19, 2018
151 200 60
ndiyo imekwisha mkuu? TUPO NJIA PANDA MKUU LETA UZI BHANA
 
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
172
Likes
68
Points
45
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined Jun 7, 2016
172 68 45
Mkuu ndo ameamua kututelekeza sasa sasa ndo anatofaut gan na hao anaodai wanaficha ukwel
 

Forum statistics

Threads 1,262,466
Members 485,588
Posts 30,123,046