The Secret of Number 8 - Siri ya namba 8


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,101
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,101 280
1536763064697-png.864186


Nawasalimia ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku.

Utangulizi
Leo nitaanza kuelezea jambo la namba. Namba ambayo nitaielezea leo ni namba 8. Nitaeleza jumbe mbalimbali na siri iliyopo kwenye namba 8.


Katika thread hii nitaelezea namba hii katika nyanja mbalimbali.
1. Kiimani, 2. Kitamaduni, 3. Kimazingira, 4.Kiroho, 5.Kisayansi,na 6. Kihesabu.
Kwenye imani nitaongelea dini na madhehebu mbalimbali kuhus hii namba.


Kwanza kabisa tukianza kuongelea namba 8 tunaongelea namba inayofuata baada ya namba 7 tukitumia (decimal numbers) namba zinazoanzia 0 - 9.

Kwa kifupi tu; kuna aina nyingi za mfumo wa namba:-
1. Binary Number (0 -1)
2. Octa decimal (0 - 7) base 8
3. Decimal Number (0 -9) base 10
4. Hexadecimal Number (0 - F) base 16
Sasa base tukitaka kuandika namba 8 kwa mfumo wa binary itakuwa ni: 8 base 10 = 00001000 base 2
Ngoja nisiwachanganye sana. Katika maelezo yangu nitajikita sana kuongelea namba za base 10.
Sasa basi katika thread hii nitakuwa naelezea hatua kwa hatua huku wachangiaji wengine wakichangia.
Hata hivyo tunatakiwa kujua maisha yetu yamefungiwa kwenye siri ya namba na siri hiyo ipo katika mahesabu. Sasa basi utakapo kosea mahesabu tayari jibu utakalolipata siyo sahihi.


Sasa basi nitaanza kuongelea namba 8 hatua kwa hatua huenda baada ya somo hili baadhi yetu tutaanza kuelewa kusoma nyakati na kujua wakati ni wa kufanya nini.
Katika huu mfumo wa namba hususani namba 8 tutatumia Gematria method na Numerology katika mambo yetu. Ikumbukwe kwamba katika baadhi ya tamaduni majina, slogan na companies zinakuwa encoded kwenye namba na hivyo kuleta impact kubwa katika physical world.


Sitaki niwachoshe huu ni utangulizi tu ngoja kila mmoja aanze kutafakari kabla sijaendelea zaidi.
 
Mwanambugulu

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
359
Likes
332
Points
80
Mwanambugulu

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
359 332 80
Daah huu uzi hatari ngoja niendelee kuuchimba
 
Z

zanzibariani

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
110
Likes
1
Points
33
Z

zanzibariani

Senior Member
Joined Aug 29, 2015
110 1 33
Tunaweza kuelimika kupitia jamii forum badala ya kuvutana na serikali. Viongozi wengi serikali wanapita humu...

Jf ni shule kuu chuo kikuu, hakuna kupoteza muda hapa
 
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
4,683
Likes
5,204
Points
280
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
4,683 5,204 280
Jamani mkuu Annael njoo uendelee maana nyota yangu kulingana na tarehe na mwezi niliozaliwa naambiwa namba yangu ya bahati ni 8 plz shusha nondo labda ntapata jawabuu
 
King Victor

King Victor

Senior Member
Joined
Feb 19, 2016
Messages
155
Likes
56
Points
45
King Victor

King Victor

Senior Member
Joined Feb 19, 2016
155 56 45
UKITOKA NAMBA TAFADHALI SANA CHAMBUA NA NAMBA NYINGINE....
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,706
Likes
6,962
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,706 6,962 280
Nimetoka kapa
 
hajhmamba

hajhmamba

Member
Joined
May 15, 2018
Messages
12
Likes
3
Points
5
hajhmamba

hajhmamba

Member
Joined May 15, 2018
12 3 5
Dah haya mambo yako kama muvi za kibongo mtu anakupa vionjo anakyacha njia panda ukiamua kuipeleka elimu kwa watu wape yote mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156