The Secret of Number 8 - Siri ya namba 8


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,101
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,101 280
1536763064697-png.864186


Nawasalimia ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku.

Utangulizi
Leo nitaanza kuelezea jambo la namba. Namba ambayo nitaielezea leo ni namba 8. Nitaeleza jumbe mbalimbali na siri iliyopo kwenye namba 8.


Katika thread hii nitaelezea namba hii katika nyanja mbalimbali.
1. Kiimani, 2. Kitamaduni, 3. Kimazingira, 4.Kiroho, 5.Kisayansi,na 6. Kihesabu.
Kwenye imani nitaongelea dini na madhehebu mbalimbali kuhus hii namba.


Kwanza kabisa tukianza kuongelea namba 8 tunaongelea namba inayofuata baada ya namba 7 tukitumia (decimal numbers) namba zinazoanzia 0 - 9.

Kwa kifupi tu; kuna aina nyingi za mfumo wa namba:-
1. Binary Number (0 -1)
2. Octa decimal (0 - 7) base 8
3. Decimal Number (0 -9) base 10
4. Hexadecimal Number (0 - F) base 16
Sasa base tukitaka kuandika namba 8 kwa mfumo wa binary itakuwa ni: 8 base 10 = 00001000 base 2
Ngoja nisiwachanganye sana. Katika maelezo yangu nitajikita sana kuongelea namba za base 10.
Sasa basi katika thread hii nitakuwa naelezea hatua kwa hatua huku wachangiaji wengine wakichangia.
Hata hivyo tunatakiwa kujua maisha yetu yamefungiwa kwenye siri ya namba na siri hiyo ipo katika mahesabu. Sasa basi utakapo kosea mahesabu tayari jibu utakalolipata siyo sahihi.


Sasa basi nitaanza kuongelea namba 8 hatua kwa hatua huenda baada ya somo hili baadhi yetu tutaanza kuelewa kusoma nyakati na kujua wakati ni wa kufanya nini.
Katika huu mfumo wa namba hususani namba 8 tutatumia Gematria method na Numerology katika mambo yetu. Ikumbukwe kwamba katika baadhi ya tamaduni majina, slogan na companies zinakuwa encoded kwenye namba na hivyo kuleta impact kubwa katika physical world.


Sitaki niwachoshe huu ni utangulizi tu ngoja kila mmoja aanze kutafakari kabla sijaendelea zaidi.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,101
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,101 280
Ngoja tutaendelea jamani.
Hebu tufikirie hii pertain ya namba.
1,1,2,3,5,8...
 
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,255
Likes
2,712
Points
280
Age
20
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,255 2,712 280
Nakujaa
 
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
4,750
Likes
1,907
Points
280
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
4,750 1,907 280
The stop sign has eight sides.
stop-sign-png.869762
 
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
1,981
Likes
2,955
Points
280
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
1,981 2,955 280
Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Ha ha ha! Nimecheka kuwa huwa huyasomi hata moja, sasa unajuaje kama ni matusi kama hupitishi macho?
 
Bhagavan

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Messages
1,123
Likes
1,271
Points
280
Bhagavan

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2017
1,123 1,271 280
You will never find it. Gilgamesh alijaribu hakuweza. Inshort life code is within you. Huwezi ukazipata nje ya kwako wewe mwenyewe.
The best life time answer.
 
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
787
Likes
427
Points
80
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
787 427 80
Mkuu star of david si inakuwa two triangle ambapo moja inapoint juu nyingine ina point chini
You are right sijaesabu pembe zake maana hiyo ina pembe 8 wakati star of david ina pembe 6
 
Yaka

Yaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
1,492
Likes
1,241
Points
280
Yaka

Yaka

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
1,492 1,241 280
Hahahaha
Huwa napenda kuwawashia moto walahi!
Hiyo Mitusi wanayo nitukana alafu huwa siyasomi hata moja walahi!
Hahahaha. Huwa kule unanikera. Lakini huku kwingine tunakwenda sawa ISIS.
 
KB THE DON

KB THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
204
Likes
59
Points
45
KB THE DON

KB THE DON

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
204 59 45
mkuu...the language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers..

yale mapembe,sanamu,misalaba zinaitwa Obelisk na zinaufanya au kuifanya subconcious awareness yake kusynchronize with the universal energy grid( high energy flow system) ambayo ndo kila kitu..

The gate ways to high centers zilifichwa katika fibonacci sequence ,Golden ratio,phi( pai),newtonian Calculus pamoja na sacred geometry..

Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi.
yakitolea ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo..

Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu..ni noma..narudia tena ni noma acha kabsaa...

Nikola tesla walimua kwa sababu alitaka auambie ulimwengu kuwa theee is a core where all knowledge and power rests and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth..

Hatare sana..wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha tu kama magari mabovu..

unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa( fariki)..??

unahisi ni representation ya yesu kristo..??

sio kweli...

When human being dies, his soul is used to open the high way gate way to higher world where knowlege rests..

unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama..!! Do you know its indications??

unajua kwanini ..??

naomba nisiharibu udhi ngoja mwenye udhi aendelee kutuelemisha..
naomba utuanzishie thread mpya juu ya haya mambo angalau utufungue macho zaikdi mkuu maana naona yameanza kuniingia kisawa sawa afu ndo ukaishia
 

Forum statistics

Threads 1,262,477
Members 485,588
Posts 30,123,273