JK aliagiza iwashwe. Hakutaja tarehe kama alivyofanya Zitto. Wanaoijua mitambo ile kwa karibu wanasema hata ikiwashwa haitamaliza mwezi. Ilichoka tangu inasimikwa pale Tegeta-Salasala.
Wartsila wana contract ya maintenance kwenye hii plant ya IPTL.Hawajalipwa kwa miaka yote hiyo miwili tangu isimamishwe.Wawekezaji walivyo, that is an opportunity to return their money.
But as well kuna plant nyingine pembeni ya IPTL inayomilikiwa na Tanesco yenye capacity ya 45MW.Itawashwa lini?
Kwanini tusijenge power plant zetu wenyewe badala ya kuwatumia watu kama IPTL? Mbona ile ya 100MW ya ubungo na 40 MW ya mwanza ambazo zilikuwa kwenye plan hazisemwi zimeishia wapi?
What? Hapa tunapoongea mgao ulikuwepo au ulipunguzwa au ilikuaje? Maana mi sielewi hapa hadi kichwa kinauma, naomba kufahamishwa wakuuNchi inarudi kwenye giza?
What? Hapa tunapoongea mgao ulikuwepo au ulipunguzwa au ilikuaje? Maana mi sielewi hapa hadi kichwa kinauma, naomba kufahamishwa wakuu
Nilikua najiandaa kuteremka huko
Screenshots
You will find:-
and:
Further:
The whole document can be downloaded (as an attachment), these are just clues!
NA vituo vya mafuta vimepanga kugoma hiyo kesho!mkuu kabla hujapewa jibu la hiyo swali. habari mpya ni kwamba bei ya mafuta imeshuka kwa wastani wa 9% kuanzia kesho.
Mkuu,I think Invisible is part of the problem
Threads kama hizi ndizo zilitakiwa ziwekwe hapa sio kutuletea mambo ya CHADEMA vs CCM
Mkuu,
Slogan ya "Where we Dare to Talk Openly" inatubana... Lakini Great Thinkers hawatakiwi kuwa carried na hoja za wanasiasa na kusahau masuala muhimu kama haya.
Well, tuliombwa tuache kuziweka hizi kwa sana maana watu walianza kuwa 'confused'; tukawambia TUNASITISHA KWA MUDA ili kuweza kuiweka JF iwe user friendly.
Kumbuka JF imepita katika mazingira magumu tu
Wakuu gharama ya kununua mitambo mipya ya angalau 100MW ni kiasi gani, tuanzie hapa
Hili ndilo swali langu kila siku, nashkuru siko mwenyewe
kwanini tunakuwa reactive instead of being pro-active??????????
%^$(^*&%^($^%(*) AAaaaaaaghhhhhhhh