The science of immortality: Sayansi ya kurefusha maisha

It's abracadabra and pseudoscuence bullshit.

Talk to me about extending the human lifespan to hundreds of years, or even a thousand years, I will listen to you. The science to achieve this is not very far fetched, at least on a small scale using a lot if synthetic bioligy and genetic modification, especially using CRISPR.

Professor Yuval Noah Harari tqlks about this in "Sapiens: A Brief History of Humankind" and "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow"

Talk about immortality, I will hear quackery and alchemy.

For starters, it is against the fundamental laws of physics and biology.
Kuna watu wanaendelea kuishi kwa miaka zaidi ya elfu moja hapa duniani, cells zao hazizeeki na inasadikiwa wapo tangu enzi za miaka ya 1200. Ila wanatokea kufa naturally na hizi taarifa zinaishia kwa wakali wa intelijensia na amsuala ya kitafiti.

Ukiangalia filamu ya oldguard (2021) ya Mwafrika Charlize Theron utaelewa vizuri zaidi nini namaanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawalali wanatafuta namna ya kuishi zaidi.
MWANZO 6:3 "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini."

Hapo hawakwepi hata wafanye tafiti gani hakuna kuzidi hapo. Ni Hezekia ambaye aliongezewa miaka 15 akafa akiwa na 135 baada ya hukumu hiyo kupita. Hivyo, utafiti wao unatakiwa ulenge watu wasife kabla ya miaka 120 hapo ni rahisi kufanikiwa lakini ikiwa tu wanazingatia ahadi za Mungu.
 
Kuna watu wanaendelea kuishi kwa miaka zaidi ya elfu moja hapa duniani, cells zao hazizeeki na inasadikiwa wapo tangu enzi za miaka ya 1200. Ila wanatokea kufa naturally na hizi taarifa zinaishia kwa wakali wa intelijensia na amsuala ya kitafiti.

Ukiangalia filamu ya oldguard (2021) ya Mwafrika Charlize Theron utaelewa vizuri zaidi nini namaanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah,

Kumbe unaleta habari za "The Flat Earth Society".

Tena bila aibu unaandika "inasadikiwa".

Siwezi kubishana nawe kwenye ujinga huo wa kusadikika.

What's next? Zamunda is a real country, because it is in "Coming 2 America" ?

My time is too precious. I am reading Einstein right now.
 
MWANZO 6:3 "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini."

Hapo hawakwepi hata wafanye tafiti gani hakuna kuzidi hapo. Ni Hezekia ambaye aliongezewa miaka 15 akafa akiwa na 135 baada ya hukumu hiyo kupita. Hivyo, utafiti wao unatakiwa ulenge watu wasife kabla ya miaka 120 hapo ni rahisi kufanikiwa lakini ikiwa tu wanazingatia ahadi za Mungu.
Ulisikia wapi ......."?
 
Hata ikiwezekana mkuu kufa kutakuwepo tu kama sasa sema labda ni wachache watakaoishi miaka mingi.

Kwanini nasema ivo: ni kwasababu ya asili ya dunia watu inabidi wafe na kuzaliwa labda itokee hivyo na kue na limit ya kuzaliwa kwa watu wengine bila hivyo inaweza kua yanatokea majanga makubwa yanaua maelfu ya watu kwa kipindi kifupi kifupi tu ili kuleta balance.
 
Aaah,

Kumbe unaleta habari za "The Flat Earth Society".

Tena bila aibu unaandika "inasadikiwa".

Siwezi kubishana nawe kwenye ujinga huo wa kusadikika.

What's next? Zamunda is a real country, because it is in "Coming 2 America" ?

My time is too precious. I am reading Einstein right now.
Sawa, Keep reading.

Si kila elimu ipo kwenye vitabu.
 
Hata ikiwezekana mkuu kufa kutakuwepo tu kama sasa sema labda ni wachache watakaoishi miaka mingi.

Kwanini nasema ivo: ni kwasababu ya asili ya dunia watu inabidi wafe na kuzaliwa labda itokee hivyo na kue na limit ya kuzaliwa kwa watu wengine bila hivyo inaweza kua yanatokea majanga makubwa yanaua maelfu ya watu kwa kipindi kifupi kifupi tu ili kuleta balance.
Ni kweli kifo kitaendelea kuwepo, kinachotafutwa ni kurefusha maisha watu waishi miaka mingi kama zamani, kwa sababu hata hao akina Adam, Methuselah na wengine walio ishi miaka mamia na maelfu walikuja kufariki, hicho ndicho wanachokitafuta "materialism" iliwezekanaje na kipi kilifanya hao watu waishi muda mrefu hivyo?, The science of immortality hapo ndipo inapojikita zaidi.
 
Anhaaa nimekupata mkuu ni kua kuishi miakq mingi kama kina Adam
Ila niliwahi kusoma pahala kwamba wale watu wa zamani walikua na miili mikubwa(giants) ndio maana waliishi muda mrefu, miili yao mikubwaniliwasaidia pia. Vipi hili limekaaje??
 
Niliona movie ya kikorea watu wanatumia pills/ vidonge hazeeki ila vile vidonge vilikuwa vikitengenezwa na damu ya watoto chini ya miaka 10 Mtu anabaki vile vile.na lazima atumie vile vidonge kila siku, asipotumia anarudi uzeen kabisa
So walikuwa wakitoa kafara za watoto wadogo kutoka vituo vya kulelea watoto. Na sio wote damu zao zilikuwa zikifaa kwa matumizi. Walikuwa wakiuwa na kutafuta damu wanayotaka
 
Ni kweli walikuwa na miili mikubwa na iliwasaidia pia, na baada ya kuliangalia hilo pia, "materialists" wakaanza tafiti "The Science of immortality" ili kubaini kama iliwasaidia au lah ngoja tuone wataishia wapi.
 
Niliona movie ya kikorea watu wanatumia pills/ vidonge hazeeki ila vile vidonge vilikuwa vikitengenezwa na damu ya watoto chini ya miaka 10 Mtu anabaki vile vile.na lazima atumie vile vidonge kila siku, asipotumia anarudi uzeen kabisa
So walikuwa wakitoa kafara za watoto wadogo kutoka vituo vya kulelea watoto. Na sio wote damu zao zilikuwa zikifaa kwa matumizi. Walikuwa wakiuwa na kutafuta damu wanayotaka
Science of immortality imejikita hapo, tusubiri tuone itakomea wapi.
 
Uzee ni kitu kipo programmed kwenye vinasaba(DNA)........
Seli za mwili zinakuwa zinaongezeka na kujazia zile zilizokufa kwa kudevide.....
Cell division inasababisha kopi ya dna kusambazwa kwenye hizo cell mpya
Shida ni kwamba kwenye kila msambazo wa hizo DNa kunahitilafu zinajitikeza ambazo nyingine husababisha saratani za aina mbalimbali
Sasa ili kufuta na kuharibu hizo hitilafu....cell moja haiwezi kujigawanya mara nyingi sana....kwahiyo...information inatolewa kwenye vinasaba cell ife kwa staili inaitwa apoptosis
Apoptosis inasababisha uzeeke ...utashidwa kutengeneza cell nyingine hivo ogani za mwili zitashidwa ndipo tunafariki

Sasa wanasayansi...wamefanya tafiti nyingi as to why hizi cell zinakufa...ikaonekana kwenye chromosomes ambazo ni mkusanyiko wa dna ndani ya cell. Zinapungua urefu kadiri cell inapo devide....
Mpaka hapo wakatafuta namna ya kuzuia au kurefusha hizo chromosomes

Sasa kuna mdau alizungumzia habari ya CRISP...sasa hiki ni kama kisu cha DNA...yaani kinaweza kukata na kutoa kipande cha taarifa kwenye DNA

Utakumbuka ..tulisema uzee ni programmable...sasa hiyo information kwenye DNA inayosema uzeeke saasa itaondolewa na CRISP nakuzuia au kuchelewesha uzee

Tatizo linakuja..kwenye kuruhusu hizi chunguzi au teknologia zinazoweza kubadilisha vinasaba ya binadamu....hatujafika kuziruhusu bado....
 
Umeelezea kitaalamu na vizuri Sana. Yote hayo yatafanyika lakini je wataziruhusu hizo chunguzi kama ulivyosema?. Tusubiri tuone japo kama vile kumeshaanza kuwepo na "alert" ya kuja kutaka kuziruhusu kabisa.
 
Unamkumbuka yule mchina aliyetumia CRISP kubadili taarifa inayoruhusu virusi vya ukimwi kuingia ndani ya cell na kujizalisha....?yule jamaa hali yake ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom