The same as JF, sijui nani alimcopy mwenzake!!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wadau leo nilikuwa nasearch juu ya tatizo la kompyuta yangu, nikakutana na hii forum....
www.consumeractiongroup.co.uk/forum/search.php?searchid=3389663

mwanzo nilidhan nimeingia JF lakini baada ya kuperuzi nikagundua ni kitu kingine tofauti, mnaweza kupita huko mjifunze zaidi kuhusu technolojia!!!
 
Mkuu hizi clone za Forums zipo nyingi na sio hio na JF tu ni nyingi zinazofanana.., ila lazima ujue kwamba uzuri (performance) ya forum sio bells and whistlers (appearance and uniqueness) ni urahisi na interactivity as well as stickyness na wingi wa tu..,

Na kupata wingi wa watu unahitaji content ambayo watu hao wanahitaji.., kwahio hapa watu hawaji kuangalia ni vipi mtandao umependeza bali kutafuta kile wanachokihitaji kwa wakati huo (kama wewe hulivyofika huko sababu ya tatizo la computer yako)
 
Alafu hii kitu nshaonaga...kuna forum nyngne kama hii nahis iko india!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom