The Salander Attacks on 24/08/2021 Is the political move against Katiba demands?

Aug 12, 2021
64
117
Kwa maarifa niliyo nayo ya kipelelezi na kwa tarifa za ndani kutoka system lililotokea jana karibu na ubalozi wa ufaransa ni mkakati wa kutihamisha katika ajenda ya kitaifa KATIBA MPYA na ubambikizwaji wa kesi ya ugaidi kwa mbowe.

Naomba uzi huu usifutwe wala kuunganishwa na nyizi zingine kwa sababu utakuwa ni mwendelezo wa sakata la jana.
 
Kwa maarifa niliyo nayo ya kipelelezi na kwa tarifa za ndani kutoka system lililotokea jana karibu na ubalozi wa ufaransa ni mkakati wa kutihamisha katika ajenda ya kitaifa KATIBA MPYA na ubambikizwaji wa kesi ya ugaidi kwa mbowe...
Kwa hiyo hao mapolisi ndiyo wanao uzuia huo mchakato wa katiba mpya? Hoja mufilisi kabisa!!
 
Kwa maarifa niliyo nayo ya kipelelezi na kwa tarifa za ndani kutoka system lililotokea jana karibu na ubalozi wa ufaransa ni mkakati wa kutihamisha katika ajenda ya kitaifa KATIBA MPYA na ubambikizwaji wa kesi ya ugaidi kwa mbowe.

Naomba uzi huu usifutwe wala kuunganishwa na nyizi zingine kwa sababu utakuwa ni mwendelezo wa sakata la jana.

mkuu unakimbilia wapi?
 
MBOWE sio gaidi.
Gaidi la jana ni limwanaccm
 
Bora ungeandika kwa lugha ya kiswahili kichwa cha habari.
Umeandika "broken english".
 
Back
Top Bottom