Mimi nipo mkoaniIko hapa mtaa wa Lumumba Kariakoo.
Nenda ofisi ya CCM ya kata yako watakupa kadi ya uanachama mara moja.Mimi nipo mkoani
nchi hauwezi kuijenga bila lishe bora ya wali na kukuChama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Neno hili lina maana gani boss? AU ni movie?Sicario
Unazingua Soldier npaka kuandika makala hii hilo neno lazima unalijuaNeno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
Hahahaaaaaa noma sana mzee baba. Weekend hiyooo inakuja.Unazingua Soldier npaka kuandika makala hii hilo neno lazima unalijua
Hiyo ni movie mzee babaNeno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
Sicario ni neno la Kihispaniola, likimmaisha Hired killer, hasa hasa kwenye bifu za drug cartelsHiyo ni movie mzee baba
Sicario ni neno la Kihispaniola, likimmaisha Hired killer, hasa hasa kwenye bifu za drug cartels
YapOoooh lakini pia kuna movie ya hollywood inaitwa sicario
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.Neno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
Mungu ampe Afya njema na baraka nyingi Rais Magufuli.Neno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
Scario dayOoooh lakini pia kuna movie ya hollywood inaitwa sicario
Rais Magufuli amejua kutupigania Watanzania Wish you all the best Mr President.Neno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
All the best prezidaaaa. Tunakupenda JPM wetu.Rais Magufuli amejua kutupigania Watanzania Wish you all the best Mr President.
Hapo kuna mawili ya wewe kufanya. Soma tena story au endelea tu na mambo yako mengine. Have a nice day.Mpaka hapo sijaelewa fundisho lililokusudiwa. Ni nani alimwamini nani kupita kiasi kwenye biashara na pesa? Nimeona tu wapinzani wawili wakichukiana pamoja na mtiririko wa wauaji, sijaona marafiki wala biashara, hivyo kitu gani cha kujifunza kipo hapo?
Angela MerkelAmbaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.