The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya kutisha kiasi cha Dolla 282,600

Kadi Poa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,010
2,000
Neno hili lina maana gani boss? AU ni movie?
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
 

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,956
2,000
Mpaka hapo sijaelewa fundisho lililokusudiwa. Ni nani alimwamini nani kupita kiasi kwenye biashara na pesa? Nimeona tu wapinzani wawili wakichukiana pamoja na mtiririko wa wauaji, sijaona marafiki wala biashara, hivyo kitu gani cha kujifunza kipo hapo?
Hapo kuna mawili ya wewe kufanya. Soma tena story au endelea tu na mambo yako mengine. Have a nice day.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom