THE ROAD TRAFFIC ACT, 1973: Je, polisi wa defender wana haki kukamata madereva?

Mkuu, kilichosemwa kwamba unapewa siku tatu kumwonyesha polisi ni driving licence, hivyo vingine vilivyotajwa kwenye hiyo section unyoisema with exception of driving licence inabidi uwe navyo on the spot, no excuse unless uelewa wangu wa lugha za kisheria ni mdogo.

Tiba

Mkuu utakuwa haupo sahihi kwenye hili, sheria imeweka wazi kabisa. Labla uniambie kuwa kuna regulations zimewekwa kuhusiana na sheria hii ambazo zinataka hiyo kadi ya gari iwepo. Ila Polisi wa Bongo wanatumia hii kama njia ya kuombea Rushwa pia, wakikuomba vitu hivyo uwe navyo on spot kama huna waambie wewe hutoki nje ya Tanganyika. Waahidi kuwapelekea baadae wakajiridhishe.

'-(2)Notwithstanding the provisions of subsection (1) of this section, any person intending to drive a motor vehicle or trailer over the Tanganyika border shall carry his driving licence, the certificate of registration and the insurance certificate in respect of such motor vehicle of trailer and shall produce the same on demand to a POLICE OFFICER IN UNIFORM or customs officer before he is permitted to drive his motor vehicle, or trailer across the Tanganyika border.'

Notwithstanding - Bila kubadili subsection (1) Mtu yeyote anayetaka kuendesha gari kuvuka mipaka ya Tanganyika anatakiwa kubeba Leseni ya udereva, kadi ya usajili wa gari na cheti cha bima vinavyohusiana na gari hilo.
 
Katiba mpya inatakiwa kuweka wazi uwepo wa Tume huru inayofanya kazi permanent yenye uwezo wa kisheria itakayokuwa inaangalia ukatili na maovu yanayofanywa na POLICE. Yaani police wakishindwa kufanya kazi yao pia ni makosa na wakionea watu pia ni makosa. Tatizo ni kwamba POLICE imechukua role mpya ya kuwa 'Armed wing of political party'

Hivi mkuu, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa haziwezi kushirikiana na kumaliza haya matatizo ya polisi kukiuka sheria, au wote ni wale wale?
 
Mkuu kinachokosekana ni 'UHURU' - Kila kitu amerundikiwa mtu mmoja tu RAIS, Maana yake ni kwamba yeye kama binadamu ana hofia nae kufanyiziwa akiwa madarakani ama baada kutoka madarakani. Ila tunapo spread maamuzi kwa watu mbalimbali tunapunguza uwezekano wa mtu mmoja kuonekana kuwa ni target: Rais awe na uwezo wa Parole tu ila si kuingilia mchakato wa prosecution. Hata DPP nae si huru maana anafanya kazi kwa maelekezo ya aliyemteua.

CCM kama wanaona mbali wanaweza kuleta mabadiliko makubwa sana yatakayo wafanya wabakie madaraka kihalali kwa miaka kadhaa ijayo kama tu wataweka mazingira ya Haki katika kila kitu - kwa kutumia mchakato wa katiba mpya kuzaa mabadiliko hayo. Tatizo nikuwa wao ni watuhumiwa namba moja wa maovu ya nchi hii.

Polisi nao wanatumia mwanya huohuo kuonea wananchi: Kuna quid pro quo relation kati ya polisi na watawala. Ndiyo maana hata sheria hawasimamii na wanazivunja makusudi.
 
Mkuu umetumia lugha ya kitaalamu zaidi.
Kwa maana hiyo kama nimekuelewa, ni kwamba hapa bongo nchi haina mwenyewe. Usimamiaji wa sheria hakuna, watu wanajali maslahi yao na hakuna anayeweza kutimiza wajibu wake mpaka ajue atapata manufaa gani ya pembeni.

Kwa mtindo huu wanyonge hatuna pa kukimbilia, maana kama hata DPP hana nguvu kwa kuwa kateuliwa na raisi maana yake hata mahakama haina nguvu kwa kuwa majaji na mahakimu wanatokana na mkono wa raisi kwa namna moja au nyingine.

Kwa upande mwingine tunaona wabunge wetu wasivyoweza kuchukua hatua za kuiwajibisha serikali [mifano iko mingi lakini angalia response ya bunge kwenye mgomo wa madaktari]

Katika hali kama hii labda nguvu ya umma itumike kama nilivyosikia huko kusini mwa nchi lakini ndo hivyo wenzetu wa 2 tayari wamepoteza maisha.
 
Mkuu samahani sana maana sometimes mtu unajisahau kuwa JF is a collection of great thinkers with different carreers:

Quid pro quo - means 'Something given in return for a item of equivalent value - like tit for tat'.

kwa kiswahili tunasema nipe nikupe, mtu anateuliwa kuwa mkuu wa polisi ili amlinde aliye mteua.

Au mfano rahisi kabisa ni kama vile unaponunua bidhaa, Unatoa hela na kupewa bidhaa ambayo unaamini ina tahamani ya sawa na hela uliyotoa.

Post yako imeeleza vizuri sana kuwa kinachowekwa mbele ni masilahi binafsi. Wenyewe wanasema, Kuna siku nilikuwa nina shauri moja nikamfuata advocate maarufu sana akaniambia kuwa Tanzania hakuna haki, sheria zipo nzuri sana ila hakuna haki. Majaji wote ukiangalia hawapo impartial wakitarajia kuwa kwa kuonesha wapo upande wa serikali basi wakistaafu wanaweza patiwa nafasi za ulaji zaidi, kumbuka Lubuva (NEC), Ramazan(NEC then CJ), teuzi hizi ndizo zinaondoa uhuru huo. Katiba mpya ikiweka wazi kuwa mtu yeyote aliyetumikia nafasi ya Ujaji hawezi tena kuteuliwa nafasi yoyote katika ofisi ya umma akiwa kazini au akistaafu, itaongeza uhuru wa hawa watu kufanya kazi yao wakiamini kabisa kuwa wamefikia climax ya kutumikia umma, they have nothing to lose kwa kutoa haki.
 
Nimekuelewa mkuu.
Katika hali kama hii sisi wanyonge tunaweza kufanya nini? Ina maana hata ukijibana ukanunua gari unaweza kushindwa kuiingiza barabarani kwa kuogopa kukamtwa, kama huna pesa ya kuwapa polisi, au sio?

Wanasheria tusaidieni. Nini cha kufanya kumaliza tatizo hili?
 
Back
Top Bottom