The Rise and Fall of CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Rise and Fall of CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nkosiyamakosini, Nov 12, 2010.

 1. n

  nkosiyamakosini Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wana JF,
  kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
  Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  umetumia kigezo gani kung'amua hayo? au ndiyo shekhe yahya style?
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join DateThu Nov 2010Posts33Thanks0Thanked 1 Time
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu, CUF ndicho kinaweza kikasambaratika - kimekuwa chama cha upinzani cha vyama vya upinzani na kuisupport ccm kiasi inanishangaza hata wana nccr kusimama upande wao, sidhani wana cuf wote watakuwa wanafurahia namna kilivyofanya. Kimeanza kuzeeka mapema sana na kwa kasi ya ujabu. Mpaka kufika 2015 si ajabu walio ndani yake watataka kujitoa ili waanzishe CUF nyingine au chama kingine.
   
 6. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa wanao ona mbali Chadema hakina maisha marefu labda wabadili mienendo yao ya kiuongozi. Binafsi sina matatizo na watu wamoja wamoja ndani ya chama nina matatizo ya mfumo wa chama. Wakiweza kurekebisha hili basi wataweza kuwa chama bora Tanzania wakienedlea na itikadi zao za kuona wao ni asilimia 12. basi wataweza kitakufa natural death.

  Mwisho napende nisema baadhi ya viongozi wa chadema ni makini lakini chama chao sio makini na wakigundua hivyo watafanya kama alivyofanya kafulila.
   
 7. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hujui lolote kuhusu kuisupport CCM ni bora unyamaze unaonyesha ushabiki wa chama weka hoja zako watu wazipime. In short CCM bara hawakufurahishwa na kilichojiri Zanzibar maana Sief alimkabili Karume na kumweleza nchi inaelekea kubaya na anajukumu la kuenedleza yale aliyoyasimamia baba yake akamkumbusha mengi sana na kumwambia zanzibar ni nchi iliyoingia kwenye muungano amabalo mimi pia nalikubali! Kwahiyo wao ndio watakaojenga nchi yao na ni wao ndio watakaobomoa nchi yao wazike tofauti zao waache kuamliwa na upande wa pili wa muungano. Ndio maana kukafanyika mabadiliko ya katiba zanzibar lakini CCM hawakufurahia hata kidogo na mgomo wa Karume kwa Serikali ya Muungano ulianza kuonekana kitambo mnakumbuka sherehe za mapunduzi mwaka juzi hakuhudhuria?

  Kwahiyo ule muungano wa CUF na CCM hauna baraka na CCM bara ila hawana budi kukubali shingo upande maana wenyewe wazanzibari wameamua kuipeleka nchi yao kwenye maendeleo na sio malumbano
   

  Attached Files:

 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  This is your opinion. Chadema ndicho chama pekee cha upinzani na kwa kuwa watakuwa wamelijua hilo kwa sasa ndio watajipanga upya kwa mshikamano zaidi.
   
 9. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hivi hata wewe mwenyewe umekielewa ulichokiandika, hasa hapo kwenye red??
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hao watakuwa ni akina shekhe yahya na itikadi bila elimu kutuletea uanajimu wa kwenye vitabu vya miungu wao wa uongo
  lakini kwa wenye kutumia hekima kutazama mbali CHADEMA ni chama pekee cha ukombozi wa taifa kwa sasa hapa tz
  cuf na ccm lao ni moja tu ikiwa ni kuisimilisha nchi ama kuizamisha tanganyika
   
 11. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Maneno kama yako ni siku nyingi yanasemwa, lakini kitu ambacho nina amini, na nitaendelea kuaminini ni kwamba, Chadema ni chama makini na kina watu makini. Chadema ni chama ambacho kinafanya maamuzi kisayansi na sio kisanaa (usanii), ni mara nyingi unakuta watu wengi wanalalama oh oh chadema wafanye hili au lile, lakini Chadema wanaamua kutokana na uhalisia wa jambo na si hisia za watu fulani.
  Sote tunajua wanasiasa wengi nchi hii ni pandikizi la CCM (wengine huwezi wajua kwa haraka) hivyo kuendeleza au kukuza chama ni kazi ngumu inayohitaji umakini wa hali ya juu ambao Chadema wanao. Nani angeamini Kyabo CCJ angefanya aliyofanya.

  Chadema wanajua walifanyalo, ndugu zangu. Tuwaombee tu.
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  punguza hasira, it will only impose poison in your brain. ikiwa kuna ccm bara unadhani hakuna cuf bara? hudhani kuwa wanaweza kuuliza ni kwa nini inaonekana kuna chama kimoja cha upinzani bungeni na ni kwa nini cuf bungeni (bunge la muungano) inaonekana kuambatana na ccm?

  mimi siangalii suala la huo mwafaka wenu wa zanzibar ulioasisiwa na Mke wa marehemu Adeid karume, hiyo kusema seif alimkabili karume ni porojo za wasiojua kilicho chini ya pazia.

  Mwasisi wa hayo yote ni mama karume na ndiyo maana hata akina makamba waliufyata. seif na amani wasingeweza kukaa meza moja bila huyo mama kuingilia.

  give it time and you will see
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wazanzibar wepi hao? hawa tunaowajua sisi ama? hapo hakuna maendeleo ukweli ni kwamba zanzibar sasa
  kuongozwa kwa remoti kontroo na kundi la mafisadi la ccm
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Ndiyo unatuambia kuwa CUF ni moja ya chama tawalaeeee!!!!
  Kwa taarifa yako CUF hakina muda mrefu, na kitauawa na ccm ambao wameungananao kinafiki.
  CHADEMA ni chama makini na kitaendelea kukomaa na kwenda mbali zaidi. CUF wangekuwa makini wangekubali kuungana na CHADEMA. Hii inaonyesha ni jinsi gani CUF wasivyo na vision.
   
 15. n

  nkosiyamakosini Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  think smart guys! chademarism makes you blind, all the times i do tell you.
   
 16. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  na huo ni ukweli mkuu,
  kwa mtu yeyote makini hawezi kuufurahia ule mwafaka wa zanzibar ambao kwa uwazi
  ulilenga kumwandalia maisha yasiyo na bugdha KArume na familia yake
  kutokana na ufisadi alioufanya kwa visiwa vya zanzibar

  lakini ule hakuna mwafaka ni kwamba cuf kwa sababu ya uroho wa kupewa madaraka
  ama kuajiriwa na ccm wakaamua kuuza utu wao kwa ccm kwa maslahi ya viongo ni kwa
  faida za wazanzibar
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu I can asure you hao mafisadi tayari wameshapima na kukata sanda ya kuivalisha cuf wakati wa maziko. it is just the matter of time. cuf itayumba mpaka watajutia uamuzi wao.
   
 18. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chadema hakitaanguka kama unavyofikiria, bali watakaoanguka ni hao wanaotaka kukiangusha.:nono::nono:
   
 19. n

  nkosiyamakosini Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa anyisile!
   
 20. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chama cha Chadema sio makini ila kuna baadhi ndani ya hicho chama ni watu makini mmoja wao aliepata kuwa mwanachama ni kafulila wengine wakijakutambua kama Chadema kina agenda zake na wanaharakisha zitimie na mfano kilichotokea Dodoma utaona watamwaga manyanga na nina uhakika NCCR Mageuzi itarudi kwenye form na kuipiku Chadema 2015 hii itachangiwa na ubinafsi wa chama cha chadema.
   
Loading...