The Richmond Saga: Lowassa kutinga kortini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Richmond Saga: Lowassa kutinga kortini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Teamo, Sep 23, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Source:Mwanahalisi Jumatano Sept.23-29,2009

  Just a summary:
  1-Mbunge huyu anaweza kufikishwa kortini kwa makosa ya kuiingiza nchi katika mkataba wa kinyonyaji,kati ya serikali na kampuni ya Richmond development Company

  2-Hizi hisia zinakuja baada ya J.K kunukuliwa akisema serikali inataka kumaliza kabisa suala la richmond kwa kuruhusu uchunguzi wa kimataifa ili kubaini iwapo kulikuwa na vitendo vya rushwa(Some two weeks ago)

  NB:waandishi wa habari mnaweza ku-paste basi,au vp?
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu kama hicho. Ni usanii tu na danganya toto!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwanin unasema usanii babaake?
  haukumsikia jeikei kwenye maswali na majibu?,ai mini kipindi kipya cha tbc?anyways naamini waandishi wa habari watatupestia article nzima kama ilivyo
   
 4. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Uchunguzi wa kimataifa ukifanyika, wa kwanza kufikishwa mahakamani atakuwa JK mwenyewe - he is in it up to his eyeballs.
   
 5. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  yale yalee! heading ya thread mbona haiendani na content yake, kuwa na uwezekano wa kutinga kortini kutokana na HISIA za watu baada ya "kunukuu" maneno fulani si sawa na kutinga kortini, kumbe kiswahili kimekuwa kigumu namna hii?

  sasa ule ushahidi wa kwenye buku jekundu la Mwakyembe kwani umefanyiwa kazi ukabainika kwamba hautoshi mpaka tuite wazungu?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu huu ni usanii tu thubutu.
  Unategemea amfikishe EL kortini alafu na yeye naye ajifikishe kortinin hii haiwezi tokea kwa siasa za maji taka hapa Bongo thubutu.
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Umenifanya nicheke saaana!

  Wewe unaamini yote aliyoyasema JK kwenye kile kipindi pale TBC1? You can't be that naive!!:rolleyes:
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  soma hizo highlights
  kama walivyosema wadau wengine huu ni usanii na washikaji sasa wanaandika ili kuuza magazeti.
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwa nin asifikishwe wakati kuna uchunguzi wa KIMATAIFA?
  nani alitegemea mramba,liyumba,yona et al kuburuzwa kortini?
   
 10. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hili suala kwa nini mambo ya kimataifa yanaongelewa sasa?
  2010 hiyo inakuja...akili mu kichwa,
   
 11. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nnjii hii! Mzee wa Kiraracha alilia nayo sana! Neema za Mungu zinaitajika kuinusuru kwakweli.
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapo ndo kwenye tatizo la kwanza linaloonesha kuwa huu ni usanii wa kutafuta gia ya kuingia nayo kwenye kampeni 2010. Kwani hadi sasa tumepungukiwa na nini hadi tuwaite Scotland Yard? Kwani Mwakyembe na timu yake wametunyima data zozote? Si walienda hadi US na kupekua kila file? Kuna kitu gani kinakosekana kwenye uchunguzi wao? Pia naamini hata ile ripoti ya awali ya PCCB (kabla ya kuchezewa na Hosea) itakuwa na ushahidi mzuri tu. Hapa bwana ni mchezo wa kuigiza, tena Part 2. Tusubiri tuone.
   
 13. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0  Mkuu hata wewe ungeweza ku-paste tu...
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Naomba nimnukuu Mheshimiwa rais...''CHOMBO CHETU KIMESHINDWA KUBAINI KAMA KULIKUWA NA VITENDO VYA RUSHWA YA MOJA KWA MOJA WAKATI WA ZABUNI YA RICHMOND''
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  red= mkuu unaamini katika hilo?
  blue= hawana effects kubwa kama huyu mhe

  kumbuka haya maneno
  "urafiki wetu na bwana mkubwa haukuanzia barabarani na hauwezi kuvunjikia barabarani kama ambavyo baadhi ya watu wenye chuki wanataka iwe"
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unafikiri hivyo vyombo vinashindwa kubaini kama mradi huo ulikuwa na harufu ya ushuzi? Chombo anacho zungumzia huyo ni kile cha Hosea kilicho safisha harufu ya ushuzi na kuwa perfume lakini ukaja muhimili wa bunge ukabaini kuwa perfume ile sio ya kweli ni bomu la ushuzi na kuna siri kubwa ndani yake na Dr. akasisitiza wamefanya hivyo kulinda heshima ya serikali laiti kama wange anika kila kitu sasa na unapo zungumzia serikali huwezi mwacha JK kando maana yeye ndo kichwa cha serikali au ndo baba anae ongoza serikali kama Dr. aliamua kuficha maswala mengine basi kuna kila dalili serikali ingedondoka ndo maana EL akaamua kujiuzuru.
  Sasa unategemea serikali hiyo hiyo iliyo husika na huu ushuzi itamfikisha EL kwa pilato? Hii mkuu ni ndoto endeleeni kusubili wao wanakunywa mvinyo na kugongeana bilauli tu.
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  It is not bad to keep on dreaming kwamba siku moja, wakati wa utawala wa JK, Lowassa anaweza kushtakiwa
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uchunguzi wa kimataifa?
  Umefanyika uchunguzi wa kimataifa wa Radar na umekamilika mbona serikali hii hii inasita kuwafikisha kwa Pilato wahusika na huyo huyo rais alisema atahakikisha kila kitu kilicho chukuliwa kitarudishwa watu mmesubili weeee na sasa mmesha sahau mmeunganishwa na CD mpya ya sasa akina Mramba, Liumba, Jittu na wengineo mawazo na fikra mmepelekwa huko CD ya Radar imesha chuja.
   
 19. M

  Magarinza Senior Member

  #19
  Sep 23, 2009
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu jamma kaanzisha mjadala ambao taarifa yake kamili bado hajawekwa hapa. Tunaomba kwanza taarifa kama ilivyoandikwa na Kubenea ndo tutoe mawazo yenye ushirikiano mzuri na taarifa husika
   
 20. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hicho chombo chao ni chombo gani hasa? watanzania tulitegemea baada ya ripoti ile kutolewa bungeni, na viongozi wale kujiuzulu ambalo lingefuatia ni arrest, tinga kortini, nenda jela...lakini kumbe 'avumaye papa kumbe wengi wapo'
   
Loading...