TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,744
- 21,194
Hayo yote ni kwa msaada wa hao hao mabeberu na ndiyo maana unakuta bajeti ya serikali lazima kuwepo na beberu aliyekutawala hama kikombe kinaenda kwa beberu yoyote ili ajazie, 😔!!.Wa Africa hatujadumazwa kiakili tuko safi na makini sana. labda mtu.mmoja mmoja tu.
Angalia tulipo leo kimaendeleo na pale tulipo achwa na Wakoloni wasomi na matajiri.walitawala miaka 100.lkn hovyo tu .sisi leo miaka nusu ya utawala wao tunajitegemea na tumeongezeka maradufu. Watangulizi walitupa hiyo elimu tunayoona duni ili tuanzie hapo