Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,844
- 2,665
Mie pia niliwadokeza ujio mpya wa Mkapa ktk medani za kisiasa kupitia uchaguzi wa Igunga. Niliwaambia kuwa Yale yalikuwa maandalizi ya kumnadi mteule wake/wao wa Urais muda ukifika. Ambaye aweza kuwa Maghufuli.
magufuli bora aendelee kuwa waziri tu. Wakati mwingine majina yanaakisi uhalisia wa mtu. Cheo cha juu kabisa katika serikali yetu ambacho kinamfaa ni uwaziri mkuu